Triple C bado ni mchezaji mzuri sana na kwa timu inayohitaji makombe ama kuwa na kiu ya mafanikio haiwezi kumtema mchezaji kama Chama.
Maneno ya mashabiki kuwa Simba iachane na Chama akaangalie maisha mahali pengine ni maneno ya watu ambao wamejiunga kwenye tasnia ya soka miaka ya hivi karibuni...
Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa. Moja ya taarifa kubwa inayojadiliwa ni usajili wa mchezaji Lawi kutoka timu ya Coastal kwenda Simba. Hii ni baada ya timu ya Coastal kupitia kwa msemaji wao kukanusha taarifa ya Simba kumsajili mchezaji wao wakati walishindwa kutimiza malipo kwa...
Ukweli lazima usemwe. Wachezaji wengi walilipwa kucheza chini ya kiwango na ndio sababu,hao waliowalipa, wanawataka kwa udi na uvumba.
Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu tu na kuachana na wachezaji wote waliokosa kuipigania club.
Tatizo letu kubwa ni uongozi.Hatujui ni kwa nini wachezaji wetu...
Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako...
Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo.
Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti.
Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu...
Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale?
Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh!
Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
Habari wanagentamycine washabiki kindakindani wa Simba kindaki ndaki, nikiongea kutokea Tanga mjini maeneo ya Mkwakwani napenda kutoa taarifa kuwa taarifa za simba kumnunua mchezaji wetu Lameck Lawi si za kweli, na simba hawakufuata utaratibu tuliowapa. kwakuwa tumeshapata offa nzuri kutoka nje...
Baadhi yetu tumepiga sana kelele kuonyesha kuwa tatizo kubwa la Simba ni ukosefu wa mfumo thabiti wa uongozi unaowezesha timu kuendeshwa kwa ukaribu na umakini. Simba haina management imara, bali management ipo kama jina tu ila haina watu na waliopo hawana meno ya kutenda majukumu yao. Chukulia...
Luis Jose Miquisone kuondolewa kwenye kikosi cha Simba SC ni pigo jingeni kwa viongozi wa Simba sc.
Ushauri kwa Yanga Sc na Azam fc mchukueni Luis Miq atawasaidia sana kwenye Club bingwa Afrika.
Viongozi wa simba sc hawana maono hapa wamefeli kumuondoa luis
---
Akihojiwa na Mwanahabai Meneja wa Mawasiliano wa Simba ameoneana akijinadi kuhusu usajili wao watakaoufanya msimu huu.
Akielezea kwa ufupi hoja hiyo Ahmedy Ally anasema:
Bado si tunaagana kwanza, tutakapoanza kukaribishana ndiyo ntakwambia sasa huyu anayekuja anakuja kufanya kitimbi gani...
Yaani huyo Mchezaji hata kwa Timu yangu niiyokuwa nikiifundisha Kawe ( wakati bado Sijahama ) asingeweza kupata Namba kwani nilikuwa na Kijana Mmoja matata niliyempavchika Jina la Mayele sasa nimemuuza 'Kisela' klabu moja akaanze kucheza Timu yao ya Vijana ila najua kwa Kipaji chake Msimu ujao...
Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken.
Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited?
Mwaka zaidi ya wa3 bado...
Baada ya kuona mwenendo wa timu yao siyo wa kuridhisha, Mashabiki na wanachama kindakindaki walipaza sauti wakishinikiza kujiuzulu kwa baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa timu yao.
Kweli baada ya siku kadhaa viongozi hao walitangaza kujiuzulu, lakini cha ajabu Mdhamini na Rais wa heshima wa...
Habarini wanajamvini, nimechanganyikiwa na kutoelewa ni utaratibu Gani umetumika katika kupangwa mechi ya Ngao ya jamii.
Nasikia kuwa mechi ya Ngao ya jamii itakuwa ni yanga dhidi ya Simba na sio Azam na hapo ndo ninapopagawa.
Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.