simba

  1. Richard3

    JamiiForums Tanzania Simba bado sana, haiwezi simama bila Try again

  2. L

    JamiiForums Tanzania Simba yangu msikose kuwasajili Kelvin Nashon na Kevin Kijiri kwenye mipango yenu ya usajili, wako vzr sana vijana hao

    Kwa sasa timu yetu haina beki wa kulia mzuri, Shomari Kapombe amechoka lazima tukubali, uwezo umepungua, hana kasi, hana krosi, mzito, anakaba kwa mazoea na majeruhi ya sasa hiv yakimpata ndio imetoka hiyo. Beki wa kulia pekee mwenye uwezo wa kucheza Simba na akaliamsha kisawa sawa ni Kevin...
  3. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu: Kiongozi pekee anayeweza kuipa ubingwa wa Africa timu ya Simba

    Achana na porojo za vikundi vinavyo hongwa na watu wenye nia mbaya ili kumhujumu ndugu Murtaza Mangungu (genius wa msimbazi), leo nataka kukumegea siri makini sana. Ni hivi, ndugu Murtaza Mangungu ni kiongozi makini anayesimamia katiba na sheria ndiyomaana mpaka sasa hajajiingiza kwenye...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kesi za mauwaji, ujambazi na ubakaji yaani ukishukiwa au kusingiziwa nchini ni bora ukutane na simba porini

    Wanasema sikia kwa mwenzako ila sio kwako.hizi kesi nilizozitaja mbili hapa kwa tanzania zimeumiza watu wengi mwisho wa siku walio athirika wame hadithia mengi kupitia vyombo mbalimbali. Jeshi letu linapotokea kesi hizi asilimia 90 wengi wanajikuta wakiangaukia kwenye mateso ambayo siyo yao kwa...
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mwina Kaduguda: Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu.

    "Katika uongozi wangu hakuna shabiki aliyewahi kusema anahitaji katiba, kila shabiki alikuwa anahitaji furaha tu." "Vivyo hivyo mpaka sasa mashabiki wa Simba wanahitaji furaha bila kuhimiza mchakato wa kuipata hiyo furaha (Katiba)" "Rage alikuwa sahihi na namuunga mkono kwa kuwaita mashabiki...
  6. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Bin kazumari: simba haija audit financial statement tokea mwaka 2018

    Simba haijafanya audited financial statements Toka uanze mchakato wa mabadiliko 2018. Ndo maana tunasema mchakato haujakamilika unakuaje na Bodi? Yani unajenga nyumba lakini mpangaji yuko ndani na pesa kalipa, unajenga kwa maekezo yake sio kwa matakwa yako kama mwenye nyumba
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tatizo pale Simba SC ni mashabiki

    Mashabiki wa Simba wajitafakari wasiwe mashabiki oya oya wanaodanganywa. Leo wanamlaumu Mangungu, Siku ya mkutano mkuu wa uchaguzi aliwapa tu ubwabwa na akamleta Manzoki aongee, basi wenyewe wakampa kura zote za ndiyooo. Na tuliwaasa kuhusu hili jambo na propaganda zote. Leo wanasema Yanga...
  8. Sex body

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wanachama wa Simba wapigwa STOP na Polisi

    Itoshe kusema Mangungu anamizizi iliyo jikita kisawa sawa hivyo wanasimba mjiandae kwa maumivu makali msimu ujao mchangue moja wakati wa match akiingia uwanjani azomewe au apigwe mawe au msuse kuingia uwanjani ni hayo tu. Muwe na usiku mwema
  9. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Mangungu Simba sc hapamfai,Na Mashabiki Hawamuhitaji Mangungu.

    UCHAMBUZI WA ALICHOKIONGEA MANGUNGU CLOUDS Wana Simba Msidanganyike na kurudi nyuma kwa maneno ya Ngungu.Kwanini 1.Kuenndelea kwake ni Mwendelezonwa visasi kwa wanachama Jana tumemsikia wazi wazi akikana Tawi hadharani kwa sababu ya tofauti zake na mtu Mmoja unadhani lile tawi la VIP A ambalo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimkataa Mangungu mwaka 2020 na akakata jina lake licha ya kushinda kura za maoni, sisi Simba ndio tukamuona anafaa na sasa tunalia

    Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale. Baadae...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu, nakushauri mtafute Wakili Msomi Lloyd Nchunga akueleze aliondokaje Simba

    Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba. Halafu umewaongezea machungu sana pale ulipokuwa ukihojiwa na waandishi wachovu wa Mawingu kwani ulikuwa ukiongea na jeuri...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

    Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Shaffih dauda acha chuki za kipuuzi kwa viongozi wa simba .haujui lolote zaidi unataka tu upate nafasi umekosa balance na huna sifa za kiuandishi,

    Mtu kama shaffih ukikaa kumtafakari unakuta huoni sababu na tija ya uandishi wake ! Shaffih yeye sio mwandishi wa habari ila ni mchochezi na mfitini ,akiona mahali pana mafanikio dakika moja anabadilika ,Leo anaiona simba na uongozi wote hasa upande wa mo ! Hawastahili kuiongoza ,huyohuyo...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuna wabaya wa Simba wapo nyuma ya Mangungu?

    Mbona anakuwa kama Mangungo wa Msovero?
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla huna "moral authority" ya kupigania mabadiliko sahihi ya mfumo Simba SC.

    Huyu mbunge wa Nzega na waziri wa zamani wa Maliasii kwa wiki nzima sasa amekuwa akiendesha harakati zake mtandaoni na kwenye redio akidai Simba inaendeshwa ndivyo sivyo na "tajiri" au sijui mwekezaji Mo. Kigwangalla amelikomalia sana hili suala kana kwamba ana maslahi yoyote Simba zaidi ya kuwa...
  16. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mangungu atoa kauli sakata la Try Again kumteua MO kuwa Mwenyekiti Bodi ya Simba

    Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti Tuheshimu katiba. © MANGUNGU 🙌
  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania Ni nani Rais wa heshima wa Simba?

    Katika hali isiyo ya kawaida na isiyo ya kikatiba Mwenyekiti wa Simba upande wa Mwekezaji anajiuzulu na kumteua Rais wa heshima wa Simba Mo kuwa Mwenyekiti upande wa Mwekezaji! Hii kitu hakijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia na hivyo ajabu lingine la dunia! Ina maana kumbe Mo ni Mwekezaji...
  18. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kutokana na sakata linaloendela Simba Sports Club! Naomba mwenye nakala za Katiba ya Simba na Young African tuzipate.

    Binafsi naomba ku declare kuwa mimi mtoa post ni mshabiki wa Young Afican! Lakini kutokana na masuala yanaoyoendelea Simba nimejiuliza sana maswali ambayo kila ninapotaka jibu naona naweza lipata kupitia Katiba yao ya Simba, nikaona ni vyema nije kwa wadau wenxzangu wa michezo kuomba Katiba za...
  19. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kua kiongozi wa simba ni kazi ngumu sana

    https://x.com/FKihamu/status/1800621196662206811
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mo akiacha Simba, he is just a rich guy with nothing

    I will be short. rules after wealth 1. Utajiri bila watu ni useless. (power) Mo leo hii anakutana na raisi wa FIFA na CAF easily kisa simba, Easy business due to simba. Anafatiliwa in social media due to Simba People look for him because of Simba He is safe on streets because of Simba...
Back
Top Bottom