simu

  1. Natafuta fundi wa simu za Samsung Arusha

    Habari za mchana ndugu zangu, Nina Samsung S9 Plus imeharibika kioo sasa ninataka aidha kurudishia kioo au kupata fundi wa kurecover contact zangu zilizopo kwenye hiyo simu. Niliisajili online na nilikuwa nafanya backup online ila sijui kama kuna jinsi ya kurestore hiyo backup bila kutyumia...
  2. Google inajaribu kuweka mfumo wa kuchuja kelele kwenye calls

    Katika Android 13, kuna kipengele kipya kinaitwa “Clear Calling”. Kipengele hicho kinawezesha kuchuja na kuondoa kelele ambazo zinasikika kwenye calls. Mtumiaji wa Android 13 akiiwasha option hiyo, inaonekana inachuja kelele za background na inasaidia kama mtumiaji akiwa anaongea na simu katika...
  3. Tushirikishane maneno uliyosikia, anadhani amekata simu kumbe unasikia

    Kuna yale maneno ya mwisho hutokea unayasikia kwa bahati mbaya. Mwenzio anajua amekata simu kumbe bado iko hewani. Au anakosa subira na kuyaongea kidole kikielekea kukata simu. Nilipigiwa simu na shangazi yangu. Tukaongea, then akaniambia hana hela ya sukari. Nikasema, nitakutumia shangazi...
  4. Ivory Coast yaunda simu maalum ya wasiojua kusoma na kuandika

    Simu hiyo mahiri inayofanya kazi kwa sauti inalenga soko kubwa ambalo halizingatiwi kutoka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambako mamilioni ya watu wanakabiliwa na changamoto za kutojua kusoma na kuandika Itatumia mfumo wa uendeshaji unaoitwa "Kone" ambao umeundwa na kampuni ya Cerco...
  5. Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

    Mimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke. Nawajuaje? Mara nyingi husalimia kikwao, ama kuita majina yao, tunaposhindwa...
  6. Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Ni brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani! N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI CHONDE CHONDE NISIWAONE HUKU!
  7. Simu za iPhone zitakazoruhusiwa kutumia iOS 16

    Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 16 kwa watumiaji wote wa iPhone 8 na kuendelea. Mfumo mpya wa iOS 16 utaanza kutoka Jumatatu ya tarehe 12 September. Credit: @ Apollo (@itsapolloo)
  8. TAMNOA: Punguzo la tozo larejesha ukuaji wa matumizi ya huduma za kifedha kwa njia ya simu

    Umoja wa waendesha huduma za simu za mikononi (TAMNOA) umebainisha kuwa kutokana na tozo za miamala ya simu zilizoanza mwaka 2021 mwezi Julai, na kwa kuangalia mlolongo wa matukio tangu kuanzishwa kwa tozo hizi, pamoja na kupungua kwa matumizi ya huduma za kifedha, hali ya mwaka huu wa fedha ni...
  9. Zimamoto Geita wazima uongo wa binti mdanganyifu

    #HABARI Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Geita, linamshikilia Shelida Ibrahim (20), mkazi wa mtaa wa Mkoani Halmashauri ya Mji Geita, kwa kosa la kuwapigia simu zimamoto na kuwaambia kuna tukio la moto na baadae akazima simu yake kwa lengo la kujifurahisha na kusababisha jeshi hilo kuingia...
  10. N

    Nigeria wazuia tozo za simu, Vodacom Tanzania wapata hasara ya bilioni 103 sababu ya tozo, bado mabenki kilio chao very soon

    Naam waziri wa mawasiliano na uchumi wa kidigital Isa pantami ilibidi aunde kamati ku review proposal ya kuongeza asilimia 5 ya Tozo hiyo ni mbali na VAT 7.5 wanayopigwa makampuni hayo ya simu ikaonekana ni OVER over taxation, waziri kaamua kuachana nayo. Hapo ni baada ya kuona kilio kikubwa...
  11. C

    SoC02 Sayansi na Teknolojia katika matokeo hasi katika vyombo vya usafiri na matumizi ya simu kwa vijana wa karne hii pamoja na lugha yetu

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU. Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya 21,kumekuwa na mavumbuzi mengi na ya kisasa,Sayansi na teknolojia imezalisha na kuwaibua wataalamu...
  12. Naomba msaada wa kuifunga simu kwa kutumia imei namba

    Naomba msaada wa kufungiwa simu imei namba ninazo ila tu nimesahau email nilioweka maana kuna mtu alichange email na password sina kama unaweza kufanya kazi hii 20000 ipo karibu pm
  13. SoC02 TEKNO MAARIFA: Simu Janja yako ni Ofisi yako

    1. Utangulizi Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu nilipoanza kumiliki simu ya mkononi nilikuwa najiuliza mara kwa mara iwapo matumizi ya simu ni kupiga...
  14. Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

    Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
  15. Wanunuaji wa simu za smartphone used mnajihadhari vipi na ununuzi wa simu ambazo ni za wizi

    Rejea kichwa cha habari,naongea na wanunuzi wa simu used hasa kariakoo mnachukua tahadhari mnaponunua simu hizo?mf jamaa wanaweza kuletewa simu dukan mtu analeta simu anaongezea na hela kidogo anachukua mzigo mwingine unakuta simu ameiiba, Mf umenunua simu kumbe ya wizi polisi ,tcra wameitrack...
  16. Msaada jinsi ya Kuactivate ofa ya simu iliyonunuliwa Tigo shop

    Habari wakuu. Mwezi uliopita nilinunua simu Tigo shop redmi 10 A na nikaungwa na ofa zilikua GB 5 Kwa ajili ya mwezi uliopita na muhudumu akaniambia kuwa ofa ni ya mwaka mzima na kila mwezi nitakua napata GB kadhaa sasa Leo ni tarehe 1 ila Naona patupu. Naomba msaada Kwa anejua jinsi ya...
  17. Rekodi 4 za kampuni ya simu ya Nokia kuwahi kuwekwa ulimwenguni.

    1. Nyimbo zinazosikilizwa zaidi ulimwenguni Nokia Tune. Nyimbo ya Nokia ilitungwa na mtunzi Gran Vals, na mtunzi wa Kihispania Francisco Tárrega. Anssi Vanjoki, pamoja na Lauri Kivinen, walichagua kipande hicho maarufu kilichowekwa kwenye simu za Nokia mwaka 1993. Mlio huo maarufu wa kuita...
  18. Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
  19. M

    SoC02 Mimi na Mazingira

    Mwandishi: RAYMOND NOEL Namba za simu: 0758659963 Asubuhi moja yenye baridi ilinikuta kwenye bonde dogo karibu na mtaa wetu, nilifika katika bonde hilo kwa lengo la kuchota maji katika chemchem maarufu inayopatikana hapo ambayo hutiririsha maji katika bonde kwa mwaka mzima, chemchem hiyo huwa...
  20. Pegasus Spyware: Ni nini na Inafanyaje kazi?

    Serikali duniani kote zinakabiliwa na madai ya kutisha kwamba zilitumia programu hasidi iliyotengenezwa na Israel kwaajili ya kupeleleza simu za wanaharakati, waandishi wa habari, wasimamizi wa mashirika na wanasiasa. Lakini je, spyware ya Pegasus inafanya kazi vipi hasa? Je, inaingiaje kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…