Mshika kibendera mechi ya Gwambina Vs Simba afungiwa mizunguko mitatu

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
15,195
20,167
Mshika kibendera msaidi wa mechi ya Simba na Gwambina amefungiwa mizunguko mitatu baada ya kuboronga mechi ya Simba na Gwambina.

Kwa adhabu hii inaonyesha TFF na bodi ya ligi hawapo serious kwani kitendo alichofanya kwa makusudi kingeleta madhara makubwa iwapo Gwambina wangesawazisha au kushinda, pia inaonekana alichukua mlungula kumpa adhabu ndogo ni sawa na kumpa muda akatumie hiyo rushwa vizuri.
===
Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara imetangaza kumuondoa katika mizunguko mitatu ya ligi hiyo Mwamuzi Msaidizi Godfrey Msakila aliyechezesha mchezo wa Gwambina FC dhidi ya Simba SC kwa kosa la kushindwa kuumudu mchezo huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom