Simu ambayo ni IMEI Blacklisted, at&t network locked!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Habari wanabodi,

Niende moja kwa moja kwenye mada, nimenunua simu (Pixel 6 pro) kutoka ebay.. wakati nanunua muuzaji alidai kwamba simu ni Open Box na haijawahi kutumika na ni UNLOCKED.

Simu baada ya kunifikia kweli ilikuwa inaonekana ni mpya haina shida, ila baada ya kuweka line ikatoa allert kwamba 'sim card not supported, contact at&t if they can unlock this device' baada ya kucheck na at&t wakanipa message 'We can't unlock this device because we can’t locate it in our database of devices sold by AT&T.'.. nikaenda imei24.com na kuingiza IMEI ya simu ndipo nikagundua imei ni Blacklisted!

Mpaka sasa seller hajatoa suluhisho lolote, na overall simu ni nzuri saana, issue ni hiyo tu kutosoma line.

Sasa niwaulize wataalam kuna namna ya kufix hii issue? Sina shida sana na blacklist yao ila nahitaji line yangu isome. Binafsi nina options 2.

1. Kurudisha simu kwa seller ila nitapata hasara ya shipping.. karibu 500K.
2. Kujaribu kucheki na wataalam kama wanaweza kufix hili tatizo ama ikiwezekana kubadili IMEI number.

Option ipi ni nzuri zaidi kwa nyinyi wazoefu?

CC: Chief-Mkwawa @mikhayiyl Reuben Challe City Rider Bavaria
 
Option ya pili inawezekana kabisa ila ni kosa kisheria, kuna baadhi ya Nchi Imei zinauzwa Kihalali, niliwahi sikia Kuna Mafundi Authorised hapa Tanzania ila sihaifatilia sana hii issue.

Pia mkuu sababu Imei ipo blacklisted sehemu fulani haimaanishi ipo blacklisted Tanzania, mfano inawezekana ipo blacklisted AT&T sababu mtumiaji wa Mwanzo hajalipa tu deni lake, so ni Issue yao wenyewe haiwahusu TCRA.

Tumia website ya TCRA kuhakiki ingia hapa

Kama ipo poa, hangaika kuitoa lock kwa njia nyengine kama hawa jamaa wa mabox.
 
asante sana kwa ushauri murua, so niachane na option ya kurudisha ebay? pia hao jamaa wa mabox wanaweza ku unlock simu ambayo ni at&t network locked? na ukizingatia simu ni pixel 6 pro
 
1674808429938.png
 
Postpone kwanza, kurudisha si kama mwezi hivi? Hangaika nayo kwa jamaa wanaotoa lock.
 
Back
Top Bottom