Kata Simu, Kata simu, Tupo Site!!

Mr. JF

Member
Dec 14, 2015
79
107
Kata Simu, Kata Simu, Tupo Site, I don't like disturbance of the head, do you understand?

Huu msemo origin yake ni nini na wapi? Nimekuwa nikiusikia mara kwa mara na una sound funny, nimetamani kujua ni sauti ya nani na umeanzia wapi!

Wakatabahu!
 
Huu msemo origin yake ni nini na wapi? Nimekuwa nikiusikia mara kwa mara na una sound funny, nimetamani kujua ni sauti ya nani na umeanzia wapi!

Wakatabahu!
Mzee wa mjegeje ndo mwenye msemo wake alkua anahojiwa na big chawa
 
Back
Top Bottom