simba

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba waende Cas kupinga UWANJA ....

    KUpata ujinga kama huu andika Tukutane ZNZ KWENDA namba 15770
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kuwanyima haki ya kuiona timu yao ikicheza fainali ya CAF maelfu kwa maelfu ya mashabiki wa Simba ni doa lisilofutika

    Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi. Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba wamewafanyia mashabiki wao utapeli

    Simba na TFF walitumiwa barua ya kuwapa taarifa kuwa mchezo wao wa fainali dhidi ya RS Berkane kuwa utachezwa Zanzibar Toka tarehe 14 May, 2025 Viongozi wa Simba wakijua hii taarifa waliwapa taarifa kuwa wawndelee kununua tiketi za uwanja wa Benjamin Mkapa Viongozi wa Simba, TFF na Serikali...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tusiwe na hofu ! uongozi wa uwanja wa Zanzibar na Shirikka la soka Zanzibar wamejaa viongozi mashabiki wa Simba.

    Hofu ni kwenu tu. Nimeambiwa na mdau wa soka kutoka Zanzibar, Viongozi wengi wa soka na uongozi wa Uwanja ni mashabiki wa Simba,
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  6. Username 20

    JamiiForums Tanzania Fainali ya CAF Simba na Serikali wamefeli

    Hii mechi imekuwa na sintofahamu nyingi ni wapi itafanyika, Caf walishatoa ratiba Simba wanalijua hilo na TFF wanayo taarifa kamili ni wapi mchezo huo utafanyika Maajabu ni kwamba Simba na TFF ni kama wanaisaidia serikali kupoteza ukweli kuwa uwanja wa Benjamin Mkapa ni mbovu sehemu ya kuchezea...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Barua inayodaiwa kuwa ya Rais wa CAF kwenda kwa Simba ni FEKI ipuuzwe

    Epuka matapeli, barua hii ni feki. Fainali itapigwa Zanzibar
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tabili mbalimbali kuelekea fainali ya Simba na RS Berkane 2025

    Nitakua nawaletea watu mbalimbali watakao kua wanatabili matokeo ya mchezo wa fainali kati ya Simba na RS Berkane utakaochezwa Tanzania. Hata wewe mwana JFS unaruhusiwa kutabili ili mwisho wa siku tuone nani ni mtabili Bora. Naanzia na huyu. https://vm.tiktok.com/ZMSLpW8Tq/
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Algeria ni salama zaidi kwa Simba kuliko Zanzibar

    Tunaojua Sanaa ya Vita tunajua kamwe usiruhusu adui yako akakuchagulia silaha. Daudi alipoingia uwanja wa vita kumkabili Goliath alikataa kuvaa na kubeba silaha alizopewa, akalazimisha kwenda na vikokoto vyake alivyovizoea kila siku. Watu wakamshangaa huyu vipi, ana akili kweli? Mwisho wa siku...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

    Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa? Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya...
  11. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Simba waanza mbinu ya kuikwepa Yanga fainal za CRDB, mbinu yao ya kwanza itaanza kwenye mchezo wao na singida

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Baada ya wananchi yanga kutinga hatua ya fainal za CRDB tiar viongozi wa Simba wameanza mbinu za kukimbia game Na mbinu yao ya kwanza kabisa itaanza kwenye game yao na singida Yenu macho LONDON BOY
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nalazimika kutaja mapema yale makosa niliyosema ambayo yanaweza kuinyima Simba ubingwa wa CAF Shirikisho

    Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja. Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi. Baada ya mechi ya jana nimesukumwa niyataje mapema na nione kweli dhamira ya kusikiliza maoni ya watu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wana SIMBA TUUUUU..

    Habari za MDA huu. Simba SC ilifungwa jana, Mei 17, 2025, na RS Berkane kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF uliofanyika kwenye Uwanja wa Stade Municipal de Berkane, Morocco. Sababu Kuu za Simba Kufungwa 1. Makosa ya Ulinzi na Kuanza Vibaya Simba...
  14. Mngoni asiyepiga gambe

    JamiiForums Tanzania Simba tujitahidi sana kumlinda kocha Fadlu Davids

    Kwa kile nilichokiona jana mbali na kuwa na mchezo mgumu ila jambo moja la uhakika ni kuwa Simba tuna kocha wa maana sub ya kipindi cha pili ya kumtoa Kibu na kumuingiza Nouma ilikuwa kete muhimu sana kulinda timu kutokana na maafa ambayo yangeweza kutukuta ,kuna mambo mawili kocha alitaka...
  15. The introvert

    JamiiForums Tanzania Dhana mbovu iliojengwa na mashabiki pamoja na viongozi wa Simba

    DHANA!!! Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana. Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo amekutana nazo na hii ambayo anacheza nayo fainali. Sio mbaya kujiamini lakini kiuhalisia bado Berkane ni...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Mohamed Hussein na Abdullazak ni Vimeo simba

    Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
  17. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu kwanini Simba SC wamefungwa na Berkane na hawatachukua Ubingwa Afrika

    Jana tumeshuhudia Simba SC wakiangukia pua pale Morroco pamoja na tambo, mbwembwe, goli la mama na kupelekwa na ndege ya Mama! Ni dhahiri Simba wasingeweza kushinda jana hata wangelifanyaje. Iko hivi. Tanzania kwa sasa inapitia kipindi kigumu sana cha Udikteta Uchwara. Watz kwa sasa wanatekwa...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Bora Simba Sc wafungwe maradufu ili CCM wakome Kuvuna wasipopanda

    GT Mimi ni simba ila kitendo cha maCCM kuzichukulia timu zetu kama sehemu ya propaganda na campaign kuelekea uchaguzi mkuu kinanikera sana. Kwa maana hiyo basi ili kuwakomesha hawa maCCM na kuwaziba midomo maana siwapendi acha tu simba sc wafungwe tu na wasichukue kombe kabisa. Kama maCCM...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simba tukacheze tu Zanzibar ili ionekane TULITOLEWA UGENINI(AWAY).

    Hakuna namna au miujiza ya kuifunga Barken. Nawaomba viongozi wangu wa Simba wakubali tu kwenda kucheza Zanzibar game ya marudiano. Hatutapata aibu kama itakavyokuwa kwenye uwanja wa Mkapa. Tena tushukuru Mungu, jana ilikuwa tupigwe goli 5 Halafu MO katuangusha sana, yaani kashindwa...
  20. geofreyngaga

    JamiiForums Tanzania Nilichoomba ndio kilichotokea, Simba anachukua KOMBE

    Mimi sio mchambuzi mzuri wa soka ila nachojua au kuamini ni ngumu sana kumfunga simba nyumbani na ukiangalia takwimu ni kama haiwezekani hata ndroo pia ngumu kwa timu ngeni. Kwa msingi huo nilikua naombea kama Simba itafungwa leo basi zisizidi zaidi ya goli 2 sbb simba inauwezo mkubwa wa...
Back
Top Bottom