simba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mohammed Hussein Tshabalala 'asinya' Simba SC mbele ya Kocha Mkuu Profesa Gomez

    Ameshamalizana na Simba SC dakika 15 zilizopita na anaendelea kubakia Simba SC mpaka pale atakapozeeka kabisa. Na sasa kuna Clause tumeweka ambapo Timu za ndani kama Azam FC ikimtaka itoe Tsh Bilioni 1 tu. Kama Klabu ya Yanga SC ikimuhitaji basi itabidi imnunue kwa Tsh 37 Bilioni tu. Klabu...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania M.Hussein Zimbwe Jr aongeza mkataba Simba Sc

  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simba msimsajili Mohammed Hussein. Mwacheni aende anakopelekwa na Mzozo na Wachambuzi. Mshukuruni kwa huduma yake, Mwacheni!

    SIMBA NI TEAM KUBWA. MOHAMMED HUSSEIN ni mchezaji kama wachezaji wengine waliopita Simba wakaenda zao. Huyu hawezi Isumbua Simba hata kidogo. Mwacheni Meneja wake asiye na Shule amchukue ampeleke anakotaka. Mkimsajiri Mo Hussein kwa kushirikiana na huyu Meneja Mhuni. Alikuwa na njia sahihi za...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi kwanini mnataka sana Mohammed Hussein abaki Simba? Meneja wake ndiye atakayemponza kwa uswahili wake

    Naona wanaohangaika sana na hili suala ni baadhi ya wachambuzi na Mzozo. Nadhani kama Simba wanamuhitaji wataongeza wau wangemwongeza. Sioni issue inakuaje kwa Mohammed Hussein aonekane bila yeye Simba haiwezi kwenda mbele? Nadhani wamwache tu aamue anachotaka, ana haki ya kwenda popote...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC kiwanda kikubwa cha burudani Tanzania

    Mungu akupe maisha marefu Mo Dewji, Bodi ya Simba, CEO Barbara, Mwamba Haji Manara. Mungu awape maisha marefu na ufanisi technical bench. Mungu awaongezee umaridadi wachezaji wooote first eleven, wanaokaa bench na wanaobaki majukwaani. Mnafanya kazi nzuri kutuba burudani washabiki...
  6. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Aprili 27, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Vinara wa Ligi, Mnyama Mkali Simba SC anapepetana na Dodoma Jiji FC. Mchezo inatarajiwa kuwa kali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku kila timu...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwa alichokiongea Heri Mzozo, Tshabalala ataenda Yanga

    Nimesikia interview ya kaka mkubwa Heri Mzozo. Kwa alicho kisema Ni wazi kuwa Zimbwe ataenda Yanga. Kikubwa wanacho kitazama wao kama walezi na management ya Tshabalala ni maslahi ya kijana wao. Kwa alicho kisema Mzozo kuhusu malipo anayo lipwa Zimbwe pale Msimbazi, kusema ukweli Simba...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC tugomeni GSM watuachie Timu yetu wakikataa tuhamieni rasmi Simba SC kwenye raha kwani tumechoka sasa!

    Hivi kweli wana Yanga SC kulikuwa na Umuhimu wowote wa Kuachana na Kocha Mwambusi na kutuletea hawa Wala Tende wa Tunisia Nabi na Wenzake? Hivi kweli GSM ni wa Kutusajilia Yanga SC yetu hii Migalasa akina Sarpong, Yacoiba, Fiston na Ntibanzonkiza ambaye sioni hata nini anafanya Uwanjani zaidi...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

    Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita na Dodoma jiji itajitahidi kushinda mechi ya leo. Yanga yenye alama 57 na michezo 26 itaikaribisha...
  10. ras jeff kapita

    JamiiForums Tanzania Wakati Azam anatawanywa leo Simba wajiandae tarehe 8

    Wakuu habari zenu hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!! Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Fan video: Goli la halali la simba lilokataliwa vs gwambina

    Angalia video hii iliyorekodiwa kwa simu tuliambiwa kwamba kona ya Chama ilitoka nje ikarudi ndani, oh jesus christ lord have mercy line 2 ni mwana utopolo nini? Au bahasha za khaki zilishafanya kazi/ pumbavu rudisha advance ya watu yaani huyu alishindwa tu kunyoosha kibendera goli la Zimbwe...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Line 2 aliyekataa goli la Simba Sc ana akili timamu kweli?

    Sitii neno lolote,tazama mwenyewe. Ningekuwa Mkude huyu line 2 ningemzaba kibao
  13. U

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Kuzaliwa Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola

    Happy birthday Selemani Matola
  14. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Kagera 0-2 Simba | VPL | Kaitaba Stadium - April 21, 2021

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Aprili 21, 2021 ambapo Kagera Sugar wanacheza na Mnyama Mkali Kuliko Wote Mwituni, Mabingwa wa Nchi, Simba SC kwenye uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba. Kila timu imejiandaa kuweza kushinda na kujikusanyia alama tatu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Mtangazaji Maulid Kitenge wa Wasafi FM mwenye Chuki, Unafiki na Uzandiki dhidi ya Klabu ya Simba na Mafanikio yake

    Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale. "Kwanini Simba SC...
  16. Slowly

    JamiiForums Tanzania Paula wa Kajala apost picha Snapchat akiwa amemkumbatia Rayvanny Mtu mbaya

    Huku penzi lao likiwa limeghubikwa na mikiki mikiki ya hapa na pale hata hivyo mwanadada huyo aisyeishiwa na vimbwanga ameonyesha kuwa yupo pamoja na Rayvann Kwa shida na Raha ..... Kupitia mtandao wa Snapchat Paula alipost picha akiwa ameibusu nguo inayodaiwa ni ya Rayvann na kuandika...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Abdi Banda: Simba wanaweza kutumia pesa kuwachanganya marefa. Awatahadharisha Kaizer Chief

    Nakumbuka kabisa huyu jamaa yeye na Hassan kessy ni mabeki walioondoka simba kwa nyodo na kejeli sana na wote wakaishia kutupiana maneno na Haji Manara kisa tu Simba ilikuwa na hali mbaya kipesa majuzi baada ya kutemwa na team mbovu ya Baroka na yeye kuona hamna team inayomtaka akawa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kejeli za Yanga dhidi ya simba ilipoanza CCL

    1. Mnaenda kulitia aibu taifa. 2. Mechi mbili tu jezi mpya za nini!!!??(Simba walipoanza mashindano CCL walitengeneza jezi mpya) wakimaanisha simba ikienda Algeria na kurudi ndio mwisho wao. 3. Mnaenda Congo mnakula hamsa tena 4..... 5.....
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya kudhulumiwa hela zake, Sven Vandbroek (Kishingo) aishitaki Timu ya Simba FIFA

    Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo inasambaa mitandaoni, kwamba kumbe Kuku kishingo anaidai Simba US DOLAR 44,000 ambayo ni zaidi ya hela za madafu mil 100. Ngoja tuone ukweli ni upi.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC wasikilizeni 'Legends' wenu hawa akina Sekilojo na Ivo kisha mfunge 'Mabakuli' yenu na Simba SC iendelee tu Kutamba CL na VPL

    " Mimi kama Sekilojo Chambua tena Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Yanga SC niseme tu kuwa hatushirikishwi katika Kusajili Wachezaji wa Yanga SC matokeo yake Mtu Mmoja anaamua kwenda Kusajili na anatusajilia Wachezaji wabovu tupu. Simba SC wataendelea Kufanikiwa kwakuwa wanajitambua na hawana...
Back
Top Bottom