simba

  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Viongozi Simba hawajitambui. Eti Mgunda hawafai? wanatafuta kocha Takataka yoyote kutoka nje? au wanatafuta kocha wa Mshahara mkubwa.

    Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ajira- mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki anahitajika klabu ya Simba

    Kazi kwenu
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba meza moja na kocha wa zamani wa Mamelodi

    Klabu ya Simba imeripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na aliyewahi kuwa kocha wa Mamelodi Sundowns, Steve Komphela ambaye hivi sasa yupo jijini Dar Es Salaam Simba Sc ambayo imekuwa chini ya Mtanzania Juma Mgunda kwa muda inatafuta kocha mpya kwa ajili ya kampeni za msimu ujao. Aidha zipo ripoti...
  4. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha furaha kwa mashabiki na wanachama wa Simba.

    Katika misimu hii (3) ya mwisho mashabiki wa Simba huwa na furaha sana wakati wa usajili kuliko msimu ukianza. "Muda wa taarifa kubwa haupo mbali. Pakua (Simba App) na lipia mapema ili uwe wa kwanza kupata taarifa za klabu. #WenyeNchi #NguvuMoja" ©️ Simba Sports Club official page
  5. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Khalid Aucho awapasha mashabiki wa Yanga wanaomzomea Fei Toto

    Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hii Yanga ukiinyamazisha tu lazima ikulambe!

    Hiooo ni Fei Toto vs Yanga hukoo Zanzibar alipofanya hivyo tukampa dozi. Pemben ni Kibu Denis mechi ya vs Yanga, aliporudisha ikawa moja moja akaleta dharau tukamuadhibu. #Nisameheniibureeepls
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

    Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania Wababe 19 wa Afrika walioshindwa kukata tiketi ya kushiriki michuano ya CAFCL

    Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika. Simba SC Zamalek SC Wydad AC ASEC Mimosas RS Berkane AS Vita Club CS Sfaxien ZESCO United Etoile du Sahel Coton Sport de...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Simba contracted Gamondi after amazing season with Yanga

    Simba has offered Gamondi a contract to be their next manager after Young Africans season contract ended. Gamondi is yet to make decisions. 🤔 😂😂
  10. hewamkaa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba akikosa nyama hula nyasi

    Simba ni Azam B. Narudia tena, Simba ni Azam B. Inasemekana, mwenye njaa hachagui chakula. Kumbe, hata timu isiyo na taji, hilazimika kujishikiza popote. Ona sasa, Simba wanavyohangaika. Mara oh, Faisal ni mkali kuliko Ki, mara oh Azam ni bora Yanga ndondocha. Wakati huo Azam wametulia tuli...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwa Simba hii, haihitaji kukumbatia wachezaji hata kama tunajua ana uwezo wa juu

    Tumeshuhudia msimu uliokuwa na wachezaji wasio na ari kabisa ya mafanikio.Wachezaji tunaowajua kwa uwezo wao waliweza kutushangaza kila wabapoingia uwanjani kwani ilikuwa nadra kutoruhusu bao. Walionekana wanacheza kwa uchovu sana kitu ambacho naamini ni lugha ya kinya ya kusema mimechoka...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Siondoki Simba

    Mwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli? "Nani kasema nataka kujiuzulu? Mimi bado niko Simba na sifikirii kuhusu hilo. Mbona timu ikifanya vizuri hamuulizi kuhusu kujiuzulu! Ni mapema mno sana kuanza kuzungumzia hayo mambo" Mashabiki na Wanachama wa...
  13. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Hivi vitu akifanya Mangungu au Try Again tutawakuta muhimbili wamelazwa

    Huyu hapa Raisi wa Ball Eng. Hers na Azizi Ki (the top scorer) wakichezezea mpira na mpira ukiwatii kama wameutengeneza WAO. NB: Kwa ball hili la hers Mwakani Kolozidad bila 3.5 bilion hatuwapi Hers.
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForum Okwi Boban Sunzu ni Shujaa na klabu yetu ya Simba

    Kuna uzi unazunguka humu ukikosoa analysis ya mwanajamiiforum mwenzetu OKW BOBAN SUNZU kuhusu mchezaji Aziza Ki sisi kama wanasimba tunamuona Okwi kama shujaa wetu kwakuwa amepigwa mawe sana na bado ameendelea kuwa stable. Na ule uzi umempa heshima ya kuthaminika tofauti na wakosoaji wake...
  15. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Yanga ingekuwa na kikosi kama cha Simba msimu huu wangekaribia hata kombe

    Yanga ingekuwa na kikosi kama Cha Simba na hela za Mo hizo hizo anazotoa kipindi kile Simba anachukua ubingwa mara 4 Simba wasingekaribia hata kidogo Hilo kombe Imagine una kocha mzuri wachezaji wazuri udhamini mzuri na unashika nafasi ya 3 kwa vimigogoro vya kutengeneza
  16. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kipimo chenu Kombe la Shirikisho ni kufika Fainali na si vinginevyo. Mliwabeza Yanga sasa ngoja tuwaone

    Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni! Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi kama walivyokuwa wakiwabeza Yanga ambao walikwenda mpaka Fainali, tunawasubilia kuwaona namna...
  17. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC

    Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyotamatika leo. Licha ya Simba kushinda mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania lakini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Simba itashika nafasi ya pili, na Azizi Ki atakuwa mfungaji bora

    Geita hawajawahi kufungwa na Azam pale kwao, leo wakifungwa wanashuka daraja, leo wakisare wanashuka daraja, wana mambo mawili, wakubali kuisaidia Simba ifuzu nafasi ya 2 na kujinusuru wasishuke daraja au kushuka daraja na kuipa Azam nafasi ya 2. Wakubali kushirikiana na mnyama ili wasishuke...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 JKT Tanzania | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 28/05/2024

    Leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Mkapa, timu ya Simba itakuwa dimbani kuwakaribisha JKT Tanzania kwenye mchezo wa kufungia msimu. Mechi hii inategemewa kuwa na ushindani mkali sana kwa sababu ya uhitaji wa timu zote mbili. Nani kuibuka mshindi leo? --- Kikosi cha Simba...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi hapa: Ipi bora kati ya Chama kubaki Simba au kwenda Yanga?

    Salaam Wakuu, Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama ambaye kwa sasa anakipiga mitaa ya Msimbazi Kariakoo. Kutokana na umahiri wa mchezaji huyu...
Back
Top Bottom