Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili...
Na ukizingatia yoyote Yale
NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA TIMU HIZI......LIGI IISHE TIMU MBILI ZINA PUNGUFU YA MECHI 1 WENGINGE 14 WAKO SAWA....
ASANTENI..
Iwapo yanga atapeleka timu uwanjani kucheza na simba yafuatayo yatatokea.
Yanga watacheza Kwa nguvu na pressure kubwa na rafu nyingi kupelekea kuadhibiwa Kwa kadi za njano nyingi. Kuna uwezekano simba wakafaidika na hizo rafu na hata haitakuwa ajabu simba wakipata penati zaidi ya Moja...
Kama mpenzi wa mpira wa Miguu na mpenzi na shabiki na mwanachama kindakindaki wa timu yangu pendwa ya Simba Sports Club nimeamua bila kushurutishwa na mtu yoyote kua Scout wa kutoa ushauri ama mapendekezo ya usajili wa wachezaji mbalimbali ambao wataisaidia timu yangu ya Simba.
Ninamiini...
Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu).
Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo.
Serikali inawatumia Hawa...
Yanga wameshasema hawachezi, wengine wanasema wanadanganya na wengine wanasema wako serious kwa sababu hadi leo hakuna tiketi zinazouzwa, wengine wanaona Yanga wameanza mazoezi mapema na hivyo wanashangaa Yanga aanze tizi mapema la kumkabili Prisons, tizi gani hilo?
Sasa ushauri wangu mechi ya...
2025: Pyramids FC
2024: Al Ahly
2023: Al Ahly
2022: Wydad Casablanca
2021: Al Ahly
2020: Al Ahly
2019: Esperance de Tunis
2018: Esperance de Tunis
2017: Wydad Casablanca
2016: Mamelodi Sundowns
2015: TP Mazembe
2014: ES Setif
2013: Al Ahly
2012: Al Ahly
2011: Esperance de Tunis...
Mwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua tunamtukana Mangungu kwamba katyuza halafu ghafla tukasahau Kwa chawa wakina kisugu na kina mzarami...
Klabu ya Simba imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji uwanjani wakati wa mchezo tajwa hapo juu kwenye uwanja wa KMC Complex Mei 28, 2025.
Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Klabu...
Mwamuzi wa kati wa mchezo tajwa hapo juu, Henry Sasi amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri sheria 17 za mpira wa miguu.
Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa...
Viongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby
Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max 😅😂 na beki wao ndo Che maloni na Chamou na Tshabalala.
Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake
TFF wametafuta njia...
Ni michezo kadhaa ya derby imepita tangu Simba ipate ushindi mbele ya Yanga. Baada ya hapo tumekuwa tukipokea vipigo mfululizo, ushauri wangu tujue wazi kupata pointi 3 mbele ya Yanga kwa sasa ni jambo ambalo haliwezekani ili tusije kuanza kulaumu wachezaji baada ya mechi. Walau pointi moja...
Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!
Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Kwanza mpaka sasa Yanga ndo wanaongoza ligi. Wasiwasi wa nini?. Kwa timu ya Yanga ilivyo sasa hivi kamwe hawawezi kufungwa na Simba iwe jua au mvua. Ninajua Bodi ya Ligi mpaka sasa hawajatoa sababu ya kuhairishwa kwa Dabi ya tarehe 8.3.2025. Naomba tuwasamehe.
Yanga ni timu kubwa kamwe kwa...
Mzee Vuvuzela alikuwa maarufu sana kwa tabiri zake. Alikuwa kama kenge aliyebarikiwa uwezo wa kunusa hatari kabla haijamfikia.
Aliwahi kutabiri kwa usahihi kuhusu uvamizi wa nzige, na akatoa mbinu madhubuti za kuwadhibiti. Watu walifuata ushauri wake, wakapuliza unga wa majivu, wakapanda mazao...
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo.
Mchezo huo utachezwa Mjini Kigali, Rwanda.
Kukubali mwaliko huo kwa Yanga kunathibitisha dhamira yao ya kukataa...
Naomba uongozi wa Yanga , wafanye juu chini mechi ya Derby tusicheze Kwa mkapa kwakuwa uwanja ule unamatatizo ya pitch lakini pia ,inasemekana Simba Kuna vidubwana wameweka chini Ya Ardhi.
Pia na sisi mechi hii kwakuwa sisi ni wenyeji ,lazima tufanye ubaya ubwela kweli kweli, kwanza Simba kama...
Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata kidogo!
Maana ya kikosi kipana sio kuwa na rundo la wachezaji tu ni kuwa na wachezaji wanaolingana ubora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.