simba

  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Yanga wanahangaika na mechi ya fainali ya Simba na Berkane huko Zanzibar

    Wako bize sana na mechi hiyo wakati haiwahusu.
  3. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kwa huu Upuuzi mliopanga Simba mnaenda poteza hii Match. Wallah Wabillah mtaniambia

    Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli? Sasa mnaenda poteza hii match. Wallah Wabillah labda si mimi mjukuu wa mtume. Yaani mnaleta siasa kwenye mambo ambayo si ya...
  4. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

    Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii. Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
  5. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Matokeo niliyoyaona jana usiku Simba SC 🆚 Rs Berkane

    Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco. Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi asema atabeba gharama zote za Uwanja wa Amaan katika Fainali ya Simba Vs RS Berkane

    RAIS DKT. MWINYI ABEBA GHARAMA ZOTE UWANJA WA AMAAN COMPLEX MECHI YA SIMBA DHIDI YA RS BERKANE Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa Zawadi Maalum kwa timu ya Simba Sports Club kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex bila...
  7. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya JPM kwa Simba na CAF kupeleka mechi Zanzibar

    Leo nimemkumbuka aliyekua Rais wa JMT hayati John Pombe Magufuli, sehemu ya maneno alisema "naiomba Simba ilete kombe la Afrika hapa". Baada ya JPM kufariki, mwili wake ukaaagwa Dar, ukapelekwa Zanzibar, ukarudishwa Dodoma, ukapelekwa Mwanza kisha mwili wake ukapelekwa Chato kupitia Geita. Hii...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Simba safarini kuelekea Zanzibar, Hii Tunabeba

    Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba tayari kimeanza Safari ya kuelekea kisiwani Zanzibar kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Barkane, Mchezo huo utapigwa Mein25, 2025 katika dimba la New Amaan Complex.
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF iliwayumbisha Simba na Serikali kuhusu uwanja wa fainali CAF

    Mashabiki wa Simba wameingizwa hasara tena za kijinga ya viingolio vyao kuporwa na wahuni wa mijini, hali hii itakoma lini na nani ataikomesha? Baada ya mechi ya nusu finali kati ya Simba vs Al-Masry kwenye uwanja wa Mkapa CAF walishakata shauri kuwa mechi ya final haitachezwa Benjamin Mkapa...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Bila aibu simba wametangaza viingilio vipya uwanja wa new amani zanzibar

    Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia https://www.jamiiforums.com/threads/viongozi-wa-simba-ingetakiwa-mpaka-mda-huu-wawe-either-wapo-kituo-cha-polisi-au-wameshajulishwa-wito-wa-kwenda-kituo-cha-polisi.2341550/#post-53830019
  11. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Magori ndie Mtu kawaharibia sana Simba kwenye issue ya CAF,hamkumkanya huko nyuma mlikua mnamshangili sana leo kawaponza

    Kama unakili Timamu tu utanielewa huyu Mzee akili sijui hua anazitumia wapi? Nina matukio ma 4 saiv ya kudhihirisha ujinga wake. 1.Nani anakumbuka swala la Derby ile ya Chuma 5? Mzeee alisema kuna Rushwa kelele kibao hadi akaenda mbqli kusema kuna wachezaji wakubwa ndani ya simba...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Siipendi Simba lakini naomba wachukue kombe kwa heshima ya taifa na 'ahsante' kwa Huyu Mama Anayeupiga mwingi Michezoni

    Kwakweli wachukue tu Simba Ili jitihada zilizoonyeshwa kwenye michezo na mafanikio mengi yaliyowekwa yaendelee kupata maana. Aisee kwenye michezo umepigwa mwingi mpaka unapwakuka. Hata haters wa mama kimoyomoyo wanakiri. ✓fainali mbili ✓mashindano ya afrika kufanyika hapa ✓viwanja kujengwa na...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba ingetakiwa mpaka mda huu wawe either wapo kituo cha polisi au wameshajulishwa wito wa kwenda kituo cha polisi

    Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi 👇👇👇👇👇👇👇👇 Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea kuuza tiket ukijua unachofanya sio sahii Baada ya mechi ya berkane ukaambiwa mechi inayofuata ni...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CAF: Ripoti ya Mkaguzi imeonesha Uwanja wa Mkapa hauwezi kukamilika kwa ajili ya Fainali ya Simba Vs Berkane

    CAF ilishirikiana na kusaidia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (“TFF”) pamoja na Wadau wengine kuwezesha Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuwa mwenyeji wa Mchezo wa Marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF la TotalEnergies 2024/25 Shirikisho la Soka Barani Afrika...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Meneja Simba Queens afungiwa miezi sita na faini kwa kuwashambulia waamuzi

    Kamati ya Mpira wa Miguu wa Wanawake ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake kilichopita taarifa za mechi za Ligi Kuu ya Wanawake imemfungia Meneja wa Simba Queens, Selemani Makanya kwa miezi 6 na kumpiga faini ya TSh 1.5 Milioni kwa kosa la kuwashambulia Waamuzi baada...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar

    Kwanini? 1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
  18. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la mechi ya Simba kuchezewa Zanzibar Kuna uhuni ndani yake, nani aliyeruhusu awali mechi ichezewe Zanzibar bila TFF na Simba kujua?

    Taifa limefikia hatua ya kuwa na matapeli Kila mahali, hivi kwa akili za kawaida tu CAF walijisemea tu wenyewe mechi iwe Zanzibar bila watu wetu kuwaandikia barua? Haiwezekani na haipo viwanja vipi vingi Afrika na kama maofisa wa CAF lazima walifika benja kukagua na kusema hapana basi hata...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ili tuishi kwa amani na furaha. Tupatieni majina ya Wachezaji wa Simba tuwazike na Mtujulishe wamefikia wapi kwa sasa

    Tayari uongozi umepitisha. Ijumaa tunaenda maliza match ya Mikia. Wallah wabillah hawa mikia hawatachukua Kombe. Labda siyo mimi Komeo la Chuma. Uongozi umetoa fungu la kutosha kufanikisha zoezi hili. Wachezaji wa Simba wazikwe. Yanatakiwa majina yao kamili na tarehe zao za kuzaliwa. Hii...
  20. shuka chini

    JamiiForums Tanzania Simba akichukua kombe, nipigwe ban ya siku tano

    Habari wadau . Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili mechi ipelekwe zanzibar kumfurahisha mama . Kwa kilichotokea nasema hivi simba nendeni mkakamilishe...
Back
Top Bottom