simu

  1. JamiiForums Tanzania Adui Yangu Anaitwa Simu

    Hii sio kawaida! Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee! Youtube Insta Fb Site za wakubwa(twice) Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means Kuna kama masaa sikushika simu) .. Kweli nahitaji social media detox, hii imesababishwa na being...
  2. JamiiForums Tanzania Simu za nyumba ni mtego unaomaliza pesa za watu

    Shtuka! Kitu unachotakiwa kuangalia kabla hujanunua simu ya "Mtumba" au ile iliyoandikwa "Refurbished" dukani. Watu wengi wakitaka kununua simu kali (kama iPhone au Samsung) kwa bei nafuu, wanakimbilia simu zilizoandikwa Refurbished (zilizokarabatiwa na kufungwa upya kwenye maboksi) wakiamini...
  3. JamiiForums Tanzania HOJA Msiweke namba za simu kwenye taasisi zenu ili hali mnaona kabisa hamna mpango wa kuzipokea na kuwasaidia watu wapate huduma, mnaudhi sana

    Nianze kwa kuwapongeza customer care wa kwenye private sectors Wapo very active kupokea simu na kutoa maelekezo ya huduma wanazo zitoa kwa wateja hapa nawajumuisha na customer care wa TANESCO. Nije kwa hawa customer care wetu hawa, wanaoweka namba za simu ili watu wapge wapate maelekezo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati wa maandamano ya ukombozi simu nyingi za wazazi zililia kuwaambia watoto wao wasitoke na wabaki ndani wasije wakauawa

    Hamjambo Wote! Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani. Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani. Nakumbuka...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 6 ya Ahadi Hewa: Kituo cha Simu cha NIDA Kinafanya Kazi ya Kasuku au Kuna Siri Gani Nyuma ya Vitambulisho?

    Wana-JamiiForums, Nimefika kikomo cha uvumilivu. Naandika post hii kwa hasira, masikitiko na maswali mengi ambayo naamini mimi siyo mhanga pekee katika nchi hii. Mnamo mwaka 2020, nilikamilisha taratibu zote za usajili wa Kitambulisho cha Taifa (NIDA). Nilipigwa picha, nikatoa alama za vidole...
  6. JamiiForums Tanzania Technician wa kichina anaunda simu, Msomi wa master's anakuwa winga wa simu hiyo

    Nimeona uzinduzi wa logistic hub(ghala la forodha)...Nikawaza Ni mafanikio YA kusherehekea au inabidi tujitafakari kasi yetu YA kugeuza TAIFA letu SOKO Kwa bidhaa ZA nje. Tukiwa na idadi kubwa YA watu hasa vijana tunahitaji kufikiria kuzalisha ajira na si kuwa SOKO .. madhara YA SOKO Ni...
  7. JamiiForums Tanzania Apple Wametangaza iOS 27 na Apple Intelligence (AI). Wametaja na List ya Simu zitakazo-support!

    Jana kwenye WWDC 2026 Apple wamezindua iOS 27, macOS 27 Golden Gate, iPadOS 27, na watchOS 27. iOS 27 itakua supported na simu zote kuanzia iPhone 11 kuja juu. iPadOS 27 itakubali kwenye iPad Mini (6th gen) pamoja na Mini yenye A17 Pro kuja juu. macOS 27 kuanzia Macbook “nyingi” za 2020...
  8. JamiiForums Tanzania Unataka kujifunza kutengeneza simu na kujiajiri kwa ujuzi unaohitajika sana sokoni?

    Kila siku maelfu ya simu hupata matatizo kama screen kuvunjika, kushindwa kuwaka, matatizo ya kuchaji, software errors na hitilafu za motherboard. Hii imeifanya fani ya ukarabati wa simu kuwa moja ya fursa kubwa za kujiajiri na kujipatia kipato. Mafunzo ya mobile repair kwa kawaida hujumuisha...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya ku-topup simu ni Biashara kichaa

    Wateja wanaotaka simu latest mfano iPhone 17 kwakua hawana cash wanapeleka simu yao za zamani mfano iPhone 16 kisha wanaongezea hela naona kabisa hawako sawa kichwani Yaani nikupe simu na nikuongezee Mil 1.6 kwahiyo simu yangu (mfano iPhone 16 Pro) inathamani gani? Laki 5 au? Maana huwezi...
  10. JamiiForums Tanzania Sheria Mpya EU: Betri za Simu Zibadilishwe na mtumiaji.

    Kuanzia mwaka 2027, Ulaya inashinikiza watengenezaji wa simu na kompyuta mpakato (tablets) kubuni vifaa vyenye betri ambazo watumiaji wanaweza kuzibadilisha kwa urahisi zaidi. Kanuni hii ni sehemu ya juhudi pana zaidi za kufanya vifaa vya kielektroniki vidumu kwa muda mrefu na kupunguza taka...
  11. JamiiForums Tanzania MSAADA NIMEFUTA NAMBA YA SIMU LAKINI WHATSAPP IMEGOMA KUFUTIKA

    Kuna namba ya simu ipo kwenye Contact yangu nimeifutq kwenye Contact imefutika siioni lakini chakushangaza kwenye WhatsApp yangu bado hipo na status zake bado naziona. Nimejaribu kuifuta imegoma naombeni msaada shida itakua wapi.
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haitaki kuwekeza kwenye elimu hasa ya mafundi simu?

    Hebu fikiria hizi picha hapo chini nimejifunza mwenyewe jinsi ya kutoa na kurudishia emmc hadi prosesa. Je ningeweza kusoma na kufundishwa si ningekuwa mbali zaidi. Wao kazi yao ni kuja tu kudai leseni kaa mafundi simu ila kutusaidia tuwe na ujuzi zaidi hawataki. Mfate fundi simu yoyote...
  13. JamiiForums Tanzania Shida Ni Earphones Au Ni Simu?

    Habari wakuu,,hopefully mko poa..Mimi aysee naomba mnisaidie kitu kimoja wataalamu wa Tech..Nimekuwa Nikinunua Earphones lakini baada ya muda kidogo tu zinaanza kupoteza ufanisi wake..Mfano ukijitikisa tu unashangaa muziki unaji'pause au unajipunguza sauti au kujiongeza..Then haiishii hapo...
  14. JamiiForums Tanzania Simu, Siri na Heshima ya Ndoa

    Katika maisha ya sasa ya teknolojia, simu imekuwa sehemu kubwa ya maisha binafsi ya watu. Ndani yake kuna mawasiliano, kumbukumbu, siri na hata heshima ya familia. Wakati mwingine mtu anaweza kujikuta ameona jambo ambalo hakutarajia kabisa — jambo linaloweza kumuacha na maumivu ya moyo...
  15. JamiiForums Tanzania Ina maana mpaka zile pingu ni za kisasa zikaenda kufunguliwa polisi.Na kwa nini walipigiwa simu na polisi

    Polisi wanataka kujichunguza wakati ndio wenye nyenzo. Mi navyo mjua kamanda muriro na wengine Ma RPC wanavyopenda sifa za kuita vyombo vya habari kutoa ripoti za matukio mbona kama wapo kimya. Kwa jinsi jeshi la polisi linavyojipeleka mda sio mchache sijui kama 2030 inafika kuna watu naona...
  16. JamiiForums Tanzania Ulega: Nimepokea simu kutoka kwa Bibi wa Miaka 70, anapongeza Serikali kwa kukamilisha Daraja la JP Magufuli

    Bibi Hellen Bugoye (70) kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (zamani Kigongo-Busisi) linalounganisha Kigongo na Busisi. Shuhuda za...
  17. JamiiForums Tanzania Muda mwingine weka Simu pembeni ufanye mambo mengine

    Sawa najua yako sikupangii matumizi, ila be present at the moment angalau itaonyesha utimamu wako. Na ikikubidi omba udhuru kisha utarejea au kama hulitaki tukio usiende/usije/usishiriki. Inashangaza mtu anakuita Kwa maongezi lakini yuko busy mno na simu yake, focus yake imehama iko kwingine...
  18. JamiiForums Tanzania Simu Yako Inakutawala? Hizi Hapa Dalili 7

    Dalili 7 Zinazoonyesha Simu Yako Inakutawala (Sio Wewe Kui-control) Unafikiri unaitawala simu yako. Hapana. Ndiyo inayokuamsha asubuhi, kuamua unafikiria nini, na kutumia kila sekunde yako ya bure. Hizi ni dalili 7 zinazoonyesha umekabidhi maisha yako kwa screen na ukaita “connection,”...
  19. JamiiForums Tanzania SI sahihi mwanamke aliye kwenye mahusiano au ndoa kuweka picha ya mtu yeyote maarufu wa kiume kwenye simu yake(wallpaper)

    Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda.. Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao. Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba huko TikTok amebomoa bei za vioo vya simu, wafanyabiashara wamemkasirikia, wateja wanamfurahia, kosa lake ni lipi?

    Kuna mwamba huko Tiktok anatoa vioo vya simu kwa bei chee, Simu kama samsung A05 ni 16k tu , Ila kuna ukicheki comments wafanyabiashara wamekasirika, anawaharibia biashara, sasa kosa lake lipi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…