simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shida kubwa ya kikosi cha Simba ni quality ndogo ya wachezaji na siyo uchovu wa mechi. Ratiba kama yao Yanga aliipitia 2023/2024!

    Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata kidogo! Maana ya kikosi kipana sio kuwa na rundo la wachezaji tu ni kuwa na wachezaji wanaolingana ubora...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania 1-3, hii ndiyo Simba tunayoijua, au wamejivunja?

    Kwa mpira wa haki ya Mungu, Simba isingefika hapa ilipo Sasa kwenye ligi na CAF msimu huu. Hawana timu ila Ina tajiri mo. Wameikwepa Yanga kukwepa kufungwa na Yanga mara 6 mfululizo, Kama hawatafanya usajili na kujidanganya kuwa wana timu na kocha, msimu ujao maumivu yao yatakaza,
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuacha na kusajili Simba msimu ujao wa 2025/2026 ni Hawa hapa vinginevyo Yanga atakuwa bingwa milele

    Kama kweli Simba inahitaji msimu ujao kufanya vizuri kimataifa na kitaifa na kuonyesha ubaya ubwela kweli basi wafuatao waachwe. 1. Che Malone Fondoh 2.Chamou Karaboe 3. Augustine Okajepha 4.Fabrice Ngoma 5.Fernandez Mavambo 6.Joshua Mutale 7.Steven Mukwala 8.Leonel Ateba 9.Valentine Nouma...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu kajitahidi sana. Lakini Simba itafute kocha

    Huu ndio ukweli mchungu. Msimu ujao hata hiki kidogo kizuri alichofanya hakitaonekana. Labda akubali kuwa assistant coach
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Simba SC yangu kwa mara nyingine tena kuwa 'Bwetekeni' Yanga SC HACHEZI nasi, kisha akileta Timu tarehe 15 Juni, 2025 tufungwe 12-0 sawa?

    Nina taarifa za uhakika kabisa kuwa Yanga SC ATACHEZA hiyo Mechi ila wanatumia Mbinu Kuu mbili za SAIKOLOJIA na PROPAGANDA ili tu KUIDHOOFISHA Simba SC hivyo NAWAONYA kwa mara nyingine Simba SC kuwa kamwe TUSIBWETEKE na WASITUDANGANYE bali ukweli ni kwamba Mechi ipo na hiyo tarehe 15 mwezi Juni...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Swali la ufahamu kuhusu siasa za mpira wa Simba na Yanga katika tuhuma za kuhujumiana na upendeleo kati yao

    Huwa naona mashabiki na wasemaji wa pande zote wa hizi timu mbili za Simba na Yanga wakiwa wanalalamika kwa uchungu sana kuhusu upande mwingine kuwahujumu, wakati mwingine huwa naona kama ni utani tu ila wakati mwingi huwa naona wako serious sana hadi mishipa na jasho vinawatoka na wengine...
  7. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini Yanga niwajanja sana

    Kuelekea mechi ya watani yanga nikama wanataka kuanza kushinda nje ya uwanja , drama wanazofanya kwa vyovyote vile zinadhoofisha maandalizi ya Simba , wanataka kuwin kwa simba kuchukulia mchezo wa watani kama mechi ya kawaida. Simba tubatakiwa kujipanga sana ili kupata walau alama kwenye huo...
  8. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) | Ni kufa au kupona. Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika. Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0. Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili. Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi watuibie sisi tumekataa, Inawezekanaje Haji Manara awe refa mechi ya Simba na Yanga?

    "Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika kibendera ni Ahmed Ally, offside zote atasema ni magoli. CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Simba na yanga ndio tatizo kubwa la kutumiwa kisiasa na kuzolotesha michezo.

    Wachezaji wazawa wengi chipukizi wanawaza kujulikana kupitia simba na yanga. Ndoto za vipaji vya watu vikikosa kucheza simba na yanga ndio basi. Siasa nayo imekuwa kwenye simba na yanga mpaka bungeni na raisi. Hakuna la maana kwa wachezaji simba na yanga ni bora wazeeke simba na yanga wala...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tuwe Wanamichezo na kamwe tusiwe Mashabiki, Simba SC hata tungecheza na RS Berkane mara 10 tungefungwa nao, na Ushindi kwetu Kwao ni Sare / Suluhu

    Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League) ambayo Kwao (hawa Wachezaji wa Kimataifa na wenye Uzoefu) itakuwa ni kama tu kufanya Mazoezi. Wala...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa hii penalty hii mliowanyima Singida endeleen kuwabeba Simba uovu una mda wake nawahakikishia utaisha

    Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu Mda ukifika itasema
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Leo Simba vs Singida imeonyesha namna Gani Simba ilivyokuwa na mabeki wabovu

    Naishauri timu yangu sio kwa ubaya, mabeki wetu wa kati Chamou Karabou, Che Malone Fondoh na Abdulrazack Hamza na yule Hussein Kaze ni mtihani na presha tupu, Che Malone amepungukiwa sana uwezo, Sasa hivi hana Tena maajabu, Chamou ni mzito na kama ningekuwa karibu naye ningemshauri ageukie...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kelvin Nashon Naftal mzawa pekee aliyeanza kwenye kikosi cha Singida BS dhidi ya Simba SC

    Kiungo Kelvin Nashon Naftal wa timu ya Singida Black Stars ndiye mchezaji pekee mzawa aliyeanza leo kwenye kikosi cha Singida BS kinachocheza dhidi ya Simba Sports Club. Kikosi cha Singida Black Stars dhidi ya Simba SC, Ligi Kuu ya NBC. 1. Amas Obasogie 2. ⁠Andre Cirille 3. ⁠Imoro 4. ⁠Anthony...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kupitia taarifa hiyo...
  16. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Mama Mbona Ujaipongeza Timu ya Simba Kushika Nafasi ya Pili Kwenye Kombe la Shirikisho Mwaka Huu 2025?

    Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba kaen kimachalee nimeota june 15 "Tunacheza" "Msijisahau mtanikumbuka hili

    WANASIMBA WENZANGU NAWAJULISHA JANA NIMEOTA KITU NA NAIONA DERBY YA JUN 15 IKICHEZWA NAWASHAURI MKAE KWA MKAO WA KUCHEZA JISAHAUNI...,,MTABEBBA 5
  18. N

    JamiiForums Tanzania Je , singida kupangasa kikosi dhaifu leo dhidi ya Simba kama walivyofanya dhidi ya Yanga?

    Hapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko.... Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
  19. blogger

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Wa Simba huenda wakawa ni Mashabiki wa ovyo kabisa hapa Afrika

    Kitendo hiki hakikubaliki popote.. Hawa wale rungu tu.. hakuna namna... UPDATE.. TAMKO LA CLUB YA YANGA..
  20. L

    JamiiForums Tanzania Fainali ya CAFCC 2025 ilikua ni baina ya Simba vs CAF.

    Moja Kwa moja kwenye pointi. Ilisemwa siku nyingi kua, Morocco Ina nguvu sana CAF, Ikasemwa sana Mmiliki wa RS Berkane ni Kiongozi wa Chama Cha soka Cha Morocco, Wakatiki huohuo yeye huyo ni Makamu wa Rais wa CAF, Na anatajwa kua ni mjumbe muhimu katika ngazi za Viongozi huko FIFA. Rais wa CAF...
Back
Top Bottom