Simba Queens inajipigia tu Yanga Princess

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
4,327
8,321
Simba imeendeleza ubabe wa Ligi kuu ya Wanawake (WPL) mbele ya Yanga kwa Kuifunga tena mabao 3-1 kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.

Simba ambayo inafukuzia ubingwa ikiwa kileleni mwa msimamo kwa pointi 34, msimu huu katika ligi imefunga mabao 39 na kuruhusu saba tu, wakati Yanga iliyo katika nafasi ya tatu, imefunga mabao 18 na kufungwa mabao 10.

1714144012866.png

Source - Mwanaspoti
 
Ivi nako kuna wakina Pakome / Chama / Ziki / Enonga/ Diara / Lakred etc?
 
Huku ndo mnakuja kupozea machungu yenu?.

Mimi nimekaa pembeni nikisubiri msimu ujao nione akina Mangungu watakuja na maigizo/vyuma gani ndo nirejeshe ile ari ya juu ya kuishangilia/kuizodoa Simba yetu.
 
Hehe wekeni bango na nyie.............bora muhamie Simba Queens tu maana upande mwingine hali tata
 
Simba imeendeleza ubabe wa Ligi kuu ya Wanawake (WPL) mbele ya Yanga kwa Kuifunga tena mabao 3-1 kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.

Simba ambayo inafukuzia ubingwa ikiwa kileleni mwa msimamo kwa pointi 34, msimu huu katika ligi imefunga mabao 39 na kuruhusu saba tu, wakati Yanga iliyo katika nafasi ya tatu, imefunga mabao 18 na kufungwa mabao 10.

View attachment 2974729

Source - Mwanaspoti
Hizo points tuwape Simba Wanaume
 
Huu ni ukweli mkuu! Mabinti wa kitanzania ni wazuriii
Mungu kawaongezea na maumbo siku hizi
Ukiongezea na juhudi za Mloganzila basi Pisi za Tanzania hazishikiki kwa kweli! 😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

➡️➡️➡️ Angalia tusiharibu thread ya watu mkuu 😁

downloadfile-210.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom