simu

  1. The Dictator

    EU wazitaka kampuni za simu na kompyuta kuwezesha betri zao kubadilishwa na mtumiaji wa kawaida kuanzia 2027.

    Kuanzia Februari 2027, Kanuni ya Betri ya EU (EU Battery Regulation 2023/1542) inaitaka kampuni zote zinazouza simu na kompyuta mpakato nchini humo kuhakikisha kuwa betri zinaweza kutolewa na kubadilishwa na mtumiaji wa kawaida. Kama ilivyotokea kwenye agizo la USB-C ambalo liliilazimisha Apple...
  2. Ritz

    Trump: sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ulaya wamekanusha

    Wanaukumbi. BREAKING: TRUMP IMEFICHUKA 🔥 🇺🇸 Trump –– "Sasa wakati sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ukweli wa Kufurahisha: 🇮🇹 Italia ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇬🇧 Uingereza ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇪🇸...
  3. Royal Son

    Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima!

    🚗⚡ KWANINI ABIRIA WAKO WAKOSE CHARGE? Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima! Jipatie Car Fast Charger inayoweza kucharge hadi simu 6 kwa wakati mmoja 🔥 🔌 Type-C + USB (Fast Charging) 📏 Cable ndefu – inafika hadi siti za nyuma 💡 LED ya kisasa inayovutia 👨‍👩‍👧‍👦 Inafaa kwa dereva...
  4. A

    KERO Dar: Usalama duni wa watoto wanaoenda kuogelea Jangwani Sea Breeze Beach, nani anawajibika?

    Siku ya sikukuu ya Idd, watoto waliniomba niwapeleke eneo la kuogelea. Nilishauriana na mke wangu, naye akapendekeza tuwapeleke Jangwani Sea Breeze, kwani ni sehemu iliyo karibu, na pia watoto wamekuwa wakisikia ikitajwa na wenzao shuleni. Nilikubali. Nikawasha gari, mimi na mke wangu...
  5. The ghost writer

    Mrembo huyu hapa akipiga kazi. Nyie wengine kazi kushinda saloon na kupiga simu za vibumu. (Mizinga)

    Urembo wako usiwe guarantee ya kudate na wanaume kibao Ili wakuweke mjini. Acha kushinda saloon binti acha kushinda mtandaoni kutingisha makalio, kurembuarembua Ili upate likes. Kama mrembo, mbona warembo wapo kibao na wengine walishaiga dunia. Na bado kuna wengine daily wanazaliwa. Punguza...
  6. R

    Taja kampuni kama unaijua: Bei ya simu laki 4, kioo kikivunjika gharama yake laki 3 na osheee

    Wakuu, Naona niendelee kutumia infinix na TECNO 😂 😂😂
  7. Mr Devil

    Msaada wakuu simu yangu haisomi line ,na wi-fe,hotspot, Bluetooth haziwaki

    Simu in Samsung A12 Nili nunua unboxed haijawahi sumbua kabisa ,ila hili tatizo lime anza baada ya kubadii kioo Nili peleka kwa fundi aka badili waya wa mtandao lakini tatizo Bado lipo aka suggest ni flash nimekuja kwenu wajuzi njia mbadala kabla ya iyo kuflash Note Simu haisomi kabisa ina...
  8. Pakome

    Simu nzuri ya kifahari kwa Mwanaume ni Samsung

    Kampuni ya Samsung inajua kumpa Mwanaume bidhaa anayotaka sio kama wale jamaa flani wanaotengeneza simu zilizopambwa kama za kike Simu ina shine nje na ndani utafkiri imepakwa siagi Mwanaume na viatu vinavyowaka taa wanaelewana vipi Samsung watazidi kula kihalali hela za Wanaume Hata...
  9. P

    Serikali angalieni hili la makampuni ya simu

    Hasa hasa YasTanzania #YasTanzania hawa jamaa kila ukinunua umeme mara nyingi utakutana na changamoto ya kukosa token na ukiwapigia simu unajibiwa kirahisi tu kwamba jihidumie au subiri masaa 24 ya kazi yaani siku tatu, Na ukijihudumia unakutana na majibu kwamba hakuna muamala umefanyika, kwa...
  10. A

    KERO Responded Stendi ya NaneNane – Mbeya taa haziwaki usiku, tunalazimika kutumia tochi za simu

    Watumiaji wa Stendi ya NaneNane Mkoani Mbeya tuna changamoto inayohusiana na usalama wetu, kwani nyakati za Usiku abiria wanaoshuka hapo wanakutana na giza kwa asilimia kubwa. Taa zipo ila haziwaki, tunateseka sana, tunalazimika kutumia mwanga wa simu, hatujajua shida nini. Tatizo hili...
  11. M

    Tuzingatie kitu gani tunapokwenda kununua simu ili tupate simu bora?

    Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa kuchezea magemu inahitaji ujuzi na akili kubwa kuweza kufanya machaguo ya wakati wa kuingia sokoni. Sasa...
  12. Traxtion

    Je, unazingatia nini unapochagua UI ya simu

    UI ya simu (User Interface) ni muonekano na njia mtu anavyokuwa connected na simu, ikijumuisha unachokiona kwenye screen yako, menus, icons, na animations. Mfano ni One UI ya Samsung, HyperOS ya Xiaomi, au MIUI, ambazo zinabadilisha jinsi software inavyoonekana na kufanya urahisi wa matumizi...
  13. A

    KERO Kwanini Hospitali ya Wilaya ya Ubungo haiwaruhusu wagonjwa kuingia na simu kwa baadhi ya wodi, Je, ndiyo Sheria inataka hivyo?

    Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto). Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa haki ya kuwasiliana na ndugu zake, na endapo akapata changamoto yoyote kabla ya ndugu kumtembelea...
  14. M

    Simu Bora za Kununua nchini Tanzania kwa Mwaka 2026

    Ili kupata uzoefu wa simu za kiwango cha juu (flagship) nchini Tanzania kwa mwaka 2026, Samsung Galaxy S26 Ultra ndiyo chaguo namba moja. Inapatikana madukani kwa makadirio ya TZS 3,500,000 (GB 256) hadi TZS 3,900,000 (GB 512). Kwa wanunuzi wanaozingatia bajeti, mnaweza kuangalia Nothing Phone...
  15. A

    KERO Kitengo cha Mapokezi Hospitali ya Rufaa Mbeya hakina huduma nzuri, kuna mtumishi anaongea sana na simu, hajali wagonjwa

    Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo. Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa. Mbali...
  16. Farolito

    Hivi hakuna namna rahisi ya kujua Code ya mtandao wa simu kwa haraka?

    Wakuu, Nimekuwa nikipata changamoto ya kutambua code ya namba ya simu iliyokupigia au uliyopewa na mtu kwa kuangalia maana zinafanana na kila siku zinakuja mpya. Sasa hii inakua Changamoto kama mjuaavyo nchi hii imeshakua ya mabando, sasa unajikuta una dakika za mtandao mmoja tu ambazo huwezi...
  17. adriz

    Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

    Moja kwa moja . Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano . Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo. Lengo...
  18. P

    Nakopesha simu za mkopo aina ya Samsung A06, A07, A16 na A17

    Habari JF Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung. Modeli no A06, A07,A16 na A17. Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu Yako. Viambatanisho ni namba ya NIDA, leseni ya UDEREVA au kitambulisho cha mpiga kura. Dar...
  19. Poor Brain

    Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

    Wakuu Salama humu ndani... Kama umesoma uzi wa mimi kutaka sana kukaa kijinini basi mambo yalianzia huku Wakuu mimi nipo salama kabisa physical lakini kichwani hapana nina pitia mengi sana kiasi ambacho nahitaji msaada wa karibu wa mawazo pamoja na cancelling... Sio kwamba jamii nayokaa nayo...
  20. Damaso

    Simu za Mikopo Scheme Mpya za Utapeli

    Katika miaka ya karibuni, mfumo wa kununua simu kwa mkopo maarufu kama “Lipa Mdogo Mdogo” umeenea sana Afrika Mashariki. Kampuni kama Watu Credit zimejijengea jina kwa kuahidi wananchi kupata simu haraka bila kuwa na fedha zote mkononi. Ndani ya saa chache unaweza kuondoka na simu mpya uipendayo...
Back
Top Bottom