simba

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF ni chombo ya Simba

    Hakuna ubishi uongoxi wa TFF na bodi ya ligi umeegemea Simba kwa 80%. Wanatekeleza matakwa ya Simba bila kujificha. TFF na bodi ya ligi walíirahisishia Simba kukwepa derby, kushinda viporo vyake kwenye ligi na kushinda mechi zake CAF shirikisho. Hata KMC mechi yake na Simba kurudishwa uwanja...
  2. Zogoo da khama

    JamiiForums Tanzania Safari ya Simba kwenda Morocco

    Awali ya yote niipongeze Serikali kwa kutoa usafiri wa bure kwenda Morocco jambo hili litaongeza idadi ya wapenzi, wanachama na mashabiki kwenda kuishangilia timu yetu. Jambo la kuhudhunisha ni uongozi kuambua kuwalipisha watu nauli ya $1,200 hii nini maana yake? Nani yupo nyuma ya hii...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Houth wanachezea Shurubu za Simba!!

    Dakika 20 zilizopita, kombora la balestiki la Houthi lilirushwa kuelekea Israeli. Picha za waogeleaji wa pwani huko Tel Aviv zikikatishwa na ving'ora. Kombora hilo lilipopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga, hakuna majeraha yaliyoripotiwa.
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga haina sababu ya kuhofia Simba, Nia ni kuondoa uhuni pale TFF

    Yanga ndo Giant football in Tanzania Kamwe Yanga haiwezi kuihofia Simba dhaifu inayocheza mashindano dhaifu ya shirikisho Yanga watacheza na Simba kwenye CRDB confederation cup endapo majariwa, tunaomba tu Simba wafuzu tukutane final Chonde chonde 5imba msije kukimbia kama mlivokumbia derby...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huku Simba ananguruma...... huku Kichaka kinachomwa.......

    Sio kwa rafu anazochezewa ....Maana yupo ndani kichaka kinachomwa na nyoka wanakimbia......Tunawategemea wanangu,,,...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

    Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali. Kitendo hicho...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Videos : Hili sakata Yanga tunapigwa Miti kila sehemu. Huku Simba wamenyamaza tu

    Inauma sana. Tumekuwa tunashambuliwa na kila mjuzi wa soka. Hadi watu wetu wenyewe wanatugeuka kuwa hatuna akili. Simba wao wamenyamaza tu kama hawahusiki. Viongozi why lakini? Je ni kuficha aibu ya matokeo ya barua ya CAS? tumeamua kutafuta kichaka cha kujifichia? Sasa tunachimba shimo...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba vs Berkane, Simba atafungwa magoli 3

    Naiona penalty ama redkadi ktk. Hii MECHII Pia upande WA PEMBEN WA shaballalh kutakuwa na mtengemano mkubwa kiasi cha kwamba anaweza mtu akahisi hayuko uwanjani KATIKATI Pia kutakuwa na changamoto KUBWA halijawahi kutokea ktk mechi zote walizocheza BAADA ya HAPO Berkane itakuja dar Sijui...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Exclusive video ya Simba Robo Fainali ya CAF Cup 1993

    Zinaendelea kuibuka video nyingi zaidi za kumbukumbu ya mafanikio ya Simba katika historia ya mpira Tanzania. Leo nawaletea video ya robo fainali ya CAF Cup 1993 kati ya USM El Harrachi dhidi ya Simba iliyochezwa kule Algeria. Simba ilivuka kigingi hiki na kwenda hadi fainali na kuwa klabu ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo wa Ligi Simba ni Bingwa NBC - Na refa ndo atatoa penalt za ushindi mechi ya derby

    Kwa mwenendo wa ligi kuu ya benki ya nbc unavyoondelea bila shaka kila mmoja ameona , na anaweza kuona kuwa bingwa tayari anajulikana. Ni hivi kabla ya derby simba atakuwa na point 78 na yanga atakuwa na point 79 hivyo mshindi ataamuliwa na mechi derby , ambayo pia mechi hiyo itaamuliwa na...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Simba ndiyo timu pekee iliyo na uhakika wa kucheza Klabu Bingwa ya CAF msimu ujao

    Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje. Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao. Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipa Ndege Simba kuipeleka Morocco kwa Fainali ya CAF

    Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi akiwa Bungeni Jijini Dodoma leo May 08,2025 kwa niaba ya Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kwamba Serikali itawapa Simba SC ndege kuelekea Morocco kwenye mchezo wa fainali. “Baada ya...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Onyo na angalizo kwa Simba SC dhidi ya propaganda ya kiufundi inayofanywa na Yanga SC kuelekea mechi ya tarehe 15 juni, 2025

    Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na Simba SC baada ile ya tarehe 8 Machi, 2025 Kuahirishwa. Taarifa za uhakika ambazo leo hii GENTAMYCINE...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Derby ya June 15 itahairishwa tena ikiwa mabaunsa wataizuia Simba kufanya mazoezi?

    Moja ya sababu ya Simba kugomea mechi ilikuwa ni kuzuiwa na mabaunsa kufanya mazoezi Je itakuwaje tena Mabaunsa wakiwazuia Simba kufanya mazoezi? Yanga ndo mwenyeji wa mechi Bado, ndo atakuwa na majukumu yote mchezo, kama bodi ya ligi walijiridhisha kuwa mabaunsa wa Yanga walifanya vile...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HATUCHEZI..YANGA MUWE NA MSIMAMO KUOKOA SOKA LA NCHI YETU HAWA WANAZI WA SIMBA KWENYE BODI WAAIBIKE

    Niwapongeze YANGA kwa KUW ANA MSIMAMO WA HATUCHEZI NAOMBA NIWAASE TU KOMAENI KANUNI NA SHERIA WALIZOPANGA NA KUSAINI WENYEWE LAZIMA ZIHESHIMIWE HAWA WANAZI WA BODI YA LIGI WANAOSHABIKIA SIMBA NAAPANLAZIMA WAAIBIKE KAMA WALIHONGWA WATASEMA TU MWISHO WA SIKU PESA WALIZOPOKEA NARUDIA...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Kabudi leo nakuzingua, uje na majibu mgogoro wa dabi ya Simba na Yanga

    "...Mheshimiwa Mwenyekiti namuuliza kaka yangu Kabudi mheshimiwa waziri, na nilikuona kutokana na mgogoro uliopo kwenye timu zetu hizi kubwa mbili nilikuona ulitoka saa nne usiku kwenye kikao lakini baada ya kutoka mle shaaa, mpaka leo hatujajua kilichotokea kule, natanguliza maneno haya ili...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa makandokando kubebwa kulazimisha na ulaghai wala haunogi, Ninashauri Simba tuache janja janja tujenge timu

    Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili! Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Haya mabadiliko ya ratiba siyo rafiki kabisa kwa Simba SC

    Nimeangalia kwa umakini haya marekebisho ya ratiba naona siyo rafiki kabisa kwa Simba. Sijajua ushirikishwaji wa wadau wa hizi timu upoje kabla ratiba haijatolewa au kufanyiwa marekebisho ila naona kuna mapungufu makubwa. Tukianzia, nimeshangaa kuona game ya KMC vs Simba ya tarehe 11/05 bado...
  19. feyzal

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Marefa kuiharibia Simba Sc makusudi ili ionekane inapendelewa

    Wazee wana michezo habari zenu. Bila kupoteza muda niende kwenye hoja,kumekua na maamuzi mengi ya hovyo yanayofanywa na marefa na baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi la timu pinzani pindi simba ikicheza ilimradi kuiharibia simba mwana lunyasi inakera sana. Sisi Simba hatuihitaji busta yenu...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
Back
Top Bottom