simba

  1. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba kuibomoa Yanga, Azam

    Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam. Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz (Simba) anaweza kuziba pengo la Kanumba kwenye tasinia ya uigizaji?

    Wakuu tangu Kanumba atoweke tasnia uigizaji nchini imekua haifuatiliwi sana watanzania waliowengi. Hivi bwana Simba hawezi kuziba pengo la Kanumba kweli? Nyimbo nyingi za Simba zimekua zikianza kama movie fulani hivi. Angalia wimbo wake wa Zuena na wimbo wa Yatapita. Wakuu comment ziwe fupifupi
  3. P

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

    NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani ataibuka mshindi? Fanya kutupia utabiri na uchambuzi wako hapa. --- Kikosi cha Simba kilichoanza...
  4. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kwa msimu huu haya ndio Mafanikio ya Simba sc (MAKOLO) mpaka sasa

    Wakati msimu wa 2023/2024 ukiwa unaelekea ukingoni huku mbumbumbu Fc, wakijanasibu kuwa wamepania kwelikweli kufanya makubwa katika dakika za jioooooooooooooooni kabisa za ligi ya NBC, yafuatayo ni mafanikio kutoka umbumbuni mpaka wakati huu msimu ukiwa ukingoni 1. Ngao ya jamii ✅ 2. Muungano...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka 5, Klabu ya Simba imebadili Makocha 9

    Makocha walioifundisha Klabu ya Simba kuanzia 2018 - 2024 Januari 2018 - Juni 2018 Pierre Lechantre Julai 2018 - Novemba 2019 Patrick Aussems Desemba 2019 - Januari 2021 Sven Vendenbroeck Januari 2021 - Oktoba 2021 Didier Gomez Novemba 2021 - Mei 2022 Pablo Franco Juni 2022 - Septemba...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujiweka kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao

    Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujitega kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao. Simba wameendele kuachana na makocha wao kwa kipindi cha miaka 3 mfululizo Novemba 2021 - Mei 2022 Pablo Franco Juni 2022 - Septemba 2022 Zoran Mac Septemba 2022 - Januari 2023 Juma Mgunda Januari 2023 -...
  7. Ileje

    JamiiForums Tanzania Simba wadai kombe la Muungano siyo kombe la ubingwa

    Triple C mwamba wa Lusaka kaondoka kambini bila ruhusa baada ya uongozi wa Simba kutompa posho ya kombe la muungano. Pia ana dai kuwa kwenye mkataba wake walikubaliana kila Simba iki chukua kombe anaongezewa mshahara sasa baada ya kubeba kombe Simba imesema hili sio kombe. Mambo yamekuwa mambo 🤓😁😂
  8. P

    JamiiForums Tanzania Timua timua ya makocha Simba

    Kwa misimu kadhaa sasa timu ya simba imekuwa na utaratibu wa kufukuza makocha tena ndani ya muda mfupi Sana. Jambo ambalo linazuwa maswali tatanishi mengi. 1.Je wanaohusika kufukuza na kuajiri makocha simba kwenye misimu yote hiyo si ndiyo hao hao viongozi wapo wao hawana matatizo? Mbona...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Matola yeye bado yupo Simba?

    Haya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo. Ngoja tuone .
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Simba waweze kutwaa Ramadhani cup na Masoko cup msimu ujao?

    Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
  11. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba misimu 3 makocha 7 anatafutwa kocha wa 8, mna uhakika kuwa shida yenu ni makocha?

    Hii sio afya kwa mafanikio ya wenzetu mbumbumbu, muda mwingine inabidi kuwapa ushauri tu ambao mnaweza kuchukua ama kuuacha ikiwapendeza kwa maana akuna Yanga Bora bila Simba imara na akuna Simba Bora bila yanga imara! Aiwezekani makocha ndio wawe mbuzi wa kafara Kila mara pindi mambo...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mambo aliyoyafanya Benchikha kwa muda mfupi akiwa na Simba, na pale alipokosea

    Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao. 1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata moto. Tukalilia fitness za wachezaji. Sasa hivi hakuna anayeongelea tatizo la fitness. Tatizo...
  13. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha

    Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Pia soma: Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ----...
  14. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Simba sc mpaka sasa ina vikombe vitatu ndani ya kabati, hakika hii ni timu ya mfano na timu ya kuigwa katika ligi ya Nbcpl

    Ukitoa mafanikio ya kufungua wasap channels, Manzoki kuja kwenye uchaguzi, KIbu denis kuikanda Yanga Sc mara mbili mfululizo pamoja na kuishia Robo klabu bingwa Afica kama ilivyozoeleka Simba sc wametwaa kombe linguine la Muungano kwa kuichapa Azam Fc goli moja kwa nunge goli lilio fungwa na...
  15. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Mangungu na try again hamna baya, mafanikio yenu pale Simba msimu huu mpewe mitano tena!

    Tumeona furaha ya wanachama wenu ikiwa kubwa kule Zanzibar baada ya kutwaa kikombe Cha muungano baada ya kucheza mechi 2 na kubeba ndoo iyo, Mmewapa wanachama wenu walichokitaka kwa msimu mzima ni mafanikio ya kupigiwa mfano kabisa! Ukiongeza Yale mafanikio ya wasap channel pamoja na ngao ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Yanga ni Bingwa wa Tanzania Bara tu, msijitoe ufahamu

    Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii. Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
  17. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Hili la bwana mdogo chasambi likawe funzo kwa wachezaji chipukizi wa ndani wanaotaka kucheza simba na yanga

    Simba na Yanga walishwahi kumtaka Abdul Suleiman Sopu lakini bwana mdogo alikataa ofa za mapacha na kukimbilia chamazi (azam ) siyo kwamba labda bwana mdogo alikua hataki exposure za mapacha hapana ila alijua timu za kariakoo hazina muda wa kumvumilia mtu zinataka ukivaa jezi tu basi ukafunge...
  18. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kwa mafanikio inayopata Simba Mangungu anafaa sana Simba, asibughuziwe. Tujihepushe na maadui wa Simba.

    Simba ndio timu pekee Tanzania mpaka sasa yenye mafanikio na vikombe kabatini. Sasa kelele za Mangungu na Try again zinatoka wapi? Ukisikia hatumtaki Mangungu na Try again basi ujuwe hao ni Yanga. Wana Simba tushikamane na viongozi wetu hawa ni lulu, jana Saido Mchezaji bora, Lakredi kipa...
  19. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Wito, Kuna Mashindano ya Kombe la diwani huku Tegeta kwa ndevu mshindi anaondoka na bajaji mpya, Tunawaalika Simba sc waandike barua mwisho tar 1

    Huku Tegeta kuna wakali wa kusakata kabumbu kama Msekelo fc, Kindovu fc, WauzaNyama FC, Nafaka sc, Sokoni B SC n.k ambao wote ni mafundi wa kutandaza soka safi. Hivyo tumeona tuwaalike wenzetu Simba sc waje tushiriki katika michuano hii ili kukiza soka letu kwa pamoja na kuongeza idadi ya...
  20. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa Simba SC kumchukua kocha Florent Ibenge

    Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe. Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani Africa, kinachomuongezea faida ni ubora wake katika kuwajua wachezaji na kulijua vyema soka la africa...
Back
Top Bottom