Simba kununua uwanja Geita na kujenga ofisi

Simba kununua uwanja Geita na kujenga ofisi

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,111
Mashabiki wa Klabu ya Simba wa Tawi la UWASINYA lililopo katika Kata ya Nyarugusu, Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani humo, katika kuelekea Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC), wamesherehekea Simba Day kwa kujenga Mnara mrefu.

Zaidi ya Mashabiki 300 wamehudhuria sherehe hizo.

Akizungumza Mwenyekiti tawi la Simba Uwasinya , Joel Mganyizi amesema lengo la Sherehe hizo ni kufanya Harambee ya kukusanya kiasi cha Shilingi Milioni 100 zitakazotumika kuendesha shughuli za Tawi hilo sambamba na kununua Uwanja wa Mpira.


​
 
Nilifikiri wamenunua uwanja wa Azam Complex na kujenga ofisi yao pembeni mwake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom