Tetesi viongozi na wazee wa simba wamuomba Mohamed dewji abaki asiondoke kama mwekezaji

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
2,100
3,985
Ni tetesi sio habari ya uhakika
Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF

Katika historia ya simba hawajawah kupata mafanikio kama ilivyo kipindi ikiwa chini ya tajiri wa kwanz Tanzania na africa mashariki Mohamed dewji

wamemsihi asisikilize habari za mtandaoni sababu wanaompigia kelele aondoke ni washabiki wa wayanga wanaojifanya mashabiki wa simba, wazee na viongozi wa simba wamemuhakikishia wanamuamini na wataendelea kumsupport
 
Hao wazee si ndio waliokwamisha mchakato wa kuikampunisha simba wakidai wanaachwa kwenye mfumo wa ulaji. Hao watakuwa wazee wa utupolo waliovaa jezi za simba. BAKHRESA ANAITAKA TIMU
 
"Wazee wa simba wana imani kubwa sana na mwekezaji wetu. Pale simba mchawi ni Mangungu tu na Try Again." (Alisema shabiki mmoja hivi. Kwa leo sitamtaja jina)
 
Wazee wa Simba tunaowatambua ni kina Kilomoni. Chini ya mo tumefungwa tano na watani wa jadi kitu ambacho haijawahi kutokea muda mrefu tumefungwa na Al haily nje ndani kitu ambacho haijawahi kutokea.
 
Back
Top Bottom