simba

  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga warudiane

    Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga. Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis Kuikamua Simba Milioni 760

    Kibu Denis amesaini mkataba wa miaka 2 kuendelea kusalia simba kwa Ada ya usajili ni milioni 350, mshahara wa 15 na Gari yenye thamani ya milioni 50. Kibu jumla atakusanya milioni 760 ndani ya miaka 2, kama pesa za usajili, mshahara pamoja na gari.
  3. Labani og

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ayoub kuikacha Simba mwishoni mwa msimu huu

    TETESI: Nyanda wa Klabu ya Simba, Ayoub Lakred ameamua kuondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja klabuni hapo kufikia ukomo. Kwa mujibu wa ripoti Ayoub (28) raia wa Morocco amepata ofa kutoka moja ya vilabu Nchini kwao hivyo hayupo tayari kuendelea kusalia...
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Beki Lameck Lawi amesaini Simba kwa ajili ya msimu wa 2024/2025

    Beki wa kati wa coastal union Lameck Lawi amesajiliwa na Simba SC. Mkataba wake ni miaka miwili. PIA SOMA - Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC - Hii Dunia ina Vituko sana, eti Lameck Lawi ndiye wa kumkaba PACOME au yupo Mwingine tumsubiri?
  5. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Fikiria kwa undani wimbo wa old skul ya simba Uswazi Take away remix, bro that man was (and still is the free thinker)

    Kwasababu Chama clatus kasema jielezee baabaa hakuna anaekununulia bando, basi nimewaza jambo hapa. Tukiachana na nyimbo zake zisizokuwa na kichwa wala miguu za shu, za koma sava etc, jamaa alikuwa ni free thinker, chini nimekuwekea lyrics ya uswazi take away remix, hebu jaribu kusoma taratibu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Simba iwaongeze wazawa hawa msimu ujao, wana uwezo mkubwa

    Kuna wachezaji wazawa wazuri sana nimewaona ambao Simba ikiwasajili watawasaidia mno, wa kwanza ni beki wa kulia wa zamani wa KMC na ss Singida, Kevin Kijiri, huyu hana tofauti na yule beki wa kulia wa Mamelodi, Kijiri ana nguvu, spidi halafu mrefu, Israel Mwenda anafanya sana makosa na jana...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Azam na Simba unaua soka letu

    Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike. Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba. Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo. Azam aliwapa Ngasa Simba. Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka sana na Umri wa hawa wachezaji wa Simba

    Hawa wachezaji msimu huu na uliopita ukiwaangalia ni watu ambao wana malengo fulani na kuna kitu wanakitafua ila miili inakataa. Hii ni dalili kwamba wana uchovu wa muda mrefu au umri umewatupa mkono . Kwa hapa Uchovu sidhani ila nina shaka na umri halisi sio wa kwenye makaratasi. Timu iwe...
  9. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania kitakachowaua Azam fc dhidi ya Simba sc (Mzizima Derby) ni hiki hapa

    Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti haya (1) Janja janja ya Marefa hapa wachezaji wa azam wanapaswa kuwa makini sana na faulo zao...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Leo kitaeleweka dabi ya Mzizima kati ya Simba sc vs Azam fc nani kutoboa,tusubiri muda ufike

    Leo kitaeleweka dabi ya Mzizima kati ya Simba sc vs Azam fc nani kutoboa,tusubiri muda ufike
  11. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Yahya Zaid ndio ataamua mechi ya Azam vs Simba

    Huyu dogo anaitwa Yahya Zaid wengi hawampi sana jicho na heshima yake. Lakini huyu ndio anaamua Azam icheze vipi na ushindi wa Azam mara nyingi unaanzia kwake. Leo ikiwa ataanzishwa na akawa kwenye ubora wake kuna uhakika wa kuchangia magoli mawili kutoka kwake na kuliteka dimba. Mechi ya leo...
  12. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC mnakumbuka hii

    Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023.
  13. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ahmed Ally Kutupiwa virago Simba?

    Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi. Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi na heshima za wachezaji wao. Benchikha aliposema hajawahi kukutana na wachezaji wenye vichwa vigumu...
  14. uran

    JamiiForums Tanzania FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

    #nguvumoja# VIKOSI VINAVYOANZA. AZAM FC SIMBA SC. Updates... Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa. Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli. Updates.... 04' Azam wanajaribu kufanya shambulizi, halifanikiwi. 20' Mpira unaendelea na timu zinashambuliana kwa kasi sana. Azam 0-0...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Rasmi harakati za kuijenga Simba upya zaanza.

  16. M

    JamiiForums Tanzania Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

    1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo. Tulichoshuhudia MUNGU anajua. 2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nguvu Moja imerudi Simba ndio maana ushindi unapatikana

    Jana kwa wale wanaoijua vizuri Simba watakuwa wameona kwenye jukwaa kuu kulikuwa na akina Kajuna, Juma Pinto na baadhi ya friends of Simba huku pembeni kukiwa na akina Asha Baraka, ile ni dalili kuwa kuna mambo wamekubaliana msimu ujao na akina jaribu tena ndio basi tena. Wale akina Kajuna ss...
  18. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lililotokea leo kwenye mechi kati ya Simba na Tabora basi Tanzania na Africa hatuwezi kusonga mbele kwenye mpira

    Waamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo. Jambo hili lilionekana pia kule South Africa baada ya Vyura kukataliwa bao lao la wazi kabisa. Mechi ya Leo ni wazi kuwa Tabora...
  19. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Simba kuna chawa, wanasafiri kila timu inapokwenda, wanalipiwa hadi bando kuandika uzushi mtandaoni

    Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa, Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la magoli, na anamulikwa sana na camera za azam, ana kitambulisho maalumu, anapewa mpaka access ya kupiga...
  20. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

    All the Best Mnyama 🦁 Updates za Mchezo wa Leo.. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Updates... Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo. Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora DK 5' Game on 0-0 DK 10' Mpira unaendelea 0-0 DK 19' Goooooooooooal Sadio Kanoute anatia goli wavuni...
Back
Top Bottom