simba

  1. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Toka simba acheze shirikisho kwa mara ya kwanza kapata kipimo sahihi

    Toka simba acheze aya mashindano leo ndo kapata kipimo sahihi, na pia kagoma na ngoma wanatakiwa wa level up game yao wapo slow , sio creative, deffencesively kagoma ana cheza faul nyingi sana kitu ambacho ni hatari, mbele pia kibu na mpanzu sio wabunifu, wakikabwa kidogo tu hawana plan b...
  2. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Match ya Leo Simba Akila Kichapo cha kuanzia goli 3 msahau Match kuchezwa kwa Mkapa.

    Nahis hamkumuelewa Msemaji Ahmed Ally...simba leo wanapima upepo wakila goli 3 kwenda Juu watakua willingly kucheza Aman ila ikitokea ni goli Moja au Mbili kafungwa watalazimisha hata serikali iingilie kati Match ichezwe Kwa Mkapa. After game nitakuja kuwaeleza kwa undani ndio muelewe why hata...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Mbinu ya Simba kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa leo

    Yaani wajitahidi wafungwe angalau 3 tu maana inaonekana kuna baos 5.na mbinu pekee ya kuwasaidia ni kukabia juu sana. Wakakabie katika goal la Berkane kabisa. Yaani Simba wakakabe hasa lango mwa Berkane mpira usiwe unavuka hata ile D Sababu ukivuka tu bao. Simba hawana kipa. Wana shati tu pale...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

    RS Berkane VS Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025 Mashabiki wa Mnyama tayari wameanza kufanya kazi yao Timu imeondoka kambini kwenda uwanjani. Kikosi cha Simba tayari kimewasili Uwanjani Vikosi na mfumo kwa kila timu
  5. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Ku BET yaiombe radhi Simba

    YAANI wanatupa sisi Odd za Kengold kweli? Timu namba nne Africa Kwa hasira Shabiki wa Kolozdad weka laki tupige laki nane chap
  6. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba muache kujichanganya na kucheza na akili za mashabiki wenu!

    Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa! Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar! Nimejiuliza maswali mengi juu ya Hawa viongozi kama wako...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF! Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar. Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini. Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
  8. chongoe

    JamiiForums Tanzania Nipigwe ban Simba Leo asipo pata ushindi wa goli moja au kutoka moja moja

    Ndio ivyo
  9. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Hapa CAF wameikosea heshima Simba

    Hii For the first time ever Hii Ina maana hawatambui Ile fainali yetu ya Abiola kapu 93?
  10. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Natabiri, Simba atapata Goli la ugenini kule Morocco na litafungwa kwa njia ya kichwa (Kibu D/Mukwala)

    Kwanini??, sina taaluma ya coaching ila kwa akili ya kawaida ya kimpira kama umefanikiwa kurejea mechi mbalimbali za hawa RS BERKANE utakubaliana na mimi ni wabovu mno kwenye SET PIECES/free kicks....ni matumaini yangu bench la ufundi wameliona hilo Tegemea kwenye mechi ya kesho JEAN CHARLES...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CAF yafunguka sababu za kuipeleka Simba Zanzibar

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeeleza sababu za kuupeleka mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane ya Morocco, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Zanzibar. Wakati vigogo hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa tayari wameanza kujipanga...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kisa Simba tovuti ya CAF jana ilitembelewa na watu bilioni 1.3

    Haijawahi kutokea katika historia ya mpira wa Africa tovuti kutembelewa na watu wengi kwa wakati mmoja kama jana Baada ya CAF kutoa tamko la kubadili uwanja ,tovuti yao ilitembelewa na waru zaidi ya bilioni 1.3 Kweli Simba ni brand kubwa
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Yanga na Berkane tunaongoza. Tumepambana sana. Simba atashinda njaa tu. Kombe habebi

    Toka Jumatatu team ya watu 13 wamepambana sana kutembea sehemu mbalimbali kusimamisha hii game. Tumeenda Morogoro, Tanga, Zanzibar, Mtwara na Tabora. Matokeo ambayo tumepewa ni ya kuridhisha. Mkia anachapwa first leg na 2nd pia hafanikiwi. Kombe linaondoka. Wazee wamepambana sana. Simba...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa kuna uwezekano wa 75% wa fainali ya Simba vs Berkane kurudishwa Uwanja wa Mkapa

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar. Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu. Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
  15. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo kuna members watakuwa bize kugombania kuanzisha uzi wa Berkane Vs Simba, hii nayo ni tatizo la afya ya akili

    Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi? Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi. Fun enough...
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba hadi wanafika hii Fainali ni kwa Janja Janja tu na saiv wanataka kufanya Ujanja Ujanja ili wabebe Kombe

    Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe.. Simba wakacheza First leg Vs Al Masry wakala chuma 2 kavu wakaangalia wakaona marudiano itakua wapi options...
  17. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Hii hapa remix atuchezi simba kimeumana

  18. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba kwa maksudi walianza kuuza tiketi ilihali uwanja ulikuwa umefungiwa na hawajapewa go ahead

    Ni mambo ya hovyo sana yaani unaanza kuuza tiketi kinyemela ilihali hujapewa go ahead ya uwanja kufunguliwa Tunafahamu uwanja ulifungiwa na jumapili maafisa wa CAF walikuja kuukagua kabla hawajatoa majibu simba kwa maksudi wakaanza kuuza tiketi ilihali hawajapewa go ahead Viongozi wa simba...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Suluhu ya kufanya Simba icheze kwa mkapa

    Kumekuwa na taharuki kuwa mchezo wa awamu ya pili utapigwa Zanzibar lakini sisi kama taifa tunaweza kufanya hivi ili hii Ngoma ipigwe kwa mkapa kwamba eneo la uwanja wa Amani, hasa sehemu ya pitch, lifanyiwe marekebisho ya muda ili lisiwe tayari kwa matumizi. Hii itatupa fursa ya kucheza...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba Mechi ya Fainali

    Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali! Hii ni Fedheha! Kwanini tupangiwe uwanja? Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25! uwe na Matengenezo! itafutwe hitilafu ya lazima! na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye...
Back
Top Bottom