Form ya Simba na Vita kuelekea mpambano wao

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
9,013
2,000
Hii ndio "form" ya Simba na Al Ahly kuelekea mpambano wao tarehe 23/2/2021. Yaani matokeo ya mechi kadhaa kabla ya mpambano wao na matokeo ya mipambano yao kadhaa yaani "head to head".

FORM​

ALL
All Home Away
Feb 12, 2021
VIT 0 - 1 SIM
W

Feb 07, 2021
SIM 2 - 2 AZA
D

Feb 04, 2021
JIJ 1 - 2 SIM
W

Jan 06, 2021
SIM 4 - 0 PLA
W

Dec 30, 2020
SIM 4 - 0 IHE
W

Goals Scored (Conceded)13 (3)
Games Over 2.5 Goals4 / 5
Both Teams Scored2 / 5
Al Ahly

FORM​

ALL
All Home Away
Feb 16, 2021
AHL 3 - 0 MER
W

Feb 11, 2021
AHL * 0 - 0 PAL
W

Feb 08, 2021
AHL 0 - 2 FCB
L

Feb 04, 2021
DUH 0 - 1 AHL
W

Jan 26, 2021
PYR 0 - 0 AHL
D

Goals Scored (Conceded)4 (2)
Games Over 2.5 Goals1 / 5
Both Teams Scored0 / 5
Simba
HEAD TO HEAD
Al Ahly
2 MATCHES (0 DRAWS)
1TOTAL WINS1

1HOME WINS1

0AWAY WINS0

Last 5 Matches
1WINS
0DRAW
1WINS
Feb 12, 2019
SIM 1 - 0 AHL

Feb 02, 2019
AHL 5 - 0 SIM

1GOALS SCORED5

Games Over 2.5 Goals1 / 2
Both Teams Scored0 / 2

Data hizo hapo juu zinaonyesha kuwa kila timu Ina uwezo wa kumfunga mwenzake kwenye uwanja wake wa nyumbani.

Hakuna timu iliyoshinda michezo yote mitano iliyopita, lakini kila timu Ina uwezo wa kutoa dozi ya kufa mtu!

Kwa data hizo tutegemee mchezo mkali na wa kusisimua.

Ila naweka shilingi yangu kwa Simba! Sababu: (1). Iko nyumbani (2). Sababu ya pili mwulize Platinum na Vita!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom