simba

  1. U

    JamiiForums Tanzania Wapenzi washabiki na Wanachama wengi wa Simba kutoenda kwa Mkapa Jumamosi hii

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizi ni tetesi zinasambaa kwa kasi mtaani japo hakuna mtu aliyejitokeza kushuhudia na kuthibitisha ukweli wake Kwamba wahusika hawatokwenda kwa wingi kama desturi yao kwa kukosa Imani na boti yao Naomba kama yupo mwenzetu ndani ya jukwaa...
  2. Rule L

    JamiiForums Tanzania Benchika kama hataki kuondoka kwa fedheha pale Simba aachie ngazi kabla ya tarehe 20

    Kiukweli kila nikiwaangalia viongozi wa Simba nyuso zao hazina Nuru tena, imebaki Bora liende tu na kwasasa mzigo mzito upo kwa kocha wao benchika, Siku ya mechi na singida black star ilibidi abaki uwanjani kwa dakika kadhaa, ukiulizwa kwamba alikua anawaza nini utakua na majibu mengi ambayo...
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Hii ni kashfa nzito na kubwa sana kwa Viongozi wa Simba na Yanga na mpira wa Tanzania kwa ujumla

    Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo. --- Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake TUHUMA ZA RUSHWA KWENYE KARIAKOO DERBY imekuwa ni sehemu ya Maisha Yetu.. Ndugu zangu Takukuru Simu za wachezaji zipo bize...
  4. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Why Simba make antetion? Kambi ya Yanga ni bora?

    Simba sc wameweka kambi ya 4 Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga,waliwai kufanya ivyo dhidi ya Alhaly. Ikumbukwe Simba pre season ilifanyika Uturuki,tofauti na watani zao mara zote wameonekana kutulia kwenye kambi yao Kigambani, wanapunguza matumizi ya...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Labda Simba kwenda Kombe la Shirikisho ni jambo jema kwa sasa

    Niliwahi kutoa ushauri kwa Yanga kujikita kwenye kombe la shirikisho maana wameonyesha wana uwezo wa kukomaa na kuchungulia ubingwa kabisa. Baada ya ushauri ule nilishambuliwa sana na mashabiki lia lila wa Deportivo de Utopolo. Leo nawageuzia kibao wana Lunyasi wenzangu. Simba imeonyesha kupata...
  6. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wote wa Yanga mnaoamini kuwa April 20 Simba Watapigwa tumieni hii fursa ya kutajirika

    Ni muda wa kuweka kando tambo za Kimaskini , ni muda wa kuachana na ufukara. Tukutane kwa khanjbay tupige hela, sio hela ya kitoto, tutapiga hela ndefu huku tukishangilia kono la nyani lililotutoa kwenye ufukara. Enyi madogo, Frank Wanjiru, Labani og, Half american na wengineo tumieni fursa...
  7. Escotter20

    JamiiForums Tanzania Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC

    Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️. Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya kushinda) na kuna underdog (anayepewa nafasi ndogo ya kushinda). Sasa ipo hivi, kutokana na...
  8. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki ameahidi kumzawadia goli Anthony Mavunde katika derby ya Simba na Yanga tarehe 20.

    AZIZ KI: GOLI LANGU LA KWANZA KWENYE MECHI IJAYO NI KWA AJILI YA MH. MAVUNDE Azizi KI Amemuaminisha mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, Anthony Mavunde kuwa goli la mchezo ujao litakuwa kwaajili yake (Mavunde) kwamba mwamba ana uhakika kabisa atafunga DUUUHHH!!! Nyie Hamuogopiiiiii.....???🤣😂🤣😂
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji afanya kikao na viongozi wa Simba.

    Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua. Kikao kimeenda vizuri. NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa wanachama,sijui yeye hausiki kwenye maamuzi ya Club ila lawama ndio anabeba yeye.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mechi ya Yanga na Simba ya tarehe 20/04/24 inaweza isifanyike kwasababu ambazo hazitaeleweka kwa mashabiki wa soka au mchezo kuvunjika

    Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana Simba hii dhaifu bado naipa nafasi ya kuweza kushinda au hata kutoa sare japo hata mashabiki wenyewe...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Derby ya Simba vs Yanga itakosa mvuto na mapato kwa sababu ya ulofa wa Simba

    Kila shabiki na mwanachama pamoja na viongozi wa Simba hawana tena hamu na mpira, mara ya kwanza akina Jaribu Tena walikuwa wakidanganya watu kuwa Simba ni dude kubwa, Simba ndio timu bora Tanzania, wengi wakaingia mtumbwi wa kibwengo, mara Yanga inabebwa, Yanga mbovu, cjui nini sasa leo ukweli...
  12. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Elvis rupia wa ihefu kawazidi mbali fred na jobe wa simba sc

    Huu ndio ukweli Fred na jobe wanaigharimu sana timu, Najiuliza tu Hivi wanaosajiri hawakumuona elvis rupia?
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba SC ya sasa ina 'dema dema' na kukatisha Tamaa, ila Yanga SC nawaonya acheni Kubweteka, Kutudharau na Kumaliza maneno yote sawa?

    Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ili kuepuka kipigo cha mbwa koko tarehe 20/4, naomba Simba ianze na kikosi hiki

    Mwenendo mbovu wa timu ya Simba, sisi mashabiki ndio tunapata shida huku uraiani. Wachezaji wa simba zaidi ya 50%, wamechoka wako nje ya form; kwa kifupi wanajivuta kama konokono wawapo uwanjani. Wachezaji wengi hawana sifa ya kucheza simba ila kwa kuwa ndio waliopo inabidi kwenda nao hivyo...
  15. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Simba mnatutesa ila jipu la kuonekana haraka ni Benchika

    Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible. Mfano mechi ya marudiano na Al Ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9? Mechi za ndani ugenini Kama ya Ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita? Sub zake ni za...
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Ulinzi uongezwe nchini huenda Kocha Benchikha wa Simba SC akatoroka nchini usiku huu

    Baada ya makolo fc "Ubuntu botho bin mbumbumbu" kupata sare katika mchezo wao wa Leo dhidi ya ihefu, hali ya sintofahamu imeibuka katika kambi ya timu hilo la mahayawani. Hili limekuja baada ya kocha la makombe benchikha kugoma kurudi katika vyumba vya kubadilishia nguo baada ya mchezo, ambapo...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mtu kama Bocco Simba unaonekana

    Kwa Hali ya mambo ilivyo ndani ya Simba hivi Sasa Kuna umuhimu wa kuwa na Kepteni mwenye sifa kama za Bocco. Mohamed Hussein ni mkongwe ndiyo, Lakini sidhani Kama ana nguvu kubwa ya ushawishi kwa wachezaji wenzake. Nakumbuka wakati Yanga wamevurugikiwa Kwa kuondoka Kwa Manji, Mwinyi zahera...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Narudia tena kama Matola yuko pale vs Kocha wa kigen Simba mtasikia ubingwa wa Jackpot

    Simsemi kwa ubayaaaaaa Mpwa huyu ajawahii kuwaacha makocha WA kigeni SALAMA kamweee Hii post ya 3 na kama SIMBA wanataka kudonga MBELE wasahauu MATOLA KWENYE bench Sioo kwa nia mbaya nakupaa homework fwatiliaaa NIKOPALE KWA wakala ...... KABLA ya Aug BENCHIKA ATAKUWA SIMULIZI PALE...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Azimu Dewji ndo wanahujumu simba, Ilisema Kocha aliyepita hakufaa, sasa yako wapi?

    Mzee azimu Dewji mda mwingi alimtuhumu mzee wa objective football eti kwa kuwa hajawahi kuchukua makombe makubw, akaongea na wachezaji fuani ili team ifungwe Goli Tano iliwamfukuze. Sasa wameleta huyu na kufukuza wachezaji bora wakaleta magarasa na sasa hamna kitu. Tunataka mzee Dewji...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kama Ligi ndio ingekuwa inaanza sasa basi Simba ingeshuka daraja

    Mwenendo wa Timu hii kwa sasa hauridhishi , na kwa kweli ni kama wameamua kwa makusudi kutudhalilisha sisi mashabiki na wanachama wake . Kila tunapopita tunachekwa na kunyooshewa vidole , huko maofisini hali ni mbaya zaidi , kuna wakati matokeo ya timu yetu yanasababisha baadhi wasiende...
Back
Top Bottom