simu

  1. Watoto na wanafunzi waruhusiwe kumiliki simu, la sivyo watabaki nyuma

    Simu kwa zama hizi ni kama kompyuta. Ukizuia watoto na wanafunzi kumiliki simu ni kama kuwazuia kumiliki kompyuta. Huko ni kuwaza kwa mtindo wa kale sana. Cha muhimu ni kuweka taratibu wasiingie nazo darasani na kufundishwa matumizi salama ya simu. Lakini kumkataza mwanafunzi kuwa na simu ni...
  2. Mfumo wa kubaini madereva wanaochati, kuongea na simu waingia Dar

    Katika kupunguza ajali za barabarani zianazotokana na madereva wanaoendesha vyombo vya moto nchini, Kampuni ya Cogsnet Technologies imekuja na teknolojia mpya ya kufunga mfumo wa kielectroniki utakaokuwa unarekodi na kupiga picha makosa yote yanayofanywa na madereva wa magari wanapokuwa...
  3. Kuna namna ya kufupisha muda wa simu kuita ukipigiwa?

    Habari wakuu sana, Kuna zile simu unapigiwa lakini unakuwa hautaki kupoke au muda huo hauwezi kupokea kwa sababu mbalimbali. Sasa zinaita muda mrefu inakuwa kero na kukata huwezi. nimeona kuwa kwa wastani simu inaita sekunde 30-45. Kuna namna ya kufupisha labda iite sekunde 5 au 10 hivi...
  4. C

    Kero za meseji taka (spams) kampuni za simu muwe na utaratibu kupata ridhaa kutoka kwa mtumiwaji

    Kumekuwa na tabia ya kampuni nyingi za simu kuingia ubia na baadhi kampuni ambazo wamekuwa wanatuma meseji taka mbalimbali mara kubeti, bahati nasibu, n.k. kwenda kwenye namba za wateje bila ridhaa ya wateja wenyewe. Nasema ni kero kwakuwa, unaweza ukakuta kwenye simu yako msg kama 10...
  5. M

    HAIKUBALIKI: Mitandao ya simu kutumia simu zetu kama bango lao la matangazo ya biashara, WAKOME!!

    Hii haikubaliki hata kidogo na nawaomba wamiliki wenzangu wa siomu za mkononi tukatae kwa nguvu zote makampuni ya simu kutumia simu zetu kama bango lao la biashara! Wanatujazia mameseji kibao wakitangaza biashara zao. Simu ninunue mimi halafu wewe uitumie kwa matangazo yako ya biashara bure...
  6. G

    Kwanini Ikulu hawapokei simu zinazopigwa kwenye line walizotuwekea?

    Kwenye tovuti ya Ikulu zimewekwa namba za simu unazoweza kutumia kuwapigia simu. Ukipiga kupitia namba hizo simu inaita pasipo kupokelewa, tatizo ni nini? Simu zinapokelewa Ikulu ya Marekani, hata taasisi kongwe na tajiri kuliko taasisi nyingine yoyote duniani, wenye makao yao makuu Vatican...
  7. Simu ya Nabi kwa Mgunda leo asubuhi yaipeleka Yanga makundi ya Shirikisho Afrika

    Mpira umetembea leo kule Tunis kwasababu ya simu aliyopiga Kocha kupata ushauri kutoka kwa Guardiola Mnene. Nampongeza Kocha kwa uamuzi wa busara.
  8. Zijue special programs zinazopatikana kwenye toleo la camon 19 tu

    UTOFAUTI NA UPEKEE WA SOFTWARE PROGRAM ZINAZOPATIKANA KWENYE TOLEO CAMON 19 Phone Cloner Hii ni software program inayopatikana kwenye toleo hill la camon 19. Phone cloner inampa nafasi na urahisi mteja wetu alie nunua simu hii ya camon 19 series kuhamisha Data zake kutoka kwenye simu yake...
  9. Window gani nzuri kwa ajili ya fundi simu upande wa software?

    Wakuu naomba kujuzwa kati ya window 7 na 10 ipi ni nzuri kwa ufundi simu upande wa software ninazo box na sio crack
  10. Biashara ya ufundi simu

    Kwema wanajamii forum?? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kuna mdogo wangu ananisumbua sana,kamaliza chuo sasa hana kazi,kaniomba nimfungulie office ya ufundi simu. Sasa nilitaka kujua mpaka ufungue hiyo office itagharimu kiasi ghani? Na kila kifa cha muhimu bei yake na kinaitwaje?? Dogo...
  11. Jaman nilikuwa nauliza vifaa vya muhimu kwenye biashara ya ufundi simu

    Ambaye ana sehemu nzuri ya kibiashara kuna fundi vifaa vya electronics anaitaji support
  12. Kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance nk

    Nipo kijiji cha Muruvyagira, wilaya ya Ngara njooni mnipige. Mamillioni ya fedha ambayo yamesombwa na yanaendelea kusombwa na haya “makampuni ya kimataifa” kama wajinga wanavyoyaita kwa kujitapa ni ushahidi kuntu kwamba asilimia kubwa ya watanzania tuna uwezo finyu sana wa kupembua na kung’amua...
  13. Ipi simu nzuri kati ya iPhone 8 plus, iPhone X, iPhone XR, iPhone XS, iPhone SE na iPhone 11?

    Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale waliowahi kutumia hizi simu ipi ipo bora zaidi kati ya hizo nilizozitaja? Japo naona zote MP 12 ila...
  14. K

    Simu bora kwa laki 5 au 6

    Nataka simu bora kwa charge, speed, net work had 5 G, picha nuzri sana kwa sh laki 5 au 6. Nomba ushauri
  15. Serikali ndio ya kulalamikiwa, Mitandao ya simu inafidia gharama zinazoongezwa na Serikali kwa kupandisha bei vifurushi

    Nimekuwa nikiona sehemu nyingi watu wanalalamikia mitandao ya simu kuongeza bei za vifurushi, hii sio sawa, tunalalamikia 2 badala ya kulalamimikia chanzo cha 1+1. Ni kama vile gharama za mafuta zikipanda basi nauli nazo zinapanda, si haki kuwalaumu wafanya biashara wenye mabasi. Ndivyo ilivyo...
  16. Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

    Hi! Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao. Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume...
  17. Vita Ukraine inazidi kututesa vifurushi vya simu vimepanda tena

    Wadau hii vita itaisha lini maisha yanazidi kutubana tu duh naona leo vifurushi vimepanda tena now 2000 mb kadhaa badala gb 1 ila tutafika tu japo tukiwa tumechoka sana
  18. Thamani ya miamala ya Simu yapungua nchini

    Wakati idadi ya watumiaji wa huduma za fedha kwa simu za mkononi ikizidi kuongezeka, thamani ya miamala wanayoifanya inapungua kila uchao. Ripoti ya robo mwaka inayoishia Septemba 2022 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha idadi ya miamala imeongezeka kutoka zaidi ya milioni...
  19. Vifurushi vya mitandao ya Simu vimepunguziwa ujazo, bei zimepanda zaidi, hali ni chungu

    Hata kwa elf 2 huwezii kununua Gb utaambulia MB, vifurushi vimepanda mno Kwa hali iliyopo Sasa kumetokea mabadiliko yanayoongeza ukali wa maisha kiuchumi kwenye kuvimudu vifurushi, mitandao ya Simu imepunguza ujazo wa vifurushi na kuvifanya viwe ghali zaidi. niliwahi kusema hivi vifurushi kuna...
  20. Watumiaji wa simu, intaneti waongezeka Tanzania

    Watumiaji wa simu za mkononi wameendelea kuongezeka nchini ikielezwa kuwa ni kutokana na mazingira wezeshi katika sekta ya mawasiliano kuelekea uchumi wa kijidali. Hayo yamebainishwa katika ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyotolewa leo Oktoba 25 jijini hapa. Kwa mujibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…