simba

  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ya CAFCC ikiwa ugenini

    Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini. Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika fainali hii kuanzia nje ya uwanja na hadi leo uwanjani kwa upande wa uamuzi. Hili jambo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo wapo fasta wameshatunga wimbo wa Simba kawa paka. Utani wa jadi mtamu

    Huu wimbo simba kawa paka umeniacha hoi sana. Kila msiba wasanii wanautungia wimbo fasta
  3. W

    JamiiForums Tanzania Siwaelewi wanasimba wenzangu walioumia kukosa ubingwa, hivi sasa Simba ni klabu ya tano kwenye 5 year ranking

    Kama ni kukosa sio mara ya kwanza hata mtani na yeye alikosa, alipoishia tumepafikia hakutakuwa na zile kelele za abiola cup ya miak 30 iliyipita. Tujipange kwa msimu ujao LIGI YA MABINGWA Huu ndio msimamo wa 5 year Ranking, hata Pyramids ya mzee wa kutetema ikishinda watakusanya points 47...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally ana gundu? Simba hawajabeba kombe tangu ajiunge nao

    Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kuna namna yoyote kwa Simba kushiriki kombe shirikisho msimu ujao ? Huku tutajipata ila sio Caf ligi ya mabingwa ?

    Ninauliza kama kuna namna yoyote Simba inaweza kuingia upya kwenye mashindano haya msimu ujao. Mashindano ya Caf Champions ni magumu sana, tumechoka kuishia robo fainali
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi Alishuhudia Fainali, Simba ikatuaibisha, Mtoto wa Mzee Mwinyi ameshuhudia yaleyale

    Uzi huu ni kumbukizi ya historia na hauhusiani na uzi wa matokeo ya leo. Mnakumbuka ule msemo wa kichwa cha mwendawazimu? Basi hilo jina walipewa makolo baada ya kudufuliwa na kutolewa wakiwa kwao kwenye fainali ambayo wao hulazimisha kuiita shirikisho. Shuhuda wa aibu hiyo alikuwa rais...
  7. KENZY

    JamiiForums Tanzania Poleni watani (Wana simba!)

    Mpira kwangu ni burudani tena haswa timu hizi mbili zikiwa zinacheza Yanga(chama langu), au simba(watani). Nichukue nafasi hii kuwapa pole wanasimba wote kwa kupoteza dhidi ya Berkane, kusema kweli mpira wa leo ulinipa kimuhemuhe kwani laiti watani wangu wangeshinda hakika Berkane wangepaa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Afadhali simba kafungwa ili tuepukane na kelele za wanasiasa

    Nimefurahi sana hakuna cha Mama wala nini,ni mwendo wa Spana za Gwajima na uchungu kwa wale wapendwa wetu waliopotea hatuna mda wa furaha mpaka Tundu lussu awe huru
  9. M

    JamiiForums Tanzania Karma ni Karma huwa inawatafuna sana wanafiki, refa aliyeinyima Yanga goli halali kule Afrika Kusini Simba wakakenua leo hii ndio analaumiwa

    Mashabiki wengi wa Simba ni awajielewi kabisa,,Leo hii wanapiga mayowe eti refa kawanyonga na wamesahau ni refa uyu uyu alikataa goli halali la yanga kule kwa madiba na wakakenua meno yote 32 nje? Goli lile laiti lingekubaliwa lingeipekeka yanga hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa laana ambayo...
  10. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Simba wanakaribia kupiga treble ya kukosa vikombe vitatu 2025

    Mpira hauchwezwi kwenye mdomo. Captain Mohamed Hussein a.k.a Tshabalala alianza tambo mapema "tunapiga treble ya makombe matatu". Wanaojua mpira hawakumuelewa kabisa. Wakajiuliza mbona anatukana mamba kabla hajavuka mto? Msemaji wao Ahmed Ali naye akadandia hiyo hoja kichwa kichwa wakajipa...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
  12. The introvert

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga ndiyo tumefikia huku????

    Habari za muda huu wana jamvi Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani? Ule utani wa jadi uko wapi? Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili. Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo...
  13. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Simba sports Club ni Kama Mandonga,Ikishindwa Imeshinda na Ikishinda Imeshinda

    Sisi fans wala hatuna presha kabisa yani,target ilikuwa kufika Nusu Fainali,lakini tumepita lengo na kuingia fainali Maana yake ni kwamba tayar tumeshinda kufanikisha lengo letu,kwahiyo leo tunaenda Zanzibar tayar tukiwa washindi Ni hayo tu!
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wadau niende mbele nyie mrudi nyumanyuma. Leo Simba anakalia. Ama sivyo Ban ya Mwezi Mzima

    Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe. Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
  15. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Je? Simba Leo Kupita na Upepo Wa Mabigwa Wapya?

    Msimu huu hasahasa huko Ulaya kumekuwa na wimbi la timu kadhaa kuchukua makombe mbalimbali baada ya kukaa muda mrefu bila kuchukua. Timu kama Newcastle United, Tottenham Hotspurs, Crystal palace, Bologna Fc 1909 Wamechukua makombe mbalimbali. Hata kwenye Uefa champions league huenda Paris...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Simba anashinda goli 4 na anachukua ubingwa leo

    Wakuu Uzi ndo umeisha hivo. Kipindi cha kwanza Simba anashinda moja au mbili then kipindi cha pili anashinda 3 au mbili jumla goli 4. Nimemaliza
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Simba 3, Berkane 2

    Simba 3, Berkane 2. Uwanja wa Aman Complex Zanzibar. Tarehe 25 May 2025. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  18. U

    JamiiForums Tanzania Dear Tanzanias, I'm certain Simba will be the new champion on Sunday so proud of my team

    Wadau hamjamboni nyote? This reminded me of James Hadley chase best novel "The way the cookie crumbles".
  19. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Simba uwanja wa elfu 15 mpaka sahivi bado hawajaujaza

    Simba mpaka mda huu hawajajaza uwanja bado hii ni ajabu au ni karma ya kula fedha za Zulma Wataujaza ila hakuna aliyetegemea itakuwa ni kwa mwendo wa konokono
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nawahakikishia tena, Simba anaenda kuwa bingwa wa CAF 2024-25

    Pamoja na kwamba nilishalisema hili kitambo sana kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF msimu huu, siku hizi chache nilikaa kimya kuhusu hili ili kwanza nijihakikishie baadhi ya mambo. Nimerudi tena nikiwa nina uhakika wa 100% kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF Shirikisho msimu wa 2024-25...
Back
Top Bottom