simu

  1. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wataalam wa Smartphone kati ya hizi simu

    Baada ya kutumia smartphone za makampuni mbalimbali I. e Nokia/Lumia Samsung/Galaxy S6 Tecno/H6, wx3, F1, J8 ... Xiaomi/Redmi note 8,na sasa natumia note 10 Naomba ushauri kati ya hizi OnePlus Ace Realme GT Neo 3 Galaxy S10 used Bei zinalingana tu
  3. JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na matapeli leo

    Matapeli ya mtandao wamerejea. Mapuuzi yamekutana na mtu mwerevu. Basi naomba ni share namba zao na ujumbe wao incase wakikutafuteni nanyi msiwape nafasi.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Ofisi ya SERIKALI ambayo wanajibu Emails? Au kupokea simu?

    Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi.... Update............. Tantrade nimejulishwa kuwa wao Wana mfumo, barua au email ikipokelewa inakua...
  5. JamiiForums Tanzania Napata Mkanganyiko hapa kuhusu hii simu. Sijalala toka jana

    Shemeji baada ya kuona namtengenezea mazingira mazuri ya ndoa yake na Sister akaona simu yangu imechoka sana..hapa naandika nikiwa nmei connect kwenye charge moja kwa moja. Mtu akinitingisha tu ikachomoka inazima. Basi shem ameonekana kutambua Juhudi zangu na kunipa offer ya kuninulia simu...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Chaja yangu ya simu ilikuwa fasta sana, nini imeikumba?

    Nilinunua chaja aina ya Excellent miezi miwili iliyopita nikiamini itanifaa hasahasa kwenye upande wa fast charging. Na kweli kwa kipindi cha mwezi wa kwanza niliyoitumia ilikua inajaza 100% ndani ya lisaa limoja tu. Ila nina wiki sasa, simu hata niiache kwny chaji usiku mzima haifiki ata...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

    Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia. Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana! Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
  8. JamiiForums Tanzania Kupokea simu asubuhi ukiwa umelala na mpenzi wako.

    Ukiwa na mpenzi au mwenza wako kwenye marital bed, ni busara kuweka simu kwenye vibration. Mihangaiko ya mchana kutwa inachosha, na usingizi ni njia pekee Mwenyezi Mungu alituwekea kupunguza uchovu bure bila gharama. Kuna wale wanaotegemea simu za biashara ya kazi na nyingine huingia hata saa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Simba yaufyata kwa Kigwangwala, wampigia simu, kutia nguvu

    Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye asaidie usajili na mengineyo .....yote hayo aliyasema huko jamhuri ya twitter katika juhudi zake za...
  10. JamiiForums Tanzania Amuua binamu yake kwa mshale wakigombania sehemu ya kuchaji simu

    Mvulana mwenye umri wa miaka 17 anasakwa kwa tuhuma za kumuua binamu yake kwa kumchoma mshale upande wa kushoto wa kifua wakati wakigombania sehemu ya kuchaji simu zao. Tukio hilo limetokea Mji wa Kaimosi Nchini Kenya ambapo, Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imesema mshukiwa alimuua Josephat...
  11. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu za viganjani hii haijakaa sawa

    Inakuwaje mtu umechukua line ya mtandao fulani ukawa unatumia lakini kuna uwezekano kibinadamu kuna sababu mbalimbali kiuchumi hali ngumu au ukaugua muda mrefu kiasi kwamba huwezi hata kutumia simu kwa maana ya kununua hata vocha. Sasa baada ya siku au miezi kadhaa unaambiwa namba yako amepewa...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji simu nzuri upande wa camera, Processor na storage(ROM) kuanzia 64GB Ila isiyo Apple

    Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia...
  13. JamiiForums Tanzania Tecno yazindua simu mpya ya Camon 19, yenye kupiga picha kali hasa usiku

    Dar es Salaam, Tanzania, 06 Julai, 2022- TECNO Mobile Tanzania, chapa ya simu za kisasa na bora duniani ambayo imekuwa ikitoa teknolojia ya kisasa zaidi kwa watumiaji, leo imetangaza uzinduzi wa toleo lake la CAMON 19 kwa kushirikiana na Vodacom. Toleo la CAMON 19 limekuja ili kukabiliana na...
  14. JamiiForums Tanzania Utafiti Binafsi: Wanawake wenye Simu za Gharama ndiyo wanaongoza kudoea vyakula, kukwepa kulipa nauli na kuachika na mabwana

    Yaani unamiliki Simu ya Tsh 700,000/= halafu unaingia Mghahawani Kula unakosa Hela ya 'Kiepe' na kusubiri 'Kudoea' kwa Shoga (Rafiki). Na ndiyo hawa hawa hata ukikutana nao katika 'Daladala' wanatumia muda mwingi kutafuta "timing' ya Kumkwepa Kondakta ili tu asimlipe Tsh 400/= yake. Na hata...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha kuwasha na kuzima kwa kutumia simu

    Habari za humu wanaJF Niende moja kwa moja kwenye mada najua kuna bunifu mbali mbali zimekuwepo na zinaendelea kubuniwa na zinasaidia kiujumla, Ila hii ya kwangu ni yakipekee na inahitaji tu maboresho Niliwahi ipeleka shule moja ya ufundi hapa Dar ila waliipotezea Huu ubunifu nilitumia muda...
  16. JamiiForums Tanzania Wahenga mnaikumbuka hii meza ya simu?

    Pembeni ya simu kulikua na pen holder na note book kwa kuchukua messages. Hapo chini ilikaa telephone directory.
  17. JamiiForums Tanzania Biashara vifaa vya ufundi simu Nairobi

    Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000. Nilikua naomba kujuzwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kata Simu, Kata simu, Tupo Site!!

    Huu msemo origin yake ni nini na wapi? Nimekuwa nikiusikia mara kwa mara na una sound funny, nimetamani kujua ni sauti ya nani na umeanzia wapi! Wakatabahu!
  19. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na mtu anayeomba simu yako atumie

    Habari ndgu wana jamii forums, Niende moja kwa moja kwenye mada kama nlivyoanza kutoa tahadhari Kwa ufupi ni hivi, usimpe simu janja yako mtu usiemfaham aitumie kwa namna yoyote ile la sivyo ikitokea unataka kumpa basi hakikisha unakua makini kwa kile afanyacho, Je, unajua mtu anaweza kubeba...
  20. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

    Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu, Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…