simba

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba tulete nyuki za Gwambina tunaweza shinda

    Kama mtanzania mpenda utaifa Sioni simba kupita kwenye mechi ijayo. Nashauri kuna nyuki zinatokea kila mara mechi gwambina tunaweza waa,zima kwa mda kwenye mechi yetu na kuwarudisha. Otherwise tumwombe dk mwamposa afanye maombi sikumoja kabla ya mechi na wachezaji wapakwe mafuta miguuni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania TFF wanatatizo gani jamani kwanini Simba haichezi katikati ya wiki kisa maandalizi?

    Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu ligi yetu. Ukiangalia Chelsea kacheza Jumamosi na Jana iumanne kacheza why Simba tunawekwa ubwete sana. Niwaambie viongozi wa Simba kama wanaona kukaa tu bila kucheza mechi kisa mashindano ya kimataifa tunashusha viwango vya wachezaji. Mimi ni...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama hili ni kweli na siyo Uzushi tu nitaanza kumdharau Mo Dewji na Watendaji wake wa Simba SC wanaomzunguka

    Ni nani aliyowaambia kuwa Kiufundi (hasa katika Mpira) Timu yako ikiwa imefungwa katika ' Margin ' kubwa ili nayo Kulipiza Kisasi (Kupundua Meza) Wachezaji wanatakiwa waahidiwe Magari ya Kifahari na kila Goli watakalofunga litanunuliwa kwa Tsh 260 Milioni? Hizi Ahadi ndizo zitafanya Mabeki wa...
  4. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kiukweli, Simba wameshazoea kuliabisha taifa huko ugenini. Tumechoka!

    Katika miaka ya karibuni, Simba SC imekuwa ni klabu ambayo ilikuwa ikiwakilisha taifa letu kwenye michuano ya kimataifa-ngazi ya klabu bingwa Afrika. Pamoja na kuwa rekodi nzuri katika uwanja wa Mkapa hapa Dar inapowakaribisha wapinzani wao wageni, Simba imekuwa ikiliaibisha taifa hili kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania ANALYSIS: Kaizer Chiefs 4 - 0 SIMBA: Hunt's tactics bamboozle Gomez

    KAZIER CHIEFS 4 – 0 SIMBA: GAVIN HUNT’S 5-2-3 BAMBOOZLES GOMEZ Once in a while you watch a match that is tactically fascinating that its tactical lessons stick with you for a lifetime. This was such a match. With Chiefs floundering in their domestic league and Simba high on confidence after...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF ni Mzulu Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini. Simba pulizeni dawa muone Wazulu walivyo wabaya

    Nawakumbusha tu simba.. Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona.... Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukimaliza Kuicheka Simba SC Kufungwa na Kaizer Chiefs FC tusisahau kuwa nasi huku VPL tunaharibu na Azam FC hao wanakuja kutupita

    Kisaikolojia Kumcheka Adui yako Mkubwa kwa Kuanguka ( Kufeli ) Kwake huwa ni Jambo la Kawaida ila halijawahi kuwa Suluhisho la kumaliza Matatizo yako ya kudumu uliyonayo. Tunawacheka Simba SC kwa Kipigo cha Kufungwa Magoli Manne ( 4 ) na Kaizer Chiefs FC juzi ila tusijisahaulishe kuwa nasi huku...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Simba 5 Mufulira Wonders 0

    Tunakumbushana tu Lolote laweza kutokea Simba vs Kaizer Chiefs. Nawatakia Dominica yenye baraka!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Story ya kuuza mechi ya Simba Cairo na mkasa wa Shafii Dauda. Zimbwe jr, Kapombe vs Kaizer Chiefs

    2003 simba sc ilitikisa afrika nzima kwa kuwatoa mabingwa watetezi zamaleki waliokuwa kama weeks mbili nyuma wametoka kutoa draw na real madrid ya kina zidane,gutti kwenye club bingwa ya dunia Marahemu james siang'a mkenya aliyekuwa kocha wa simba anasema kuna mtanzania mwenye asili ya kiasia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bora nichukiwe na Wana Simba SC ila ukweli huu Mchungu uliochangia Kipigo Kitakatifu cha Mzulu na Mkaburu Kaizer Chiefs FC niuseme

    Kama Mwamamichezo Halisi ( japo sijifichi ni mwana Simba SC ) nianze kwa Kuwapongeza Kaizer Chiefs FC kwa Ushindi wa Goli Nne na niwape pia Pole Simba SC kwa Kufungwa Mchezo huu wa Kwanza leo. Zifuatazo ni sababu zangu Binafsi za Kiuchambuzi Mimi Krav Maga kwanini Simba SC tumefungwa na Kaizer...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Nani mbabe (Ep 2): African Lion vs Silverback Gorila

    Katika muendelezo wa wababe katika viumbe leo hii tunawakutanisha wafalme wakali wawili kutoka barani Afrika. Je, ni nani ana advantages kubwa kumshinda mwenzake? The king of the jungle or the dangerous Gollila nani atashinda pambano hili? Simba na Sokwe/gollila karibu wote wanakuwa na uzito...
  12. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

    Timu mbili kutoka Nchi marafiki, Afrika Kusini na Tanzania zinakutana leo Jumamosi ya Mei 15, 2021 kwenye uwanja wa kwanza Afrika kuchezwa fainali za Kombe la Dunia, ambapo Kaizer Chiefs wanakabiliana na Simba SC katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika, mchezo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kila la heri kwa Simba Sports Club: Visit Tanzania.

    Leo timu yetu ya Tanzania itapeperusha bendera ya Tanzania huko Afrika ya kusini na dunia yote itatazama. Tutumie uzi huu kuitakia ushindi Simba dhidi ya Kaizer chiefs. Naitakia Simba ushindi wa kishindo!! Karibuni.
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Kaizer Vs Simba Sc kuchezwa bila mashabiki

    Kaizer Chiefs vs Simba match on TV but NOT every fan will get to watch it! Kaizer Chiefs fans will get to watch their team live on the South African Television for the first time in the CAF Champions League this season. Amakhosi take on Simba SC of Tanzania in the first leg of Africa’s premier...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mliompotosha tuambieni Ramadhani Singano yuko wapi

    Kuna mchambuzi mmoja aliyejaribu kuleta presha na kutengeneza majungu akiamini kwa njia hiyo Simba itafanya lolote alitakalo. Mchambuzi huyo aliyepachikwa jina la "taka taka" alihusika sana kumpotosha huyo kijana na kupelekea hadi hivi ninavyoandika hapa, huyo kijana hajulikani alipo na sina...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naona wachawi wanaoitakia mabaya Simba wameshakata tamaa

    Mpaka muda huu kina generalist\all rounder na chizi maarifa wangekuwa wameshatupia nyuzi za kuiponda Simba na kuitabiria kushindwa! Lakini naona kimyaaaa! Hii ni dalili kuwa hatimaye utopolo wamekubali matokeo kuwa Simba si saizi yao! Naitakia Simba ushindi mnono huko kwenye nchi ya mzee Madiba!
  17. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamuru Wananchi warudishiwe fedha zao walizolipa kuwaona Simba na Yanga wakicheza

    Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Simba na Yanga kuchezwa tena, Mashabiki kurudishiwa tiketi zao

    Taarifa mpya ya maelekezo toka serikali
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini nakubaliana na Msemaji wa Simba kuwaita baadhi ya Wachambuzi wa Mpira na Watangazaji wa Michezo Takataka?

    1. Wengi wao wako katika 'payrol' ya Yanga. 2. Wengi wao ni Wanafiki sana. 3. Wengi wao wana Chuki na Simba. 4. Wengi wao wana Wivu na Mafanikio ya Simba. 5. Wengi wao wana Upendeleo katika Uchambuzi. 6. Wengi wao wanatumika Kuichafua Simba. 7. Wengi wao wana Husuda binafsi na Mwekezaji Mo...
Back
Top Bottom