simu

  1. JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu na TCRA +BOT wanashindwa kuzuia malipo yanayoenda kwa akaunti za Mange Kimambi? Zinafadhili uhalifu

    Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikilala nae tu, kesho yake napigiwa simu ya dili la hela

    Huyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani nimemgeuza msukule. Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela, au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani nitapata safari ya hela mikoani. Kuna mademu wana kisimati sana usione tumewang'ang'ania wakati...
  3. N

    JamiiForums Tanzania FCC mmebariki uhuni, wizi na utapeli wa makampuni ya simu?

    Haya majitu ni matapeli na majizi yasiyo na aibu wala huruma, kwa bahati mbaya pale pia watu.vyombo vilivyotakiwa kuwasaidia WANUKA JASHO wa nchi hii wal hawana habari kabisa Wamekaa meza kuu na majizi hayo wanakula na kusaza , wanukajasho watatjijua wenyewe Miaka 3 /4 iliyopita hata 2...
  4. JamiiForums Tanzania Chanzo cha vifurushi vya simu kupanda ni kutokana na mitandao husika kumilikiwa na watu wajanja wajanja wenye vina saba na serikali.

    Nafikiri kila mtu anatumia hii mitandao na amejionea gharama zinavyopanda kiholela kila siku,chanzo kikubwa kinaweza mitandao hii kumilikiwa na watu wenye ukaribu mno na serikali kiasi kwamba serikali haina maamuzi ya moja kwa moja juu yao,pia serikali nayo inamiliki sehemu ya mitandao...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna "wawekezaji" wanaotetewa kimagumashi kama kampuni za simu

    Nina hakika hata wenyewe wanashangaa hawana mikimikimikiki yoyote hawa jamaa wanaweza wakaamka kesho wakasema tshs 5000 unapata data ya mb 80 na wasifanywe kitu Sanasana watu wakilalamika wataambiwa nyie hamjui kutumia simu zenu kuna APPS zinakula data, mara Tanzania ni ya sita afrika kwa kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa Namba za Simu za Askari wa Kituo cha Stakishari au kituo kizuri kwa adhabu Mwili

    Nina jambo limenipata nina mwizi wangu ambae nina vithibitisho kwa 98% lakini kutokana na maeneo nilipo na yeye alipo nikimuweka ndani kwenye vituo hivi atapata Dhamana haraka. Naomba msaada wa namba za simu wa askari wa kituo cha stakishari ili nikafungulie kesi yangu kule au namba za simu za...
  7. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Athari za Matumizi ya Simu barabarani na Sheria

    Athari za Matumizi ya Simu Barabarani na Sheria Utangulizi Kulingana na tafiti za Shirika la Afya Duniani(WHO) za mwaka 2022; ajali za barabarani zinaongoza duniani kwa kusababisha vifo, ambapo takribani watu milioni1.3 hufariki kila mwaka kutokana na ajali za barabarani. Huku madhara makubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa budget ya 350k naweza pata simu aina gani mpya?

    Habari zenu wakuu Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
  9. JamiiForums Tanzania Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

    Kuna 1. COSOTA 2. TRA 3........
  10. JamiiForums Tanzania Msaada Simu yangu ya samsung imejiweka kialama cha funguo

    Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri. Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa kukiondoa hiki kifunguo.
  11. JamiiForums Tanzania NJOMBE: Watu wanne wajeruhiwa baada ya simu kulipuka ndani ya Bajaji, Julai 24, 2022

    Watu wane wamenusurika kifo baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliyosababishwa na simu ndani ya bajaji yenye nambari za usajili MC 567C JK-TVC katika barabara ya Njombe -Songea . Akizungumzia tukio hilo kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema mkasa wa betri kulipuka umeleta...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wataalam wa Smartphone kati ya hizi simu

    Baada ya kutumia smartphone za makampuni mbalimbali I. e Nokia/Lumia Samsung/Galaxy S6 Tecno/H6, wx3, F1, J8 ... Xiaomi/Redmi note 8,na sasa natumia note 10 Naomba ushauri kati ya hizi OnePlus Ace Realme GT Neo 3 Galaxy S10 used Bei zinalingana tu
  14. JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na matapeli leo

    Matapeli ya mtandao wamerejea. Mapuuzi yamekutana na mtu mwerevu. Basi naomba ni share namba zao na ujumbe wao incase wakikutafuteni nanyi msiwape nafasi.
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Ofisi ya SERIKALI ambayo wanajibu Emails? Au kupokea simu?

    Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi.... Update............. Tantrade nimejulishwa kuwa wao Wana mfumo, barua au email ikipokelewa inakua...
  16. JamiiForums Tanzania Napata Mkanganyiko hapa kuhusu hii simu. Sijalala toka jana

    Shemeji baada ya kuona namtengenezea mazingira mazuri ya ndoa yake na Sister akaona simu yangu imechoka sana..hapa naandika nikiwa nmei connect kwenye charge moja kwa moja. Mtu akinitingisha tu ikachomoka inazima. Basi shem ameonekana kutambua Juhudi zangu na kunipa offer ya kuninulia simu...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Chaja yangu ya simu ilikuwa fasta sana, nini imeikumba?

    Nilinunua chaja aina ya Excellent miezi miwili iliyopita nikiamini itanifaa hasahasa kwenye upande wa fast charging. Na kweli kwa kipindi cha mwezi wa kwanza niliyoitumia ilikua inajaza 100% ndani ya lisaa limoja tu. Ila nina wiki sasa, simu hata niiache kwny chaji usiku mzima haifiki ata...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

    Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia. Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana! Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
  19. JamiiForums Tanzania Kupokea simu asubuhi ukiwa umelala na mpenzi wako.

    Ukiwa na mpenzi au mwenza wako kwenye marital bed, ni busara kuweka simu kwenye vibration. Mihangaiko ya mchana kutwa inachosha, na usingizi ni njia pekee Mwenyezi Mungu alituwekea kupunguza uchovu bure bila gharama. Kuna wale wanaotegemea simu za biashara ya kazi na nyingine huingia hata saa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Simba yaufyata kwa Kigwangwala, wampigia simu, kutia nguvu

    Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye asaidie usajili na mengineyo .....yote hayo aliyasema huko jamhuri ya twitter katika juhudi zake za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…