simba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye Simba SC yao na Wazee kama hawa Waliojitolea Jasho na damu walalamike halafu utegemee Kufanikiwa? Thubutu yako. Utalaanika tu

    “Lazima mabadiliko yapatikane sio kuivunja tu Bodi ya Wakurugenzi, bali hata wachezaji kwa sasa hivi hawako watu wanaoweza kuiendeleza ile klabu, klabu imekuwa na mambo na kiubinafsi, hawathamini watu sio mimi tu tupo wengi ambao tulipoteza ujana wetu kuitumikia Simba” Abdallah Kibadeni Maarufu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Gamondi kagombana na kocha physio Yusuph

    Gamondi history Kila team anayofukuzwa is due to his harsh mentality, anataka vitu vyake viende atakavyo, in short ni mkali Sana. akiingia kwenye team lazima afanye atibue kwanza vitu. In short wamegombana na yusuph na Yusuph anaondoka 😂#bingwa wa kumsagia kunguni gamondi hadi aamie simba.
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Simba inaitaji kuchukua wanasheria kuokoa timu, la sivyo tutajikuta timu ni mali ya Bwana MO

    Ukiangalia maongezi yake unaona kila mda anajitetea kuhusu mabilioni ambayo ukiweka MAGAZIJUTO ni kama chenga fulani. Simba inaitaji kuchukua wanasheria kuokoa timu la sivyo tutajikuta timu ni mali ya bwana MO mpaka sasa.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC msitishwe na wala msidanganywe achaneni na Jean Baleke kwani hakuna Mshambuliaji hapo

    Kama kuna Striker ambaye nilikuwa Simpendi Simba SC ni huyu / huyo ila nasikitika kusikia kuwa anataka Kurejeshwa.
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji awatuliza Simba kuhusu viongozi

    Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kuacha kuendelea kuwashurutisha viongozi wao kujiuzulu akisema hatua hiyo itaibomoa timu yao. Dewji ameyasema hayo leo kufuatia malumbano ya uongozi yanayoendelea ndani ya klabu hiyo. Amewashauri viongozi wa Simba...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kilichopo nyuma ya pazia Mo Dewji kuonekana kuidai Simba mabilioni ya pesa

    Kwa sasa hali ya hewa ndani ya Simba sc haipo sawa baada yakuibuka madai tofautofauti juu ya Muwekezaji wao Mo Dewji kuidai Simba pesa zake ambazo alikuwa anazitoa nje ya mkataba wake wa uwekezaji wa Bilioni 20. Hayo yalibainishwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba upande wa Wanachama CPA...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
  8. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Je, Yanga tuinusuru Simba isipotee kama miaka ya 80 au tukubali kuhamishia upinzani kwa Azam(mtoto wa miaka ya 2008)

    Wakuu hasa mashabiki wa Yanga the Galactic of jangwani hali ndio kama mnavyoiona hapo Msimbazi ambapo mawazo ya team ni kama yamefika mwisho na rasmi mtani wetu wa mda mrefu sana anatumbukia shimoni. Kimsingi ni mdogo wetu wa kitambo Sasa CPWA Issa kaitisha press mbele ya frame usiku kaanza...
  9. Richlifepaul_

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club kuna nini kimejificha?

    @SimbaSCTanzania Muda huu nimekosa usingizi, kwani nalala ili iweje ikiwa baadhi ya watanzania wanamaswali mengi wasiyojua majibu yao. Viongozi wa Simba nani kawaroga kiasi kwamba mnajijali wenyewe na kusahau majukumu yenu? Mr @moodewji na wewe ujui jukumu lako mzee au yamayoendelea...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba imeshakana kupokea 20B za Mo. Yeye kuendelea kukaa kimya ni kudhihirisha ulaghai wake

    Tuokoe Muda wakuu. Wajumbe wa Simba upande wa wanachama katika Bodi wameshakana klabu kupokea 20B kutoka kwa anayedaiwa ni mwekezaji aliyenunua 20B. Ikumbukwe hawa wajumbe ndo wawakilishi wa klabu katika bodi ikisemekana wanamiliki ile 51% Kwa lugha nyepesi ninkuwa Simba imeshamkana Mo Dewji...
  11. G

    JamiiForums Tanzania MO alishatia Bilioni 20 kitambo na bado anaendelea kugharamika kwa mapenzi ya timu, ni wajinga pekee wanahoji nami nawaelimisha kuwatoa ujinga

    mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al ahly zinaiheshimu Simba, Simba ni klabu ya 7 kwenye ranking za Afrika, wachezaji wa simba wana soko...
  12. L

    JamiiForums Tanzania CPA ya Issa Masoud Simba ichunguzwe kwa kuongea pumba, utumbo, ujinga na kukosa weledi

    Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa Masoud Simba. Ndugu zangu, taaluma ya CPA inayotolewa na NBAAA sio mchezo, hii ni body ya wakaguzi...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KWA SINGIDA HII IJAYO SITOOSHANGAA SIMBA KUWA YA NNE

    ANGALIZO TU TUNUKUU TAR YA LEO .KWA USHINDAN WA TIMU ZIJAZO LIGI YA NBC SIMBA NIWAPE TAHADHARI MSISHANGAE MKAWA WA NNE LIGI INAPOKWISHA NA MSISHANGAE N MABADILKO NCHI TUUU ANDIKA TAR YA LEO NA SIKU YALEOO
  14. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Kocha wa Makipa Simba, Dan Cadena amwaga mboga Msimbazi, "wanaajiri wasio na weledi", alezea kipigo cha 5-1

    "Tatizo kubwa la Simba ni kuajiri watu wasio na weledi. Kama Simba SC wanataka kufanikiwa wanapaswa kuachana na watu wasio na weledi" "Simba kwa sasa inahitaji 'PROFESSIONAL PEOPLE' watu wenye Ueledi, wasipewe nafasi kwa sababu wanajuana na watu au Sababu wanaijua Sana Simba bali wanahitaji...
  15. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Simba wamjibu Kocha Dan Cadena.

    Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.
  16. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Simba wa Mali: Simulizi ya Sundiata Kieta

    Katika karne ya 13, katika ardhi yenye rutuba ya Afrika Magharibi, kulikuwa na ufalme mdogo uitwao Kangaba. Ufalme huu ulikuwa chini ya utawala wa mfalme mwenye hekima na upendo, Maghan Kon Fatta. Alikuwa na wake wengi, lakini mmoja wa wake zake, Sogolon Kédjou, alikuwa na umuhimu maalum...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez kutambulishwa leo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba

    KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba . Huenda kufikia leo yakatokea mabadiliko makubwa kwenye uongozi wa juu. kama mambo yataenda sawa Leo au kesho Barbara Gonzalez atatangazwa kuwa Mwenyekiti na
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba wanasajili bila kocha mkuu, kufeli kunaanzia hapo

    Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi

    KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba usiku huu. Huenda kufikia kesho yakatokea mabadiliko makubwa kwenye uongozi wa juu. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Try Again' na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Rashid Shangazi wamegomea uamuzi wa Rais wa heshima wa...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

    Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
Back
Top Bottom