simba

  1. JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Afrika: Simba ugenini kuchuana na Al Merrekh

    Al Merrekh watawakaribisha wababe wa Msimbazi katika Dimba la Al Hilal huko Khartoum saa kumi jioni, katika mchezo huo Wasudan watatafuta kupata ushindi wao wa kwanza katika hatua ya makundi ya mashindano hayo Al Merrikh watawakaribisha Simba SC ambao wameshinda michezo yote miwili ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuangalia mechi ya Simba kwa sisi tulio nje ya nchi?

    Heshima zenu bandugu, Sisi tuliopo nje ya Tanzania tunawezaje kuangalia match ya simba ya leo? Asanteni
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara Ya Kwanza Naiona Yanga Inayoitakia Mema Timu Ya Simba...!

    Wiki nzima kuelekea Mechi kubwa na El Merrekh ugenini sijaona wala kusikia mwana Yanga yeyote akileta yale Masihara ya mnaenda kupigwa 'Hamsa'..! Nikajiuliza hii maana yake ni nini? Majibu yake ni haya, kwanza wamejiridhisha pasi na shaka Simba hii sio ya kispoti spoti inaweza kushinda...
  4. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wapimwa corona huko Sudan na majibu yanaonyesha hawana

    Kwa nyakati tofauti katika mashindano ya Kimataifa kama Ligi ya mabingwa Afrika na mengineyo kunakuwa na madai ya figisu inapofika kwenye vipimo vya covid 19. Kikosi cha Simba kilifanya vipimo hivyo jana Februari 4 asubuhi katika kambi yao hapa katika hoteli ya nyota tano ya Al Salam. Majibu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Simba yatoa wachezaji 2 kikosi cha wiki CAF Champions League

    Joshua Onyango na Konde boy ni miongoni mwa wachezaji wawili waliochaguliwa kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league wakiendeleza pale alipoachia Lwanga.
  6. N

    JamiiForums Tanzania HATARI: Viongozi wa Simba ongezeni ulinzi kwa Wachezaji

    Haswa team inapoenda mikoani wanaposhuka kwenye basi au kama ile walivyopokelewa Airport wakitoka Kinshasa Manula akanusurika kuibiwa simu. Kumbukeni kuna kipindi Rwanda watu walikuwa wanogopa kusalimiana mtu anaweka kipini kidogo anabana na super glue kina sumu anakusalimia anakuchoma nacho...
  7. JamiiForums Tanzania Huwa Sipendi kuangalia mechi za Simba naibia naangalia Mpira ukiisha naanza Umia Rohoni

    Mimi sipendi kushabikia Simba sababu mimi ni Yanga kweli kweli. Ila ninaufahamu mpira wa miguu. Kuna wakati ushabiki naweka pembeni. Sisi Yanga tunashindwa wapi kucheza mpira wanaocheza Simba? Mazoezini Kocha wetu anafundisha nini? Sioni anachofundisha au maybe michezaji yetu ishakuwa migume...
  8. JamiiForums Tanzania Human Resource Manager Needed at Simba Logistics | Job Opportunity

    Human Resource Manager Simba Supply Chain Solutions Limited and Simba Logistics Limited are looking for an astute, mature and reliable Human Resource Professional between the ages of 35 and 45 years. This position will be on a two-year fixed contract. This opportunity is for candidates who...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Je, Shomari Kapombe wa SIMBA SPORT CLUB ajiondoe haraka Taifa Stars?

    Maneno maneno Huwa yanaumba Kapombe sasa yule mkata kamba yako naye kaitwa stars sasa je ni wakati wa kuamini kwamba ile kamba yako ilikuwa inakatwa na yeye? Kama kweli una uhakika kamba yako huwa inakatwa na yule kijana mliyeitwa naye stars ya sasa ni bora ukajitoa kwa maslah mapana ya club...
  10. F

    JamiiForums Tanzania ubingwa wa enyimba champions league 2003, na mamelodi 2016 kama naiona kwa simba vile . Babra na Mo wananitisha mimi Mwanayanga

    Habari wadau.. Nimeona documentary ya enyimba success timu ya kwanza nigeria ku win caf champions league.. nimeiangalia kwa umakini nikajua ilikuwaje? Kwa nilichokiona kwa enyimba kama nakiona kwa Mo na simba yake ya zama hizi. Enyimba ilikuwa timu ya kawaida sana nigeria haijawai...
  11. JamiiForums Tanzania ASFC: African Lyon 0-3 Simba | Benjamin Mkapa Stadium

    Michezo ya kombe la shirikisho inaendelea na sasa ni klabu ya soka ya African Lyon dhidi ya Simba SC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. ====== 00' Muamuzi anapiga filimbi kuashiria mwanzo wa mchezo 09' Ibrahim Hajibu anaweka kamba ya kwanza kwa Simba, African Lyon 0-1 Simba 17'...
  12. JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Azam: Simba kukipiga dhidi ya African Lyon

    Baada ya kutoa kichapo cha goli 1-0 kwa Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika, Simba SC hii leo inashuka tena katika dimba la Mkapa kukipiga na African Lyon. Mchezo huo wa Kombe la Shirikisho la Azam Simba itakuwa ugenini na utapigwa majira ya saa moja usiku kwa saa za Afrika...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Another locally produced car by Simba Motor Corporations of Kenya. The car is known as the Proton Saga

    The proton Saga will come in three variants; Standard MT- 1.1 MILLION kes. Standard AT- 1.2 MILLION kes. Premium AT- 1.3 MILLION kes.
  14. JamiiForums Tanzania Uchawi wa Simba Hadharani sasa. Hivi mpira wetu Unaelekea wapi?

    Huu ndo Uchawi Mkubwa wa Simba. Duniani hamna Siri. Mpira ni mchezo wa wazi unachezwa kwenye Mwanga. Tumeona kilichotokea. Hapa Simba wamemchukua kimazingara Messi na kumpa ngozi na nywele nyeusi. Wakambadilisha na jina. Huu uchezaji si wa kawaida kwa huyu bwana mdogo. Mpira wety unaelekea...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Waziri Sonyo afariki dunia

    Mwanamuziki aliyewahi kuimba kwenye bendi ya Chuchu sound na TOT Plus, Waziri Sonyo ameaga dunia jana tarehe 23 Februari saa moja usiku maeneo ya Kibaha. Chanzo cha kifo hakijawekwa wazi ingawa kuna taarifa kuwa alikwenda kutazama mechi ya mpira wa miguu na aliporudi alijipumzisha hadi mauti...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wale Mashabiki wa Simba SC tunaokerwa na Uchezaji wa Clatous Chota Chama tujitokeze Kumkosoa hapa tafadhali

    Sina shida na Kipaji chake Kikubwa alichonacho ila Kiufundi kwa Kocha Mweledi na ambaye haingiliwi na Uongozi wa Timu hawezi Kumuanzisha Clatous Chama katika Mechi za Ushindani hasa. Hii ni Mechi yangu ya Saba namtizama (namfuatilia) Clatous Chama na Kugundua kuwa ndiyo Mchezaji Kinara wa...
  17. JamiiForums Tanzania Simba Sc ndiyo kinara wa points katika makundi yote CAF Champions

    Kama hujui basi jua. Timu kigogo Africa Simba ndio kinara wao. Habari za Simba Sc zimezagaa dunia nzima. Kwa hiyo sina haja ya kueleza saaaaana. Kifupi ni kwamba kuna Wababe halafu kuna Mbabe
  18. JamiiForums Tanzania Simba wamenikumbusha miaka saba iliyopita

    NDIYO terehe 1 machi 2014 Yanga alimuua Al Ahly 1 - 0 goli la Canavaro dakika ya 82.
  19. JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

    Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na timu zote kuwa na alama tatu baada ya kushinda mechi zao za mzunguko wa kwanza, Al Ahly inaongoza...
  20. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya Total War yawakera baadhi ya mashabiki wa Simba SC

    Kwa utafiti wangu wa kina nilioufanya inaonekana mashabiki wengi hawakupenda kauli mbiu yao mpya kuelekea mechi yao dhidi ya Al Ahly. Wengi wao wameonekana kuwa na hofu kubwa sana ya matokeo dhidi ya wageni hao kiasi kwamba kauli mbiu ikashindwa kuinua hamasa ya ushindi. Wapo wengi wanao amini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…