Kikosi cha Simba

Kenolway

JF-Expert Member
May 10, 2019
509
1,000
Magolikipa | Goalkeepers
01. Aishi Manula ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
02. Beno Kakolanya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
03. Jeremiah Kisubi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
04. Ally Salim ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Defenders | Walinzi / Mabeki
05. Shomari Kapombe ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
06. Mohamed Hussein ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
07. Israel Mwenda Patrick ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
08. Gadiel Michael ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
09. Joash Onyango ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
10. Hennoc Inonga ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
11. Pascal Wawa ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ
12. Kennedy Juma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
13. Erasto Nyoni ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Midfielders | Viungo
14. Thadae Lwanga ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ
15. Jonas Mkude ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
16. Rally Bwalya ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
17. Mzamiru Yassin ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
18. Hassa n Dilunga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
19. Sadio Konoute ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ
20. Abdulswamad Kassim ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
21. Ibrahim Ajibu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Wingers | Mawinga
22. Bernard Morrison ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ
23. Peter Banda ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ
24. Duncan Nyoni ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ
25. Pape Ousmane Sakho ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ
26. Jimmyson Mwanuke ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
27. Yusuph Mhilu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Strikes | Washambuliaji
28. Meddie Kagere ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ
29. John Bocco ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
30. Crhis Mugalu ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
31. Kibu Denis ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

NB ; Wachezaji wamezidi 30 kinyume cha kanuni zilizopo. Lakini kwa mujibu wa taarifa, Jimmyson Mwanuke usajili wake utasomeka Simba U20 ila atacheza timu ya wakubwa.
  • Hivyo hakuna tatizo.
  • Chikwende atatolewa kwa mkopo.
 

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
6,334
2,000
Simba bado haijapata mfungaji wa uhakika namba 9.

Ambaye afikie japo kiwango cha Prince Dube, au Kipre Cheche aliyekuwa Azam zamani.

Pia inahitaji Beki wa kuruka Vichwa kuzuia madhara ya Kross au Kona ambapo yupo Onyango pekee.

Nilivyomwangalia beki Inonga Baka, anahitaji kuongeza kasi na nguvu, yuko slow. Kenned Juma kidogo anajitahidi nashangaa kwanini beki Ame ameshindwa kucheza wakati ana umbo zuri sana, mrefu ananguvu na pia bado kijana.

Mshambuliaji Kibu Denis kama atajituma anaweza kuwa tegemeo la Simba msimu huu. Wachezaji wanatakiwa kujituma sana kama wanapewa nafasi ya kucheza na Kocha.

Natamani sana kuiona Simba ikicheza hasa kuona uwezo wa wachezaji wapya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom