simba

  1. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania kitakachowaua Azam fc dhidi ya Simba sc (Mzizima Derby) ni hiki hapa

    Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti haya (1) Janja janja ya Marefa hapa wachezaji wa azam wanapaswa kuwa makini sana na faulo zao...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Leo kitaeleweka dabi ya Mzizima kati ya Simba sc vs Azam fc nani kutoboa,tusubiri muda ufike

    Leo kitaeleweka dabi ya Mzizima kati ya Simba sc vs Azam fc nani kutoboa,tusubiri muda ufike
  3. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Yahya Zaid ndio ataamua mechi ya Azam vs Simba

    Huyu dogo anaitwa Yahya Zaid wengi hawampi sana jicho na heshima yake. Lakini huyu ndio anaamua Azam icheze vipi na ushindi wa Azam mara nyingi unaanzia kwake. Leo ikiwa ataanzishwa na akawa kwenye ubora wake kuna uhakika wa kuchangia magoli mawili kutoka kwake na kuliteka dimba. Mechi ya leo...
  4. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC mnakumbuka hii

    Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023.
  5. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ahmed Ally Kutupiwa virago Simba?

    Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi. Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi na heshima za wachezaji wao. Benchikha aliposema hajawahi kukutana na wachezaji wenye vichwa vigumu...
  6. uran

    JamiiForums Tanzania FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

    #nguvumoja# VIKOSI VINAVYOANZA. AZAM FC SIMBA SC. Updates... Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa. Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli. Updates.... 04' Azam wanajaribu kufanya shambulizi, halifanikiwi. 20' Mpira unaendelea na timu zinashambuliana kwa kasi sana. Azam 0-0...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rasmi harakati za kuijenga Simba upya zaanza.

  8. M

    JamiiForums Tanzania Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

    1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo. Tulichoshuhudia MUNGU anajua. 2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nguvu Moja imerudi Simba ndio maana ushindi unapatikana

    Jana kwa wale wanaoijua vizuri Simba watakuwa wameona kwenye jukwaa kuu kulikuwa na akina Kajuna, Juma Pinto na baadhi ya friends of Simba huku pembeni kukiwa na akina Asha Baraka, ile ni dalili kuwa kuna mambo wamekubaliana msimu ujao na akina jaribu tena ndio basi tena. Wale akina Kajuna ss...
  10. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lililotokea leo kwenye mechi kati ya Simba na Tabora basi Tanzania na Africa hatuwezi kusonga mbele kwenye mpira

    Waamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo. Jambo hili lilionekana pia kule South Africa baada ya Vyura kukataliwa bao lao la wazi kabisa. Mechi ya Leo ni wazi kuwa Tabora...
  11. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Simba kuna chawa, wanasafiri kila timu inapokwenda, wanalipiwa hadi bando kuandika uzushi mtandaoni

    Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa, Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la magoli, na anamulikwa sana na camera za azam, ana kitambulisho maalumu, anapewa mpaka access ya kupiga...
  12. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

    All the Best Mnyama 🦁 Updates za Mchezo wa Leo.. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Updates... Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo. Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora DK 5' Game on 0-0 DK 10' Mpira unaendelea 0-0 DK 19' Goooooooooooal Sadio Kanoute anatia goli wavuni...
  13. Sharbel

    JamiiForums Tanzania Wana Simba njooni tujadili

    Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa. Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu hatupo hivyo utakuta tunajipa lawama wenyewe kuwa ni uzembe wetu, na sipingi hilo. Nini namaanisha, ni...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL

    Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania MDAU: Simba sio mnyama wa kutisha, mnyama wa kutisha ni yule aliyemuua Samson

    Mdau mmoja wa anasema watu wengi wanamwogopa Simba, na kusema ni mnyama hatari na wakuogofya, lakini la hasha Simba sio mnyama wa kutisha katika macho ya binadamu kwa sababu binadamu huyo huyo ameshawai kuua Simba mara kadhaa. Wengi mnakumbuka kisa cha Mwamba mwenye nguvu iliyepiga na kuua...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania First Eleven ya Simba msimu wa 2024-2025 ni hii hapa

    First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni): Ayoub/Abeli Israel Zimbwe/xx Kazi/xx Che Malone Sarr/Hamisi Chasambi/Balua Ngoma/Mzamiru xx/Kanoute/Freddy Kramo Miquissone/Karabaka Chezaji za kupewa mkono wa kwaheri kwa kuuzwa, kuisha mkataba au kwa...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Anaeangalia mechi za Simba nisipomkuta mbinguni narudi

    Yaaaan alieeenda kuangalia Simba ana moyoo jamani 😂....... Napendaaa nimpongeze Sanaa sanaaa na pia kumpaaa uthibitishooo mbinguni inamhusuuu piga ua Wish u all doest watani wanguu msiniangushe kwa Mtibwa jamani tutaaibika
  18. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siawaoni nafasi ya pili NBC PL

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siwaoni nafasi ya pili nbcpl msimu huu 2023/2024 Simba watacheza leo mchezo wao mwingine wa ligi kuu ya NBCPL na ikitokea kupoteza mchezo wa leo atakuwa na wakati mgumu wa kumaliza nafasi ya pili msimuu huu. kwahiyo Kocha Mgunda anakazi kubwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona sasa hivi Mashabiki wa Simba SC 'tumedoda' sana hapa JamiiForums Kulikoni?

    Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC kwa huu Utani wenu mbele ya Kocha wa muda wa Simba SC Mgunda mmeniacha Hoi mno

    Yanga SC (Mashabiki) wanasema kuwa Kocha Juma Mgunda hana hata Wiki Simba SC tayari Nazi zimepanda Bei nchini! ==== Pia soma: Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania
Back
Top Bottom