Tafuta Google pixels boss utakuja kunishukuru baadaenataka simu bora kwa charge , speed, net work had 5 G, picha nuzri sana kwa sh laki 5 au 6. Nomba ushauri
Yaani mtu atoe laki ananunue haya matakataka ya tecno, infinix sijui nini, huu utakuwa ni ujuha.Chukua Infinix Note 12 hutajutia... check specs zake hapa chini..
![]()
Infinix Note 12 (2023) 8GB 128GB Price in Tanzania
Infinix Note 12 (2023) 8GB 128GB - TZS 455,000. Full specs, warranty, installment plans and delivery across Tanzania.priceintanzania.com
Kama ipi mkuu?Tafuta Google pixels boss utakuja kunishukuru baadae
Google Pixel 4 XLKama ipi mkuu?
Mkuu Samsung Galaxy A33 5G inakidhi haya mahitaji. Ina 5G, battery nzuri, camera. Issue yake ni kwamba mtaani bei ni laki 7 (ambazo naziona online) pengine ukizunguka vizuri unaweza pata laki 6 ama 6 na nusu.Nataka simu bora kwa charge, speed, net work had 5 G, picha nuzri sana kwa sh laki 5 au 6. Nomba ushauri