simba

  1. Sharbel

    JamiiForums Tanzania Wana Simba njooni tujadili

    Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa. Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu hatupo hivyo utakuta tunajipa lawama wenyewe kuwa ni uzembe wetu, na sipingi hilo. Nini namaanisha, ni...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL

    Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania MDAU: Simba sio mnyama wa kutisha, mnyama wa kutisha ni yule aliyemuua Samson

    Mdau mmoja wa anasema watu wengi wanamwogopa Simba, na kusema ni mnyama hatari na wakuogofya, lakini la hasha Simba sio mnyama wa kutisha katika macho ya binadamu kwa sababu binadamu huyo huyo ameshawai kuua Simba mara kadhaa. Wengi mnakumbuka kisa cha Mwamba mwenye nguvu iliyepiga na kuua...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania First Eleven ya Simba msimu wa 2024-2025 ni hii hapa

    First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni): Ayoub/Abeli Israel Zimbwe/xx Kazi/xx Che Malone Sarr/Hamisi Chasambi/Balua Ngoma/Mzamiru xx/Kanoute/Freddy Kramo Miquissone/Karabaka Chezaji za kupewa mkono wa kwaheri kwa kuuzwa, kuisha mkataba au kwa...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Anaeangalia mechi za Simba nisipomkuta mbinguni narudi

    Yaaaan alieeenda kuangalia Simba ana moyoo jamani 😂....... Napendaaa nimpongeze Sanaa sanaaa na pia kumpaaa uthibitishooo mbinguni inamhusuuu piga ua Wish u all doest watani wanguu msiniangushe kwa Mtibwa jamani tutaaibika
  6. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siawaoni nafasi ya pili NBC PL

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siwaoni nafasi ya pili nbcpl msimu huu 2023/2024 Simba watacheza leo mchezo wao mwingine wa ligi kuu ya NBCPL na ikitokea kupoteza mchezo wa leo atakuwa na wakati mgumu wa kumaliza nafasi ya pili msimuu huu. kwahiyo Kocha Mgunda anakazi kubwa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona sasa hivi Mashabiki wa Simba SC 'tumedoda' sana hapa JamiiForums Kulikoni?

    Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC kwa huu Utani wenu mbele ya Kocha wa muda wa Simba SC Mgunda mmeniacha Hoi mno

    Yanga SC (Mashabiki) wanasema kuwa Kocha Juma Mgunda hana hata Wiki Simba SC tayari Nazi zimepanda Bei nchini! ==== Pia soma: Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania
  9. Maganjila tz

    JamiiForums Tanzania Uozo wa Itigi DC yetu, Mbunge wetu amelala. Mwenyekiti halmshauri anakula hela za miradi

    JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI: ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA.* Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri Hussein Simba anabaki kuoa wanawake kila siku na kula hela za miradi tu. Hebu ona hii aibu Mama SAMIA...
  10. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Kwenu Mashabiki wa Simba na Yanga wenye Viherehere

    Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa kukamilisha duru ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania,almaarufu kama NBC PREMIER LEAGUE,naomba niwakumbushe mashabiki wa Simba na Yanga ili ikiwezekana waondoe tongo tongo za ujinga ndani ya bongo zao! Klabu za Simba na Yanga ili zijiendeshe zinahitaji...
  11. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Kuinusuru Simba SC, inapaswa kuundwa kamati ya mpito!

    Wakuu, Kwa ufupi ili kuinusuru hii timu ni muhimu haraka sana iundwe kamati ya mpito kusimamia timu kumaliza ligi kwa heshima. Kamati ndogo itayofanya kazi na muwekezaji kwa karibu pamoja na benchi la ufundi. Hii kamati iundwe na wachezaji wa zamani wa Simba na viongozi wenye heshima kwenye...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wale wale wahuni waliopo nje ya mfumo wa Simba wanampandisha mabega Kibu ili wale 10%

    Lile kundi la wahuni ambalo liko nje ya mfumo ndani ya klabu ya mnyama ambalo limesababisha uongozi ushindwe kufikia malengo kwa kuharibu mipango na mikakati yote ya uongozi wa Simba limeanza usanii, utapeli, hadaa na wizi waziwazi. Wao ndio walimleta Kibu ndani ya Simba na kwa vile Kibu...
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Watu katili katika football Simba vs Yanga

    Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali. Ikitokea mchezaji mzuri simba wanataka kumsaini na wao hizo taarifa wakazipata basi watafanya kila njia wao ndio wampate, kwa...
  14. Rule L

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya mateso ya Simba utadhani ni muongo mmoja umepita

    Kuna mtu aliwahi kunipa stori za maisha yake akiwa na pesa na akiwa hana. Alinambia kua wakati yeye yuko fiti kiuchumi alikua anawashangaa wanaolalamika kwamba maisha magumu hawana chochote. Baada ya miaka kadhaa nayeye akafulia, Sasa kwake ilikua ni hatari akawa anajiuliza kwamba hivi hata...
  15. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania

    Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena. Nani asiyejua uwezo wa Juma Mgunda katika ligi hii? Juma Mgunda siyo wakufanya kibarua cha saidia fundi ila...
  16. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Kennedy Juma bali tunapaswa kuwalumu viongozi wa Simba Sc kwa kutowapa posho wachezaji tegemezi na kusababisha mgomo ndani ya kikosi

    Kila mtu anamuimba Kennedy Juma kama vile yeye ndiyo wa kwanza kukosea, wanasimba hawapaswi kurusha lawama kwa wachezaji bali wanapaswa kujiuliza kwa nini CHAMA, SAIDOO,MIKSON NK hawakucheza na hata benchi hawakuonekana na hakuna taarifa yoyote kuwahusu wao?? IPO HIVI Ukianglia substitutes za...
  17. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Dawa ya simba kusonga mbele ni kukubali yanga wapo mbele zaidi yao.!

    Bodies of jamii forum I salute you..! Hii team inayoitwa simba kwa kweli inasikitisha.! Wana matatizo mengi sana lakini kwa uchache tunayajua na wao hawataki kuyakabili ili wasonge mbele! Inasikitisha WACHEZAJI!. SIMBA miaka hii inafeli upande wa usajiri, Sijui ni nani anawaletea wachezaji...
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Fredy Koublani ni mchezaji mzuri sana akitumiwa vizuri ataisaidia sana SIMBA SC atafanya maajabu NBC PL.

    Mimi naomba nitofautiane kidogo na wadau wengi wa jukwaa hili hasa hasa wana YANGA wenzangu na mashabiki wa simba SC wanaodai Fredy Koublan ni garasa. Huyu mchezaji namfananisha na the great khali (kwa walioangalia mieleka miaka ya 2005 watakua wanamjua vilivyo) Ana mwili mkubwa, ni mrefu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mbali na uongozi, mashabiki wa Simba nao ni wa kulamiwa kwani walikuwa hawataki kukubali timu yao ni mbovu na hoja yao ikawa ni Yanga wananunu mechi

    Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Kocha Benchikha kwa kuikimbia fedheha hii. Tatizo la Simba ni wachezaji wa kiwango cha chini

    Amani iwe nanyi. Huwa nikiiangalia hii timu ya simba na aina ya wachezaji wake wa sasa hivi kisha nikiilinganisha na ile simba ya kampa kampa tena ya Kocha Patrick Aussem au Didier Da rosa huwa najiuliza ,Je hawa wachezaji wa sasa hivi wangepata kweli namba katika vikosi vya wakati ule. Tatizo...
Back
Top Bottom