Hatujui ni kwasababu gani Karia anajivunia mafanikio ya soka yaliyopatikana wakati wa kipindi cha cha miaka 4. Binafsi sioni mafanikio ya soka kwenye kipindi chake zaidi ya Karia kuhakikisha kuwa Simba inakuwa bingwa kwa kipindi chake chote na inafanya vizuri kwenye mashindano ya African...
Katika mechi ya Simba vs Dodoma Jiji, timu ya Simba ilipiga jumla ya pasi 873 na kati ya hizo, pasi 730 zilifika zilikopangwa kwenda. Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Anwar Binda wa Wasafi FM wakati akichambua mechi hiyo, na kusema tangu aanze kuchambua mechi za VPL na ASFC za timu za Tanzania...
Sasa hapa nchini Tanzania imekuwa ni kawaida Timu yoyote ile ya VPL ikija kucheza na Simba SC uwanja wa Mkapa na ikifingwa tu Kihalali (Kimchezo) itasingizia kuwa walipuliziwa Dawa Vyumbani.
Upuuzi huu waliuanza Timu ya Azam FC na baadae tena wakaja nao Namungo FC, kisha Kagera Sugar FC na...
Simba mnajidai sana na team yenu. Naona jinsi mnavyocheza mpaka mnakera. Mnakera sana si kidogo. Na sisi Yanga tukikua tunataka kucheza kama Simba.
Ila nawaambia na sisi Yanga team yetu ikikua itacheza kama ninyi. Nyie si mnajidai sababu mmecheza na team kubwa kubwa Africa.
Mnacheza kwa dharau...
Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), hatua ya robo fainali, kupigwa leo Jumatano ya Mei 26, 2021 ambapo Mabingwa Watetezi Simba SC, wanawakaribisha Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mchezo unatazamiwa kuwa mkali sana kwa kila timu...
Najiuliza na kutafakari hivi thamani ya Simba Sports Club bado ni billion 20 au itakuwa imeongezeka kufuatia mafanikio waliyopata kwenye michuano ya Cafcl.
Naamini thamani ya klabu za mpira huongezeka kutokana na uimara wa uchezaji na kukua kwa brand ya timu.
Nawakilisha
Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%.
Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium...
"Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu. Ana Chuki Binafsi na Mimi kwakuwa nilikataa Kumpigia Chapuo kwa Ushawishi wangu mkubwa katika Soka la hapa nchini...
Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums
Official Portrait ya mkuu wa nchi/serikali sio lazima iwe ya rangi nyekundu. Watanzania acheni kukariri.
==========
==========
Mama yetu anaweza kwenda na Hijab Nyekundu kutazama mechi ya Simba na Yanga? Ni nani alimshauri Rais wetu kipenzi mama Samia...
Ufuatao ni Mchanganuo wa Alama wa kwanini Msimu ujao katika Michuano ya Kimataifa Tanzania inaingiza takribani Timu Nne.
Simba SC imechangia Alama (Points) 24 kutokana na Kushiriki Kwake na Kufanya vyema kwa Kujitahidi Kufika hadi Robo Fainali kwa miaka Miwili.
Namungo FC imechangia Alama...
kwa mara ya pili in 3 years ligi ya Tanzania inaenda kuingiza teams 4 Afrika leo hadi biashara na kmc wanapambania nafasi ya 4 sababu lolote linaweza kutokea,lakini anayesababisha yote hayo anapigwa vita kwelikweli yaani ni vita kweli soyo ya maneno tu ni ya vitendo:
Mwaka juzi kuna team...
Kwa nini wamesema hivyo? Kwa sababu ni yeye ndiye aliyekata move ya bao la pili, bila kufanya ile trick ya kipumbavu mpira ungeendelea na Simba walikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili kabla ya half-time.
Inafanana kabisa na circuit ya umeme ukate kipande cha carbon basi...
Tumeshirikiana na Kaizer Chiefs vizuri. Dawa zinafanya kazi. Waganga wetu na wao wamemaliza game. Simba leo Hatoweza kufuzu. Hata akiwaweka mitume kwenye team yake wamsiadie Simba ndo anaishia hapa leo.
Nipo tayari kupigwa Ban ya mwezi mzima. HAIWEZEKANI SIMBA KUFUZU HATA WALETE MIZIMU WACHEZE...
Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba Wachezaji wa Kaizer Chiefs FC Usiku hawakulala Mbezi Beach bali wamelala Ubalozini Kwao na kule Hotelini Mbezi Beach wamebaki wale wasiocheza leo.
Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba kuna aliyekuwa Kiongozi Mmoja wa Simba SC (sasa yupo Yanga SC) kwa...
Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu.
Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa wakati ule aliyefanikisha ushindi ule.
Safari hii shukrani za pekee zimwendee babu tale wa...
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Joash Onyango
6. Thadeo Lwanga
7. Jose Miquissone
8. Muzamiri Yasini
9. Chris Mugalu
10. Clatous Chama
11. Bernard Morrison
Wachezaji wa Akiba wawe hawa tu
1. Beno Kakolanya
2. David Kameta ' Duchu '
3. Pascal Wawa
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.