simba

  1. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Simba

    Magolikipa | Goalkeepers 01. Aishi Manula 🇹🇿 02. Beno Kakolanya 🇹🇿 03. Jeremiah Kisubi 🇹🇿 04. Ally Salim 🇹🇿 Defenders | Walinzi / Mabeki 05. Shomari Kapombe 🇹🇿 06. Mohamed Hussein 🇹🇿 07. Israel Mwenda Patrick 🇹🇿 08. Gadiel Michael 🇹🇿 09. Joash Onyango 🇰🇪 10. Hennoc Inonga 🇨🇩 11. Pascal Wawa 🇨🇮...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wazamani wa Simba ambao walikuwa mashabiki wa Yanga na wachezaji wa zamani wa Yanga walio kuwa mashabiki wa Simba

    MUOGOPE MUNGU: USIMTAJE MCHEZAJI AMBAE BADO ANACHEZA ILI USIMSABABISHIE MAZINGIRA MAGUMU KWENYE AJIRA YAKE. Wachezaji wa zamani walikuwa weledi Sana. Mchezaji wa simba hata Kama alikuwa shabiki wa Yanga Lia Lia lakini linapo kuja suala la kazi yake mchezaji huyo alipiga kazi kweli kweli ...
  3. Area 56

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

    Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa SIMBA SC - Simba ni noma noma kweli....

  5. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Msaada: APP ya Simba haifunguki

    App ya simba iliyozinduliwa juzi mbona haifunguki au kuna namna ya kuifungua. Tafadhari mulioifungua tupeni njia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Admini wa Dodoma Jiji FC ana utani na nani kwa hili Fumbo alilolitoa baada ya Wazambia kutupa raha wana Simba SC leo?

    "Mchezaji unamvalisha Jezi ina Watu kibao halafu unataka awabebe wote na Kukimbia nao hizo nguvu atazitolea wapi?" Chanzo: Ukurasa wa Dodoma Jiji FC. Akhsante mno Admini kunywa Soda tu.
  7. MO11

    JamiiForums Tanzania Simba Day itakuwa 19 September baada ya uto kutolewa CAF

    Tarehe rasmi ya simba day imetoka. Tukutane Kwa Mkapa September 19 Siku itakuwa ya furaha mara mbili maana uto watakuwa washatolewa, wiki moja mbele tunawabomoa tena. Kuna mlemavu alisema hakuna simba day mwaka huu Sisi ndio waanzilishi na tutaendeleza
  8. Mgagaa na Upwa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kuzindua jezi, inasemekana Simba imeamua kurudisha kiwandani jezi zao mpya kufanyiwa maboresho

    Kitu kizuri wameshtuka mapema la sivyo hizi hata wangeuza elfu 2 kwa kila moja hamna ambaye angenunua
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Manara alipolia kubaguliwa baada ya kukanywa kwa kuchekelea ajali ya Yanga

    Hassan bumbuli alimpa makavu live baadaya kuwacheka Yanga kwa ajali ya kupasuka tairi la mbele la gari ambayo kimahesabu ingeweza kusababisha madhara makubwa kama kawaida yake ya kutumia ulemavu wake ku play victim card alianza kulialia mitandaoni and oh boy it worked ,hata majuzi tu alitumia...
  10. hiram

    JamiiForums Tanzania Manara atabiri jezi mpya ya Simba itakavyokuwa

  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Day 2021 is Loading, Chapa ilale

    Ni kwamba Mnyama anapiga chafya tu,bado hajanguruma kama Simba
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama hawa Wazee Wanne wa Simba SC wakifanya wanachotaka Kukifanya kwa Hasira waliyonayo, Haji Manara anakuwa Chizi au Marehemu upesi

    Nimejaribu Kuwasihi mno wasifanye wanachotaka Kukifanya kwa Kitendo cha Haji Manara wakanionya ninyamaze vinginevyo nami pia watanijumuisha katika Kafara lao Kubwa wanaloenda kulifanya kwa Usaliti mkubwa na Dharau dhidi ya Simba SC. Na Kilichonitisha zaidi kuna Wazee Wawili kati ya hawa Wazee...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa ya dhamira baina viongozi wa Yanga na Simba ni hii hapa

    Ni kweli timu zote mbili kwa hivi sasa zinaendeshwa na wawekezaji wenye malengo binafsi zaidi tofauti na hapo awali walipokuwa pembeni wakisaidia kama wafadhili. Lakini ukifanya tathimini zaidi utagundua kuwa timu hizi mbili ambazo ni kubwa hapa nchini zina malengo tofauti kwa sasa katika...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mkubwa kuzidi Simba SC, kwanini Wanasimba bado wanamzungumzia Manara?

    Simba ni club kubwa mno Hakuna mtu mkubwa kuzidi Simba Mtu akiachana na simba inapaswa asahaulike maana sio tena mwanasimba Nashangaa huko mitandao ya simba ni kumzungumzia Manara tu, mtu mdogo huyu iwaje awape taabu. Hakuna mtu mkubwa kuzidi simba, kuna tetesi Al Ahly wamemnunua Luis na...
  15. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Manara yupo kibiashara Yanga

    Wana Bodi bila shaka mumeweza kulifahamu hili kuwa Haji Manara yupo kibiashara na wazito wa Yanga wanalifahamu hili. Rejea hapa:"Mithali 28:11 [11]Mtu tajiri ana hekima machoni pake mwenyewe; Bali maskini mwenye ufahamu humchunguza sana." Sasa acha Sisi masikini tumuchunguze sana. Bila...
  16. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Msimchukulie poa Haji Manara

    MSIMCHUKULIE POA MANARA . Ameandika @Thadei Ole Mushi. 1.Kama Hisa za Simba zingekuwa sokoni kwa sasa lazima zingeshuka Sana huku za Yanga zikipanda kwa kitendo Cha Manara kuhamia Yanga. 2. Kibiashara Simba kapoteza, hamasa ya Haji kwenye Mpira si ya kuhoji. Kwanza Jersey za Simba hazitatoka...
  17. demigod

    JamiiForums Tanzania Kumkaribisha Haji Manara Jangwani Ni Kosa Kubwa Sana!

    Wanajanvi. Sina shaka na uwezo wa Haji kwenye matumizi ya kimkakati ya Kimasoko. Ila kwa kutumia jicho la tatu ninaona kama ni kosa kubwa sana kumkaribisha huyu Mwamba pale Jangwani kwa sababu ya historia yake kwenye eneo la nidhamu na weledi. Ni kweli kuwa ametokea kwenye familia yenye vina...
  18. ze-dudu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

    Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga ====== Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo...
  19. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakumbushwe: Mungu si mfuasi wa vyama na hana kadi ya chama

    Mandiko yanasema, Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, Hivi mandiko yanaposema hivyo huwa inamaanisha nini? Mambo yanayohitaji utumie nguvu zako kuyakabili na inawezekana kufanya hivyo, fanya, yale yanayohitajika kuyafanya kutumia akili zako na upo upenyo wa aina hiyo fanya, Mungu ni...
  20. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Swali dogo: Simba na Yanga walikwenda Morocco Kufanya nini?

    Inawezekana jibu liko wazi ila kwa vile mimi sijui jibu lake nimeamua kuuliza. Yanga na Simba walikwenda Morocco kufanya nini kwa vile hakuna mashindano makubwa ya kimataifa huko. Je, walikwenda kufanya mazoezi tu? Kama ni hivyo kwa nini timu zote mbili ziende Morocco?
Back
Top Bottom