Wakati idadi ya watumiaji wa huduma za fedha kwa simu za mkononi ikizidi kuongezeka, thamani ya miamala wanayoifanya inapungua kila uchao.
Ripoti ya robo mwaka inayoishia Septemba 2022 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha idadi ya miamala imeongezeka kutoka zaidi ya milioni...
Hata kwa elf 2 huwezii kununua Gb utaambulia MB, vifurushi vimepanda mno
Kwa hali iliyopo Sasa kumetokea mabadiliko yanayoongeza ukali wa maisha kiuchumi kwenye kuvimudu vifurushi, mitandao ya Simu imepunguza ujazo wa vifurushi na kuvifanya viwe ghali zaidi.
niliwahi kusema hivi vifurushi kuna...
Watumiaji wa simu za mkononi wameendelea kuongezeka nchini ikielezwa kuwa ni kutokana na mazingira wezeshi katika sekta ya mawasiliano kuelekea uchumi wa kijidali.
Hayo yamebainishwa katika ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyotolewa leo Oktoba 25 jijini hapa.
Kwa mujibu wa...
TECNO tumedhamiria kuendelea kuwafurahisha wateja watu kwa kutoa toleo lenye muonekano mpya linalokwenda kwa jina la CAMON 19 PRO Mondrian. Simu hii ina uwezo mkubwa na muonekano wa kuvutia na wakipekee kuwahi kutokea
Kwenye mawasiliano mtu anaweza kutumia SMS au simu za kawaida kuwasiliana. Hata hivyo uwepo wa internet unaonesha watu wengi wanapiga simu kwa namna nyingine tofauti na kutumia ujumbe kwa njia nyingine zaidi ya SMS.
Uwepo wa mitandao kama WhatsApp, Telegram etc unaonesha watu wanaweza kupigiana...
Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo.
Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao.
Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe...
Shirika la umeme la Ukraine ,Ukrenergo limewataka wateja wake wawe wakichaji simu zao mapema na tochi kwani hali ya upatikanaji wa umeme imezidi kuwa mbaya huku hofu ya kushambuliwa zaidi kwa vinu vya umeme kutoka majeshi ya Urusi ikiongezeka.
Katika nasaha zake katika kipindi hiki cha baridi...
Habari wakuu, baada ya kuvutana kwa mabishano ya hoja hapa tulipo nimeona nije JF kuuliza kuhusu hili.
Hivi kampuni yoyote ya simu ina uwezo wa kurekodi maongezi ya kila mteja wake kwa simu anazopiga au kupigiwa (maongezi)? Yaani hata zile simu za salam, au wanachukua hatua ya kurekodi tu pale...
Habari wakuu,
Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa.
Mwenye ujuzi naomba msaada...
Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake.
Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
Tuko mbali mikoa tofauti, hapa kisanga ndipo kinakuja. Anapenda kupiga piga simu mara kwa mara, sasa mara nyingi najikuta namkatiza ilee.. "Samahani ngoja nitakupigia baadae kidogo".
Kiukweli muda huo unakuta shughuli imenitinga na ukizingatia aina ya shughuli zangu haziruhusu sana kuongea kwa...
Unakijua king'ora?
Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa.
Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia.,
Mchana pia lunch break kitapigwa.
Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa
Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali...
Jaji Caramuru Afonso Francisco wa Mahakama ya Haki za Kiraia ametoa hukumu hiyo na kuita utaratibu huo "matusi ya kibiashara" ambayo yanawalazimu wateja kununua bidhaa ya ziada
Uamuzi huo unaoweza kukatiwa rufaa unakuja baada ya Apple kupigwa faini nyingine ya Tsh. Bilioni 5.8 kwa suala hilo...
Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao.
Kwa mujibu wa CAK watumiaji simu na kampuni za mawasiliano waliongezewa muda wa miezi 6 kuanzia April 15, 2022 ambao...
Naona muda wa kulala unakaribia na wengine bado wanapiga safari moja huanzisha nyingine.
Umewahi kukaa jirani na mtu mahali mnasubiri huduma labda kwenye taasisi fulani hivi halafu huyo mtu anatumia nokia ya tochi akawa anachati an anaandika msg ukasikia jinsi zile button...
Huwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja.
Hivi punde tumemkosa chup chup IST mmoja alikuwa anaingia barabarani kubwa huku anaongea na simu.
Hii ni kasumba mbaya sana ambayo wengi wetu tunayo. Kuna wakati dreva anaongea na simu ya kawaida tu haina dharura yeyote.
Epusha ajali zisizo za...
Wakuu amani,
Nimefanya mawasiliano na ndugu yangu aliye kijijini mkoa wa Dodoma, mojawapo ya makampuni yetu ya simu (local) liliingia mkataba na kijiji miaka zaidi ya mitano iliyopita kwa ajili ya kuweka mnara wa mawasiliano kijijini hapo.
Tatizo ni kuwa kampuni hilo halitekelezi sehemu yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.