Simba msimsajili Mohammed Hussein. Mwacheni aende anakopelekwa na Mzozo na Wachambuzi. Mshukuruni kwa huduma yake, Mwacheni!

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,363
11,519
SIMBA NI TEAM KUBWA. MOHAMMED HUSSEIN ni mchezaji kama wachezaji wengine waliopita Simba wakaenda zao. Huyu hawezi Isumbua Simba hata kidogo.

Mwacheni Meneja wake asiye na Shule amchukue ampeleke anakotaka. Mkimsajiri Mo Hussein kwa kushirikiana na huyu Meneja Mhuni.

Alikuwa na njia sahihi za kudai mshahara wa Mo Hussein kuongezwa. Zipo. But huku anakoona kuwa sasa amepata umaarufu huu ni umaarufu wa muda kwa vyombo vya habari. Ila mwisho wake utakuwa mbaya kwa mchezaji.

SIMBA MWACHENI MOHAMMED HUSSEIN AENDE KWENYE GREENER PASTURES. PLEASE MWACHENI MPIRA NI PESA. MWACHENI AENDE AKAPATE PESA NYINGI ZAIDI.
 
Wachambuzi wengi ni mawakala Shaffih anao wachezaji wake wengi tu, George Job naye ni Wakala hivyo wanasimama na wakala mwenzao. Ila wanachotakiwa kujua hakua anadhulumiwa malipo aliyokua anapata ndio aliyokua amekubaliana na Simba.

Tshabalala ni mkali sana Ila ikibidi Simba imuachie.

NB: Baada ya hili sakata Tshabalala na agent wake wajifunze basics of business wasifanye kisela tu.
 
Nitasikitika sana akiongezewa makataba kwa dharau anayofanya huyo muhuni wa magomeni kwa kweli hapana halafu siku ya mwisho unashangaa wachezaji wa kigeni wenye kiwango kidogo wanapata mikataba ya kueleweka kumbe kuna art of negotiation yaani jemedari said aliwatoa kina boko,manula kule azam walipoambiwa hakuna mshahara zaidi ya milioni 2 akawaleta simba wakakaa poa hanaga makelele ya kiduwanzi.

Meneja wa zimbwe haendani na mchezaji mwenyewe UNLESS ZIMBWE TUNAMUONA MKIMYA ILA AKIWA NJE YA KLABU NI MTU WA MAJUNGU(LABDA KAMA YUKO HIVYO).

Muda wa gadiel michael sasa
 
Utashangaa mchezaji wa kibongo anakuwa na meneja muhuni kama Herry Mzozo halafu anakuambia kwamba lengo lake ni kucheza soko ulaya, utasubiri sana yaani.

Unakuta zoba kama michael sarpong halijui kitu lakini meneja anajua kunegotiate, sasa meneja muhuni keshatuchosha week hii. Kwa heri dogo zimbwe kila la kheri huko utopoloni au south africa kwenye milions 23 kwa mwezi.
 
Yani nyie ni shabiki maandazi tu na ndio maana tim zenu nyingi za Tz hata tim ya taifa hazifiki mbali.
.
Angali mtu kamaliza mkataba wake, analeta offa yake mezani mnaanza kumuona anadharau mnaanza kumuona kama hafai.
.
Simba ni timu kubwa kwaiyo inatakiwa kusajili wachezaji wakubwa kwa dau kubwa siku zote thamni ya club inavyopanda bas na thamni ya mchezaji inapanda.
.
Acheni ushabiki maandazi
 
yan nyie ni shabiki maandazi tu na ndio maana tim zenu nyingi za Tz hata tim ya taifa hazifiki mbali...
.
angali mtu kamaliza mkataba wake, analeta offa yake mezani mnaanza kumuona anadharau mnaanza kumuona kama hafai...
.
simba ni timu kubwa kwaiyo inatakiwa kusajili wachezaji wakubwa kwa dau kubwa siku zote thamni ya club inavyopanda bas na thamni ya mchezaji inapanda..
.
acheni ushabiki maandazi
Hakuna aliyemdharau mohamed hussein tena tunampenda sana unless hujaelewa watu wanacholalamika au unafanya makusudi, umesikia kauliza meneja wake?na mbaya zaidi ni jitu huni linalojulikana kwa mambo yake ya kihuni toka miaka ya 80.

Sasa anapewa back up za kijinga na shahif dauda ambaye hata issue ya ramadhani singano messi aliijambisha yeye naona anataka tena kuishika simba masharubu.

JAMANI ISSUE NI NDOGO MKATABA ULIOPITA NI MILIONS 4 KWA MWEZI YEYE MWENYEWE KASEMA ANATAKA MILINI 8 SIMBA WAMEKUBALI ANATAKA MILIONI 70 SIGNING FEE SIMBA WANATOA 68.

GHAFLA MENEJA KAANZA KUTUKANA MAREDIONI AKISAIDIWA NA MIPASHO YA DAUDA MNATAKA SIMBA WAFANYEJE? AENDE YANGA KUNA MILIONI 100 SIGNING FEE NA MILIONS 10 KWA MWEZI.
 
Napata ugumu kuchangia huu uzi kwakuwa sijui Heri na Mo Hussein wameongea nini, ila Mzozo namfahamu maisha yake yote anapenda mizozo mizozo tu.
 
Hakuna aliyemdharau mohamed hussein tena tunampenda sana unless hujaelewa watu wanacholalamika au unafanya makusudi, umesikia kauliza meneja wake?na mbaya zaidi ni jitu huni linalojulikana kwa mambo yake ya kihuni toka miaka ya 80.

Sasa anapewa back up za kijinga na shahif dauda ambaye hata issue ya ramadhani singano messi aliijambisha yeye naona anataka tena kuishika simba masharubu.

JAMANI ISSUE NI NDOGO MKATABA ULIOPITA NI MILIONS 4 KWA MWEZI YEYE MWENYEWE KASEMA ANATAKA MILINI 8 SIMBA WAMEKUBALI ANATAKA MILIONI 70 SIGNING FEE SIMBA WANATOA 68.

GHAFLA MENEJA KAANZA KUTUKANA MAREDIONI AKISAIDIWA NA MIPASHO YA DAUDA MNATAKA SIMBA WAFANYEJE? AENDE YANGA KUNA MILIONI 100 SIGNING FEE NA MILIONS 10 KWA MWEZI.
Nashukuru mkuu, sasa nimepata picha, aende anapoona sehemu sahihi.
 
Ingekuwa ni chama or konde ungekuwa na maoni hayohayo?

Kama jibu ni hapana jipige kifuani, sema mimi ni mchawi.

On a serious note wabongo tuache hii tabia, kipindi cha the late magu kuna mtu alitumbuliwa kisa mshahara wake ni mkubwa lakini mshahara huohuo akilipwa mzungu au wakuja hutasikia watu wakilalamika. Wote tunajua mshahara aliokuwa analipwa

Amunike = etiene+matola+mgunda

Lakini hakuna mbumbumbu aliyelalamika
 
Napata ugumu kuchangia huu uzi kwakuwa sijui Heri na Mo Hussein wameongea nini, ila Mzozo namfahamu maisha yake yote anapenda mizozo mizozo tu
Kaongea vitu vya ajabu sana huwezi amini siku moja kabla hajaropoka zimbwe alisema wanabishania pungufu ya signing fee milion 2 tu, kesho yake jamaa kakiwasha vibaya mnoo kasaidiwa na shaffih dauda kama simba wakitoa huu mkataba mpya jinsi anavyotaka mzozo itakuwa dharau kubwa sana kwa CEO wa simba,,waaachane naye aende kwenye maslahi mazuri.
 
Ingekuwa ni chama or konde ungekuwa na maoni hayohayo?
Kama jibu ni hapana jipige kifuani, sema mimi ni mchawi.
On a serious note wabongo tuache hii tabia, kipindi cha the late magu kuna mtu alitumbuliwa kisa mshahara wake ni mkubwa lakini mshahara huohuo akilipwa mzungu au wakuja hutasikia watu wakilalamika. Wote tunajua mshahara aliokuwa analipwa
Amunike = etiene+matola+mgunda
Lakini hakuna mbumbumbu aliyelalamika
Ni lini umeona meneja wa luis au chama kafanya aliyofanya mzozo?ulimsikiA zimbwe alichosema kabla meneja wake hajaropoka,simba wamlikubali kumpa milions 8 kwa mwezi na milinOi 68 ya kusaini yeya akawa anataka 70..kesho yake meneja anasema simba wana dharau kwanza zimbwe hajawahi kuitwa ofisini kwa MO kwenda kupiga picha, seriously?

Rafiki yake shaffih dauda naye kadakia maana wanapiga wote deal la kuijambisha simba katukana barbra kwamba hafanyi kazi yoyote ya maana kazi ni kupiga mapicha na kutafuta kick.

MPELEKENI YANGA KULE ATAPATA MILIONS 100 NA MILIONI KUMI kILA MWEZI . ATAITWA GSM OFISINI KUPIGA PICHA NA GHARIB NA KULE WAZAWA WANATHAMINIWA, CASE CLOSED.
 
Kaseja alipofatwa na yanga aliwaambia Simba dau alilowekewa, Simba wakasema hawawezi kumpa akaondoka kiroho safi wala hatukusikia makelele na mpaka leo hakuna wanasimba wanaomsema Kaseja vibaya, Zimbwe mwache aende Simba ni kubwa kuliko yeye.
 
nashangaa sana sasa angle yao ya kutaka mashabiki wa react kwa viongozi imeshindikana wanaanza kuema wachezaji wazawa hawatahaminiwi, aende huko yanga akathaminiwe kama anaona kuitwa ofisini na Mo kunywa naye chai na kupiga picha ni suala la muhimu.

NIMEMDHARAU SANA ZIMBWE KUWA NA MENEJA JINGA A KAMA LILE, YULe WAKALA WA CHAMA SOMEBODY CAMARA NI MTU MAKINI SANA NO WONDER MAMBO YA WACHEZAJI WENGINE YANAENDA SMOOTH
 
SIMBA NI TEAM KUBWA. MOHAMMED HUSSEIN ni mchezaji kama wachezaji wengine waliopita Simba wakaenda zao. Huyu hawezi Isumbua Simba hata kidogo.

Mwacheni Meneja wake asiye na Shule amchukue ampeleke anakotaka. Mkimsajiri Mo Hussein kwa kushirikiana na huyu Meneja Mhuni.

Alikuwa na njia sahihi za kudai mshahara wa Mo Hussein kuongezwa. Zipo. But huku anakoona kuwa sasa amepata umaarufu huu ni umaarufu wa muda kwa vyombo vya habari. Ila mwisho wake utakuwa mbaya kwa mchezaji.

SIMBA MWACHENI MOHAMMED HUSSEIN AENDE KWENYE GREENER PASTURES. PLEASE MWACHENI MPIRA NI PESA. MWACHENI AENDE AKAPATE PESA NYINGI ZAIDI.
Hizo biashara tu ili Zimbwe apandishiwe dau kama ilivyo kwa Chama,ila 100% haendi popote atabaki Simba.

Ila na msifu wakala wake Zimbwe ana akili anajua kuwajambisha Simba ili mchezaji wake apewe dau kubwa.
 
Hana akili yoyote sanasana kaharibu kuna kujambishwa kama ilivyotokea kwa chama kwenda yanga au issue ya manula sasa hivi kutakiwa sudan? kujambisha ndo kutafuta marafiki zako wa media kumtukana CEO wa team kwamba anapenda mapicha na kiki za kijinga?kumlaumu Mo dewji kwa nini hamualiki zimbwe ofisini kwake kupiga picha?

WAENDE NAYE KWENYE MASLAHI SIMBA WAKIKUBALI KUPIGISHWA MAGOTI NA HERRY MZOZO WAJUE SASA WACHEZAJI WATAKUWA WANENDA KUCHUKUA WAHUNI WA MTAANI WAWE MAMENEJA WAO WAPIGIANE KELELE KWENYE MEDIA KUHUSU MIKATABA
 
hana akili yoyote sanasana kaharibu kuna kujambishwa kama ilivyotokea kwa chama kwenda yanga au issue ya manula sasa hivi kutakiwa sudan? kujambisha ndo kutafuta marafiki zako wa media kumtukana CEO wa team kwamba anapenda mapicha na kiki za kijinga?kumlaumu Mo dewji kwa nini hamualiki zimbwe ofisini kwake kupiga picha?
WAENDE NAYE KWENYE MASLAHI SIMBA WAKIKUBALI KUPIGISHWA MAGOTI NA HERRY MZOZO WAJUE SASA WACHEZAJI WATAKUWA WANENDA KUCHUKUA WAHUNI WA MTAANI WAWE MAMENEJA WAO WAPIGIANE KELELE KWENYE MEDIA KUHUSU MIKATABA
Huyo haendi popote anabaki hapo hapo Simba hiyo michezo ya mawakala,Kama wakala wa Pogba anavyo ijambishaga Man.
 
Hakuna mchezaji atakayetoka simba akacheza club za hapa ndani na akawa katika kiwango bora ambacho watu alikua nacho simba HAKUNA

Huyo dogo akisepa nafasi yake pale simba itakaliwa na mchezaji mkali mara kumi zaidi yake na huko atapoenda hata ng'aa kwasababu ubora wake ulitegemea organization nzima ya kikosi bora ambacho kina wachezaji bora wa muda wote

Nauona mwisho wa huyo dogo kisoka nje ya simba
 
Back
Top Bottom