Afrika Gani unayoongelea?. Tz bana kuna wajinga wengi sana yaani mchezaji haijawahi kufungabhata 15+ awe na uzuri upi?.Ni mchezaji mzuri sana kwa afrika ila utambulisho wake ni kwa ki mashaka
🤣🤣🤣Simba ina viongozi takataka wanao tuona kama mat,,ko yao🖕
Wanyooshe bamnyogode!Mamnyang'ode kuna wasefenge wanatukwamisha
Utapasuka nyongo tu hama mzeeSimba ina viongozi takataka wanao tuona kama mat,,ko yao🖕
Ni Sasa hv tu baada ya kuona Uzi wako hivyo hilo tukio limenipita. Enhe, imekuake sakata hilo?Unafuatilia matukio?
OKSiwezi kuhama toka 95 nashabikia simba yangu