simba

  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Obrey Chirwa: Simba wakicheza kama walivyocheza hii leo watafungwa na Yanga

    Mchezaji wa Ken Gold Obrey Chirwa amesema kuwa kama Simba SC watacheza kama ambavyo wamecheza na Ken Gold kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga basi watafungwa lakini wakibadilika watapata sare "Simba kama watacheza hivi kwa Yanga watapoteza ubingwa, Simba kama watacheza hivi kwa Yanga...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba tuwajengee Mnara Karia na viongozi wa Bodi kwa Uzalendo wao kwetu

    Wametupambania sana tangu waingie madarakani. Na sasahivi wapo ambao wamewajibika kupoteza nafasi zao sababu yetu. Mbali na kutusaidia kupata ushindi tusiostahili kwenye mechi nyingi ila kubwa zaidi ni NAMNA WALIVYOJITOA MUHANGA ILE TAREHE 8 March. Bila wao ilikuwa zichukuliwe point 3 wapewe...
  3. Chakaza

    JamiiForums Tanzania G. Lema Kweli Unakitu Macho Yetu Hayajakiona. Maombi Yako Kuhusu Yanga na Simba Kuharibu SiasaZetu FIFA Kaja Kulimaliza.

    Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe. Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa. Ndio maana tuliona vita kule Angola...
  4. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wakati viongozi wa yanga wanakwenda kusoma kujiendeleza kielimu Simba wao wamebaki na elimu ya mkoloni kichwani

    I salute you kinsmen. Kila siku tunazidi kuona namna yanga inavyojitofautisha na vilabu vingine hapa nchini .. Tunaona viongozi wa yanga wakiwa ni wasomi watupu na hawachoki kusoma kujiendeleza maarifa yao . Baada tu ya kijana msomi Eng Hersi said ambaye ni Rais wa yanga na ACA alipokwenda...
  5. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Huko simba bundi ametua hali ngumu sana chombo kinakwenda shimoni, mwekezaji asusa

    I salute you kinsmen. Huko simba hali mbaya wakuu msionr hivi . Bundi ametua msimbazi! Kwa sasa tajiri amesusa na hataki kutoa lolote lile, chanzo ni hasa viongozi waliokwenda dodoma na kukubali kucheza derby ambayo wanahofia wazi watagongwa na mavi yanagonga chupi.. Kulikuwa na mparanganyiko...
  6. President of China

    JamiiForums Tanzania Lile basi la Simba Marcopolo G8 linafika lini? Au ndio kawaida ya ahadi hewa?

    Zile mbwembwe za muwekezaji wa jezi, kujenga uwanja, mabweni na Basi la kisasa zimeishia wapi? Misifa mingi na kujipa promotion. Hawa watu wanazitumia timu hizi kwa manufaa yao. Ahadi kibao, hakuna hata nukta ametimiza. Pesa za kwenye makaratasi tu. Hazina ukweli.
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mgogoro ndani ya Simba unafukuta, Mo na bodi yake wasusa, Simba yasafiri Kwa njia ya barabara kuelekea Tabora

    Baada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo wengi walikuwa wazee wa Simba akina Dalali na Hasanoo Wazee hao wa Simba hawakuwa na hoja au matakwa...
  8. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Simba kuipeleka timu uwanjani tar 25 ni kuidhalilisha club kubwa na bora barani Afrika dhidi ya club kubwa kisiasa Tanzania

    Hapo vip! Simba ni club kubwa na bora barani Afrika na ni ya tano sasa kwa ukubwa barani Afrika.Hivyo ni club kubwa na bora no.1 Tanzania,Afrika mashariki na kati. Ni aibu kwa club ndogo kama yanga kutumia siasa kuharibu mpira Tanzania. Nb: Tukumbuke yanga tokea Dunia kuubwa na kuanzishwa kwa...
  9. Bueno

    JamiiForums Tanzania Je! Simba SC wanacheza Mechi ya Dabi leo km walivyosema?

    Nauliza tu, wadau Simba SC walisema leo ndio wanancheza Dabi tofauti na tarehe nyingine yoyote. Je! Tayari Simba SC washapeleka timu uwanjani km walivyosema? Au ndio kutishiana Nyau?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

    Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA Si https://www.youtube.com/watch?v=dfKDTNeySwU
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Shabikibwa simba lala nyumbani ukiwa uwanjani Leo utapokea kichapo Cha mbwa Koko Kuna mbavu zimekaa Kwa ajili hiyo

    Ujumbe umefika mechi ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi amesema Sasa wewe kolo jichanganye ukanyage taifa Leo utapigika vibaya sana sababu ushatangaziwa mechi na tff ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi ameshasema na hakuna wa kupinga Hilo heshimj mamlaka kabla hujashugulikiwa ipasavyo na nadhani...
  12. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Baada ya huu upuuzi wa Sisiemu kuingilia mpira wa Tanzania Rasmi nimeamua kuachana na mambo ya mpira wa simba na yanga

    Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club.. Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu. Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na mwenzake Dalali.. Mimi kama kijana naamua Rasmi kuanzia tarehe ya leo kufanya bidii katika biashara...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna upuuzi kama wa Simba kukubali kucheza kwa amri ya serikali,labda watwambie soka Tanzania ni mchezo wa kuigiza

    Ningekuwa kiongozi wa Simba,nisingekubali kupeleka timu uwanjani labda kama tunasingizia swala la kuonewa. Na kama viongozi wa Simba wanatumia propaganda kwamba eti tunaonewa na ukweli ni kwamba hatuonewi,basi hawafai kuwepo katika nafasi zao. Pale Kirumba tuliona kilichotokea hadi polisi kuja...
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Uswahiba baina ya Yanga na CCM unatuathiri mnoo sisi wana Simba

    Juhudi zozote za Simba kutaka kuipiku Yanga huenda zikawa ni mbio za sakafuni kwa sababu tu ya uswahiba uliopo baina Yanga na CCM. Kuna namna mbele ya macho ya watawala wa kiCCM inaonekana ni fedheha kubwa pale ambapo Yanga inapozidiwa kimpira na Simba. Kiburi chote cha Yanga kususia derby ya...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Simba SC Wanatudharau mashabiki na wanachama wao kiasi hiki?

    Kiukweli viongozi wa Simba wanatuona mashabiki wao ni wajinga na hawatujali kabisa. Achana na matukio ya kutupiga viingilio takribani mechi tatu. Ila hili la mechi ya dabi ndio limedhihirisha kuwa wanatudharau sana mashabiki wao. Juzi walituambia kuwa mechi ya dabi ipo 15 juni na hivyo...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Sakata la Yanga na Simba: Njia Mpya ya Kuepuka Mjadala Mkali wa Bajeti ya Taifa?

    Bajeti ya taifa ni nyenzo muhimu inayolenga kuhakikisha serikali inatoa huduma kwa wananchi na kuendeleza taifa. Ni hati ya fedha inayotoa dira ya mapato na matumizi ya taifa. Hata hivyo, bajeti ya mwaka 2025/2026 imeonyesha mazingira ya kipekee ambapo mjadala wa kitaifa juu ya bajeti uligubikwa...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kulamba viingilio vya mechi dhidi ya Berkane, Viongozi wa Simba waingia mitini na kuwaacha mashabiki wao yatima kuhusu derby

    Kwa sasa, baada ya kuliwa pesa za viingilio vya mchezo wao ambao walifanganywa kwamba ungechezwa kwa Mkapa, Mashabiki wa 5imba wametelekezwa na viongozi wao na hawajui wasimamie wapi kuhusu hatma ya mchezo wa derby. Baada ya kutoka barua zaidi ya mbili, moja ikisisitiza mchezo wa tarehe 15 June...
  18. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba yashinikiza Mangungu kujiuzulu, Yakana kuwatambua viongozi wengine walioiwakilisha katika mazungumzo Ikulu

    Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

    Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
Back
Top Bottom