simu

  1. M

    Hivi mtu mwenye akili unatumiaje simu ya Itel, Infinix na Tecno?

    Hivi mtu na akili yako kabisa unatumiaje hizo simu tajwa hapo juu? Kwanza kwani hizo ni simu? Au mabomu tu ambayo yametengenezwa na wachina? Kwanza mimi nikimuona mtu anatumia simu tajwa hapo juu sijui namuonaje sijui namuona kama sometime akili zake zimeruka au amewehuka kabisa yaani wewe...
  2. Mliokimbia DAR acheni kutusumbua kila muda mnapiga simu kuulizia

    Ndugu zetu mliopanda mabasi na kutokomea mikoani huko ebu acheni kupiga piga simu kuulizia hali ya huku, sisi sio mareporter kwaio mlivoondoka huku mlitegemea nani ataingia barabarani
  3. Ukipiga simu sana leo D9 App ya true call inakwambia kuna mtu ameangalia namba yako wakati ufahamu hiyo namba

    Mnaotumia true call mnaweza kujiuliza leo tarehee 9 .App ya true call inaweza kukuonesha wanaokutafuta kama wataweka namba yako. Na kwa nini ili jambo limeanza leo
  4. M

    Hivi ni uraibu wa simu au uraibu wa intenet, unaweza kuwa mraibu wa simu bila data ?

    Mimi nilichokiona kusema mtu ni mraibu wa simu kuna vitu vimemiss kwa kiasi kikubwa huwa naona waraibu wa simu huzitumia sana kwenye internet mfano kuperuzi google, mitandao ya kijamii, youtube, whatsapp groups, downloading, n.k.
  5. Kuna mpango wa teknolojia ya simu kutumia direct kwenye setelite. Je, TCRA mtaweza kuzima kilichopo juu?

    Teknolojia zina shika kasi sana.Kwenye Iphone 17 nimeona mfumo wa setelite ina maana mbeleni kutaweza kuwafanya watu wapate wanachokitaka sehemu yoyote. Huku kwetu tumeona hii tabia ya kuzima internet likuwa jambo la kila uchaguzi unapofika. Je TCRA mumejibangaje kufika angani na mkasi.
  6. Simu yako isikose game au story za kusoma pindi mtandao unapo zimwa

    Wakizma mtandao simu zita kuwa kam tochi tu umejipangaje andaa magem yako lakini pia story story ninazo sema utaka ipi ya kichawi kijsusi au chombezo nakutumia pm utajua wewe pakwenda kusav ili uwe una soma Leejay49 nina story zako 3
  7. Phone4Sale Nauza simu yangu Infinix note 12, nimekwama

    .
  8. PostGE2025 Shida hapa Tanzania ni mkakati tu

    Habari wadau. Kiukweli Tanzania tumeshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo shida ipo kwenye strategy tu. Hapa ndo tunapofeli. Mipango mikakati hamna kabisa wapi tuanzie wapi tuishie tunafeli kabisa. Uwezi kushinda umaskini kwa maneno. Lazima kujituma na kuwa na mipango. Watu wananguvu sana ila...
  9. Serikali ya India imezilazimisha kampuni za simu kuinstall Sanchar Saathi app kwa ajili ya kutrack wananchi, inatufaa pia hii bongo

    Katika harakati za kuimarisha ulinzi wa nchi serikali ya india imezilazimisha kampuni za simu kuinstall app hio kwajili ya kufuatilia maongezi ya wananchi pamoja na wqnachoandika, hii inaifaa sana tanzania haswa kwa iki kipindi watu wanapanga maadamano na itakua effective sana --- "This is...
  10. Nini hasa lengo la hii Press ya Fr. Kitima siku ya leo?

    Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10. Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9. Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa...
  11. H

    PostGE2025 Maria Sarungi: Tutawashitaki mitandao ya Simu ikishiriki Tena kwenye kusaidia Serikali uzimaji wa mitandao

    Mwanaharakati wa haki za jamii mitandaoni Maria Sarungi amewaonya wamiliki wa mitandao ya Simu kutokubali kutumika na serikali kuminya haki wananchi kutumia internet maana safari hii kuelekea D9 atawafungulia mashitaka haya yote ameyazungumzia kwenye kipindi chake cha Maria space.
  12. Tatizo la kuongea sana: Serikali yazidi kujichanganya. Muliro alisema AI, Msigwa asema picha zilizopigwa kwa simu

    Kwa namna Serikali ya Samia inavyozidi kujichanganya ndivyo inavyozidi kuithibitishia Dunia kuwa ni lazima pawepo Uchunguzi huru wa Kimafaifa kuhusu Mauaji ya Maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na Samia na wakuu wake wa vyombo vya dola. Wakati anahojiwa na DW, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
  13. Changamoto ya Simu na kuwaka yenyewe

    Habari ya kuamka wakuu natumai mmeamka salama kwenda kupambana kutafuta riziki na Harakati za kuikomboa nchi zikiendekea. Inshort ni kwamba Nina Simu yangu Samsung A42 5G ina changamoto ya kuzima na kuwaka yenyewe na hata ikiwaka kuna baadhi ya vitu havifanyi kazi kama Bluetooth...
  14. Jinsi ya kulinda simu yako dhidi ya tracking na wizi wa taarifa zako

    Hapa nimeleza njia rahisi na salama za kulinda simu yako dhidi ya ufuatiliaji, wizi wa taarifa, na udukuzi, ili kuhakikisha mawasiliano yako na faragha zako zinabaki salama kila wakati. 🛡️ 1. Zuia Watu Kujua Ulipo (Location): Unawezaje kuzuia? Zima location: Nenda Settings → Location → Use...
  15. Kimara: Polisi wanakagua simu kabla ya kupanda mwendokasi. Wanalazimisha utoe password

    Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam kupinga Samia kuteka na kuua watu, Polisi bado hawajapoa. Ukienda kituo cha Basi au Daladala, wanakuambia utoa password waangalie kama hauna picha za maandamano. Kama unazo wanakulazimisha uzifute. Wanalazishi hata zile picha za Watu...
  16. M

    Watu mliokuwa mnapigiana simu kawaida na kutumiana sms, hao ndio watu wako sasa

    Hao ndio watu wako sasa wale wa Magrupu, Insta, Tiktok, n.k. wachukulie kama wa ziada.
  17. K

    Simu za WhatApp pekee ndiyo hawawezi kurekodi

    Nawajukisha tu ukitumia whatapp pekee ndiyo hawawezi kukurekodi lakini ukiongea na simu ya kawaida Tanzania hasa kwa simu ya nje wanakurekodi . Kuweki makini kuongea siasa kwa simu za kawaida lakini whatapp ndiyo hawawezi nawajukisha
  18. B

    Kwanini kila ninaempigia simu Tanzania kwa normal international minutes hapatikani?

    Habari wakuu, Aisee kila ninaempigia smu Tanzania simu hazipatikani , na si kwa whatsap call hapana ni kwa normal international minutes Hivi ndo shida ni mtandao kuzimwa au ndo hakuna umeme simu zao wote hazina. Charge??
  19. Kama unapinga udhalimu wa CCM hapa JF Kuwa makini, Kuna makachero wa utekaji. Usitoe namba yako ya Simu humu

    Habari wana JF. Siku imekucha na makucha yake. Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno. Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
  20. H

    Toa namba ya simu inayokuwa na salio muda wote siyo unampigia au unamjibu mtu kwa namba yako ambayo hujampa

    Hi ni tabia inayokera sana mtu anakupa namba ya simu ambayo anajua kabisa haina salio unawasiliana naye kupia namba hiyo badae yeye anakujibu au anakubip kwa namba tofauti kabisa,huo ni ushenzi uliopitiza kama vi toa namba zote basi ulizosajiri ili mtu aku-save ili ukipiga akutambue!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…