Naona kuna watu wasioelewa kwanini Simba ipo kwenye timu 10 ambazo hazitoanzia hatua ya awali. Wengi wao wanasema kwavile Simba ipo kwenye kumi bora Africa ndio maana wamepata hiyo nafasi. Usahihi ni kwamba Simba wamepata nafasi kwavile timu zingine zenye nafasi zao zimeshindwa kifuzu kuingia...
Club za Simba na Yanga wameshindwa kabisa kubalance usajili wao na kujikita zaidi kupata first eleven ya wageni. Najiuliza aina hii ya usajili itawasaidiaje vijana wa Tanzania wanaopanga kutoka kimaisha kwa fani ya mpira? Lini wataonekana na kutoka?
Juzi hapa niliwapenyezea za chini ya kapeti. Wengi walinijia Inbox na kuniuliza hizo habari nimezipata wapi ila sikuwajibu.
Tetesi: - Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya Wachezaji wa Kigeni kufikia 12
Sasa yametimia! Mabadiliko hayo ya kikanuni yamefanyika ndani ya...
Wachambuzi hao wanasema kwa sasa ni kama wanadhalilishwa sana. Kila wanapoenda kupost Insta kuwa Mchezaji X anasajiliwa Simba wanakuja kukuta siye.
Hata wanaposema kuwa Simba itamtangaza mchezaji B wanakuta anakuja tangazwa mchezaji A. Jambo hili wanaona ni kama kudhalilishwa sababu wao tayari...
Mwaka 1999 timu ya Majimaji ya songea ilishiriki klabu bingwa na bila kuanzia raundi ya awali, walianzia mmoja kwa moja raundi ya kwanzakwa kucheza na Al Ahly kama ambavyo simba wataanza mwaka huu.
hii ilitokana na mafanikio ya kinchi yaliyoletwa na DAR YOUNG AFRICANS mwaka wa nyuma yake 1998...
Picha ikimuonyesha Clatous Chama na Tuisila Kisinda wakiwa katika jezi za mazoezi za RS Berkane muda mchache kabla ya kuanza mazoezi hiyo jana!
Picha kwa hisani ya majasusi wetu waliopo huko Morocco, wana Simba mjiandae kupokea tangazo la kuuzwa kwa Chama muda wowote kuanzia sasa!
Neno moja...
Kuna tetesi za chini ya kapeni zinazo sema bodi ya wakurugenzi ilipokaa kikao chake wiki kadhaa zilizo pita imeafikiana kumuomba ndugu Walace Karia aongeze idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kucheza Ligi KUU Tanzania.
Pendekezo ni kuongeza nafasi ziwe 12 kutoka 10 za sasa.
Changamoto hiyo...
NAITUPIA LAWAMA SIMBA "WEKUNDU WA MSIMBAZI" KWA KUMLIZA MESSI HADHARANI.
Baadhi ya vyombo vya habari vya Hispania na Argentina vimedai kama Leonel Messi wa PSG angekubaliwa kujiunga na Simba SC "wekundu wa Msimbazi" hakika kile kilio chake tusingekiona. Lile chozi ni baada ya kukosa nafasi ya...
Haya tena. Nawapongeza Yanga ingawa mambo ya uwanjani bado lkn naona msimu huu wamejitahidi kuwa serious na usajili.
Kinachonishangazaga ni maandalizi yao ya timu.
Hivi Sasa bado nadhani wapo madukani wanaendelea na sagulasagulaa ya wachezaji ligi ikianza lawama zinaanza.
Tufike mahali...
haya wana simba tunarudi tena CAs tarehe 1 october, vipi tena babu plujim hans kashtaki madai yake jameni mbona kuna fununu???
24.09.21
CAS 2021/A/7808 Kayserispor Kulubu Dernegi v. Go Ahead Eagles BV
28.09.21
CAS 2021/A/7666 Konyaspor Kulübü Derneği v. Leonard Zuta
29.09.21
CAS 2021/A/7909...
Habari wakuu,
Imezoeeleka miaka yote simba hufungua msimu na tukio babkubwa la simba day.
Mwaka huu sijasikia kitu kuhusiana na simba day, je simba day haipo mwaka huu?
Kutoka kwenye ukurasa wa Maulid Kitenge huko Twitter ameripoti kuwa kuna tetesi kuwa nyota mahiri wa Simba Sc kutoka Zambia, Clatous Chota Chama ameuzwa kwa klabu moja nchini Morocco.
Hiyo ni baada ya Mtenda Mkuu wa Simba, kuwa nchini huko kwa muda wa siku kadhaa sasa.
Kitenge ametumbia...
Hapa tuseme ukweli.
Tangu kuondoka Manara kuna mambo tayari Simba imerudi nyuma na kulingana na Yanga.
Kuna faida moja Manara ameiacha kwa Yanga nitaitaja baade.
Katika kipindi hiki cha usajili, tumezowea kuwa kipindi cha muhaho kwa pande zote mbili.
Manara akizowea kukoleza sana kwa kila...
Mo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..
Kila kwenye neema...
Ni kitu kinachowezekana, hasa katika hali ya sasa, Kucha za Mo zilizojificha zinaonekana hadharani.
Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, timu ambayo ipo ligi kuu au imepanda inunuliwe kwa bei chee ibadilishwe jina, Mwamwedi abaki na simba yake ya kunyanyasa wafanyakazi.
Kuhusi Pesa...
THIS IS Simba, umekuwa msemo kielelezo cha kuitambulisha club yetu pendwa ya Simba, ambayo ni club ya wenye nchi matajiri akiwemo @mo Dewji, Bujibuji na wengine baadhi tunaojificha kwenye kijicho cha Mo na hisa zake (all in all tunajuana as secret cindicate)
Bila kuachana na mbinu, kauli mbiu...
Hizi ni post za baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba Sc,wanajua kazi anayofanya Mwenyekiti wao.
Wanajua njaa ya wachezaji wenzao timu zingine.
Leo hii Simba ni timu kimbilio ya kila mchezaji Afrika hii.
Leo hii Simba ni timu ya 12 Afrika.
Ukitumika tumika kwa akili, usitumike vibaya
Jamani najaribu kuwa Devil's Advocate kwenye hii Saga ya Manara VS Mo/Barbara/Simba
Nitaenda kwenye kupande ambao Manara ana claim Simba inanyonywa na Mo, kuwa kusema Mo anasema hapati faida ni uongo
naomba anaejua.
Simba kwenye mikataba yake ya 5 yrs ago kuanzia Sport pesa na mengineyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.