simu

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

    Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako. Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu Tanzania, kwanini mmezuia neno "SEX" kwenye meseji?

    Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini? Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini? So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex. Acheni utoto nyie
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa kaibiwa simu Kariakoo halafu kwenye laini yake ya Yas mixx kulikuwa na milioni 5, wameiba zote

    Hivi Hawa jamaa inakuaje mpaka wanaweza kuiba pesa na namba ya Siri hawana maana Leo ni kilio jamaa yetu hapa mtaani aliibiwa simu jana na alishapigia Yas wakaifunga laini ila Leo amerenew laini Leo anakuta Salio zero inawezekana vipi Hawa wezi kutoa pesa huku wakiwa hawana namba ya Siri Wala...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi kutoa ripoti kwa Mamlaka kuhusu jumbe na simu za kitapeli

    Unashauriwa kuripoti namba ya simu iliyokupigia au kukutumia ujumbe mfupi, kwa lengo la kukutapeli kwenda namba 15040. Kama umetumiwa SMS, tuma ujumbe uliotumiwa kwenda 15040 kisha ingiza namba iliyokutumia na kama umepigiwa simu basi tuma neno UTAPELI kwenda 15040 kisha ingiza namba...
  5. Mike400

    JamiiForums Tanzania Nauza simu Samsung ao5 ram4..gb 128

    Habari za majukumu wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza nauza simu yangu Samsung ao5 ina ram 4 .. memory ni gb 128 .. battery 5000 mah .. clean as new .. Bei 210k .. Mteja serious..0684 56 25 23 Unapata charge original..pamoja na earphones
  6. W

    JamiiForums Tanzania Matapeli 11 wadakwa na laini 9,389 za simu

    JESHI la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kukutwa na laini 9,389 za mitandao ya simu walizokuwa wakitumia kufanyia matukio mbalimbali ya uharifu kwa njia ya mtandao na unyang’anyi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi (SACP) Safia Jongo ametoa...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi kukupigia simu kila saa ni sawa tuseme ni mapenzi au kero ?

    Hivi kwenye mqpenzi , kuwa na mpenzi anayekupugia simu kila wakati naona kama ni kero . Kuna muda akili inatakiwa I focus na mambo mengine ya maisha sio kubebishana kila wakati
  8. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania Mnajuaje location alipo mtu kwa simu?

    Hivi huwa mnajuaje mtu yupo sehemu fulani kwa kutumia location ya simu?Nataka kujifunza hili somo naona huyu mdeni ananichezea.
  9. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kuna watu mwezi huu wanatumiana jumbe za simu za namna hii

    MASIHARA! Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo. Mwanaume:👁️‍🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote". Mwanamke:👁️‍🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili...
  10. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Usitegemee sana Lipa kwa Simu kwa Vodacom, Wakati wa Jioni! Utadhalilika

    Voda Voda Voda!! Inakuwaje kila ikifika jioni huduma za Mpesa zenu hazipatikani? Hili ni tatizo almost mwezi mzima sasa. Kila ikifika saa Moja jioni. Huwezi kufanya Malipo yoyote kwa Lipa Namba ya Voda. Nawahama!!! Vodacom Tanzania
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nauza simusamsung s21 + 5gram 8 gbstorage 256bei 450,000 maongezi yapo 4 nipo darhaina kipengele labda aje nacho mteja

    Nauza Simu SAMSUNG S21 + 5G RAM 8 GB STORAGE 256 BEI 450,000 INA MIEZI 4 NIPO DAR HAINA KIPENGELE LABDA AJE NACHO MTEJA. MAWASILIANO 0688601539
  12. Kop0

    JamiiForums Tanzania Moja ya Apps nzuri kuwa nazo kwenye simu.

    Hii apps ipo playstore ni moja ya apps nzuri sana. Apps hii ni kama Insta naweza sema au tiktok ila inakupa task za kufanya na ukiweza kufanya kwa wakati wanakulipa japo kidogo. Pia ukiweza tengeneza video fupi ya sec 90 yenye content nzuri ikapendwa na watu namaanisha likes nyingi unapata pia...
  13. upupu255

    JamiiForums Tanzania Video: Tazama mwizi huyu wa simu alivyodakwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe

    Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hizi simu mnazokamata kwa matapel nashauri zigawiwe kwa jamii kusaidia mawasiliano kama yatima na wajane

    Nimeona ma simu zaidi ya 60 kwenye taarifa ya habari wamekamatwa matapeli WA simu Naamini KUWAPATA WAHUSIKA n NGUMU sana Kama n hivyo hizi SIMU TUNASHAURI tukawape wale wanasaidia jamii kama vituon vya YATIMA wajane na wenye kutunxa walioathirika na ...na wale wanaotunza wazee
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kati ya Januari - Februari 2025 simu 169 zimepigwa kuripoti matukio ya Ukatili kwa Watoto Nchini

    TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI Dar es Salaam, Machi 11, 2025. Ndugu waandishi wa habari Tarehe 26 Februari 2025 ziliripotiwa taarifa kupitia vyombo vya habari za kufariki kwa...
  16. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kuelewa Matumizi / Ugavi wa Umeme ni rahisi ukifananisha na Bandwith (Matumizi ya Simu) OffPeak na Peak Times.

    Kama vile ilivyo bandwidth yaani capacity ya watu kuweza kuongea kwa wakati mmoja kwenye simu / mitandao ndio hivyo Umeme ukishauzalisha inabidi utumike, sababu kuutunza ni gharama, (Ingawa unaweza kutumia Bwawa kama Battery), kwahio nikichukulia mfano wa kama watu wanaweza kunywa maji Pipa moja...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kununua simu ya zaidi ya milioni kama haina cha ziada katika shughuli zako unless you are rich , simu nyingi ≤ milioni 1 zinajotosheleza.

    Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la tech lina wadau wachache, Matumizi ya simu ni kupiga simu, kuchati, kusikiliza muziki, kurushiana...
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mwizi wa simu anaepigwa hapa kariakoo mda huu ni hatari sana

    Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
  19. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania sms za “Sitapeliki” kwenye inbox za simu zetu zinatosha sasa

    Naungama na wengine wote waliopaza sauti zao kuhusu hili. Mamlaka tunaomba mtuonee huruma sasa, hizi meseji zinatosha sasa kwani zinajaza inbox za simu zetu. Kama ni elimu naamini tushaipata ya kutosha juu ya hao matapeli
  20. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Bajeti yako ya mwisho kabisa kwenye kununua simu ni shilinga ngapi?

    Huwezi kununua simu inayozidi sh ngapi? Tushirikishe…
Back
Top Bottom