simba

  1. JamiiForums Tanzania Draw za Simba msimu ujao zitatunyima ubingwa kwa mara nyingine

    Kivyovyote itakavyo kuwa tatizo kubwa la Simba msimu ujao,ni safu ya ushambuliaji. Kwa jinsi kikosi kilivyo hatutarajii goli za kutosha kwenye michezo ijayo goli 0-2 inatarajiwa kutokea mara nyingi ambapo kiwango hicho kitasababisha tutoke sare nyingi na ndicho kitatukosesha ubingwa Sare...
  2. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club maskini timu yangu😭

    Kamwe hii timu yangu haiwezi chukua ubingwa mbele ya timu ya Yanga, wana malengo mabaya sana , hatuna plan na tuna matajiri oya oya na viongozi wahuni takataka🚮 Note ..endeleeni kushabikia matajiri wajinga kwenye soka, viva epl clubs✔
  3. JamiiForums Tanzania Utambulisho wa Selemani Mwalimu, Simba

    Utambulisho wa Selemani Mwalimu , kwa Simba yangu ni uhuni unaoendelea Simba , msituone sisi ni wajinga nyie viongozi majahili wa Simba
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la leo 8.Aug.2026 Simba inahujumiwa kwenye Azam Tv

    Katika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi. Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa. Hali hii...
  5. JamiiForums Tanzania Feisal salamu anawatumia mabumunda WA SIMBA SC na YANGA SC kujiongezea thamani

    Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao. Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi . Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Wajue Mapogos kundi la simba madume sita lililoishangaza dunia

    Mapogo ni mojawapo ya hadithi maarufu na za kusisimua zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa simba. Walitawala kwa nguvu, ujanja na ushirikiano wa kipekee, lakini mwisho wao ulionyesha kuwa hata watawala wakubwa hawaishi milele. Mwanzo wa Mapogo (2006) Mapogo walitokea katika eneo la Sabi...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Kikosi cha Simba kinavyoweza kupangwa akiwemo Ibraheem Jabaar

    Pamoja na kufanya maboresho kadhaa ya kikosi kwenye dirisha kubwa la usajili, Klabu ya Simba inatarajiwa kuonyesha sura ya kikosi chake kitakachopambana katika msimu wa 2026/27 wakati wa Tamasha la Simba Day, linalofanyika sambamba na maadhimisho ya miaka 90 ya klabu hiyo. Chini ya kocha Steve...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simba kununua uwanja Geita na kujenga ofisi

    Mashabiki wa Klabu ya Simba wa Tawi la UWASINYA lililopo katika Kata ya Nyarugusu, Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani humo, katika kuelekea Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC), wamesherehekea Simba Day kwa kujenga Mnara mrefu. Zaidi ya Mashabiki 300 wamehudhuria sherehe hizo. Akizungumza...
  9. JamiiForums Tanzania CAF yatoa viwango vipya vya ubora wa klabu, Simba yaporomoka

    Viwango vipya vya ubora wa klabu za Afrika (CAF Clubs' Ranking) msimu wa 2026/27 vinaonyesha Simba SC ikiwa nafasi ya 11 kwa alama 38, huku Yanga SC ikishika nafasi ya 12 kwa alama 35. Azam FC ipo nafasi ya 39 ikiwa na alama 5, wakati Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini inaongoza orodha kwa...
  10. JamiiForums Tanzania MO Dewji: Nimewekeza Simba zaidi ya 100bl.

    Tajiri na mdhamini wa Simba Mohamed Dewji amesema kuwa kwa kipindi kutoka 1998 hadi 2026 amewekeza zaidi ya 100bl klabuni hapo.
  11. JamiiForums Tanzania Simba mkitaka kua bora tena epukeni kubadili magolikipa kila baada ya msimu mmoja au mda mfupi

    Hili nimeliwaza tu huu mda, waza hata na wewe!! Hivi ushawahi kuona wapi Team kubwa na inayotawala soka katika Nchi husika inabadili ma golikipa kila baada ya msimu mmoja? Niambie tu wapi huko? Simba kipindi yupo form ile misimu 4 alikua na golikipa namba 1 mmoja tu Aishi.. Leo hii simba...
  12. JamiiForums Tanzania Mangungu lazima abaki Simba sports Club

    Sisi kama wana Dar es Salaam Young Africans, tuna unga hoja za Mangungu akiwa kama kiongozi halali wa Simba na tena maamuzi yake yaheshimiwe na wanachama pamoja na viongozi wote wa Simba..
  13. JamiiForums Tanzania Mangungu na Magori waweka mambo sawa Simba, wasitisha Mvutano wa Baraza la Wadhamini

    Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imefikia uamuzi wa kusimamisha kwa muda masuala na matukio yote yaliyokuwa yakiendelea kuhusiana na Baraza la Wadhamini la klabu hiyo, ili kutoa fursa kwa uongozi kuangazia maandalizi ya msimu mpya wa mashindano. Uamuzi huo umefikiwa katika kikao cha Bodi...
  14. JamiiForums Tanzania Anaandika Jemedari Said kuhusu sakata la Simba

    Kuna tafsiri ambayo wana Simba SC Tanzania wanayo kwa Mwenyekiti wa Klabu yao MURTAZA MANGUNGU na kuna tafsiri wana Simba wanayo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi CRESENTIUS MAGORI. Bahati mbaya sana nadiriki kusema wengi wanawatafsiri hawa watu TOFAUTI (Vice Versa) na ukweli ulivyo. Mmoja...
  15. JamiiForums Tanzania Shida ya Simba ni wanachama sio MO wala Mangungu, waliponzwa na Manji. Katiba ya Simba ni vuluvulu

    Wanachama wa Simba baada ya kubamizwa kwa miaka 3 mfululizo na Yanga ya Yusuph Manji walimkubali Mo Dewji kama mdhamini wa Simba kwa mihemko bila kujiuliza sana. Baada ya Simba ya Mo kuibamiza Yanga kwa miaka 4 mfululizo walitengeneza Katiba ya Simba inayomzunguuka mo zaidi kuliko timu ya Simba...
  16. JamiiForums Tanzania Simba wana akili nyingi sana. Baada ya usajili kubuma wameamua kujivunja

    Kwakifupi si Moo wala Magori, wote wanaogopa sana kipigo cha kihistoria watakachopata tarehe 12/08/2026 hivyo wameona watengeneze mgogoro ili ionekane Yanga kaifumua Simba magoli 15 - 0 kipindi Simba haijakaa sawa.
  17. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea ndani ya Club ya Simba?

    Nimeona hii taarifa kwenye official page ya Club,mwenye kujua kwa undani nini kimefanyika huko Bunju.
  18. JamiiForums Tanzania Try Again arejeshwa Simba, aunda Baraza jipya la Wadhamini lililopitishwa na Wanachama Bunju

    Klabu ya Simba SC imepitisha Baraza jipya la Wadhamini baada ya wanachama kulidhinisha katika Mkutano Mkuu wa Dharura uliofanyika leo, Agosti 2, 2026, Bunju jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa, Mwenyekiti wa Klabu hiyo alipendekeza jina la Salim Abdallah Muhene maarufu kama Try Again...
  19. JamiiForums Tanzania Nadhani Jay Ruty anavuta mpunga mrefu kutoka Diadora kupitia Simba. Tuamke

    Navaa jezi ya Diadora yenye jina tena la Jay Ruty. Je, Diadora tunamtangaza kwa bei gani na Jay Ruty kwa bei gani kupitia Simba sc?
  20. JamiiForums Tanzania Simba waliokula watu katika bonde la Rufiji

    Miaka ya nyuma wakati wa ukoloni bonde la mto Rufiji lilijaa sana wanyama. Pengine nchi hii hakukuwa na sehemu yenye wanyama wengi kama bonde la Rufiji. Simba walikuwa wengi na waliua sana wenyeji. Wenyeji nao wakawa mafundi sana wa kuwinda na kuua simba. Hata kuna kipindi watu wa huko Singida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…