simba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Azam Tv, Simba SC na Watangazaji wa Michezo Redioni mnatuchanganya kuhusu Muda wa Mechi ya Simba SC na Wabotswana leo

    Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo. Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo. Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9. Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange (...
  2. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kwa kikosi Cha Simba kilichosafiri hii ndio 11st yangu kesho

    Aishi Manula Kapombe Zimbwe jr Wawa Kenedy Lwanga Mzamiru Bwalya Morrson Ajibu Bocco Mfumo 4-2-3-1 Second option Aishi Manula Kapombe Wawa Onyango Zimbwe Inonga Lwanga Kanute Morrson Bwalya Bocco 3-5-2. Morrson na Bocco washambuliaji
  3. C

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara utawagharimu, acheni mazoezi ya wazi kila siku

    kuna kitu sijajua hadi leo simba kinanishangaza, sijui ni uzungu mwingi au vipi? kwanza ni kwanini mazoezi ya simba kila siku ni ya wazi? si muende hata Gymkhana palipojificha? Huyu CEO kule zanzibar watu walimshika matiti na makalio akakimbilia polisi hadi leo kesi hakuna na kwa sasa maadui...
  4. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Manara asema ataishitaki Simba

    Aliye kuwa msemaji wa Simba na sasa msemaji wa Yanga Haji S Manara amesema ataishitaki Klabu ya Simba kwa kumtumikisha bila mkataba. Manara ameyasema hayo akiwa anafanyiwa mahojiano na Divathebawse kwenye kipindi cha lovedavi cha Wasafi FM. Manara amesema Klabu ya simba ilimtumikisha kwa zaidi...
  5. demigod

    JamiiForums Tanzania TFF Ishaanza Kuwasetia Simba SC Viporo Kwenye NBC Premier League

    Ni mizunguko ya mechi mbili tu ambazo zimepita tangu ligi kuu Tanzania bara ya msimu wa 2021/22 ianze. Tayari TFF (Wallace Karia) imekwishaanza kuweka mazingira ya kuzalisha viporo kwenye ligi. Yaani ndio kama hivyo, mapeeeeeemaaaaa! Hebu fikiria. Ratiba ya mechi ya inapelekwa mbele siku saba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Beki Dickson Job japo Mimi ni mwana Simba SC, ila kuendelea Kucheza Kwako NBC Tanzania Premier League ni sawa na Kututukana Watanzania

    Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu. Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na...
  7. avogadro

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Michezo ipige marufuku mashabiki maarufu wa Simba na Yanga kushangilia Taifa Stars

    Imeibuka tabia ya watu kujifanya wao wanaujua zidi mpira ama kwa kutoa kauli tata za kukatisha tamaa timu yetu ya Taifa, wachezaji na makocha pale kwa bahati mbaya inapokosa matokeo mazuri Kuna watu ambao huonekana kwenye michezo ya Simba na Yanga wakiongea hovyo huku ama wamejipaka mdude gani...
  8. Thailand

    JamiiForums Tanzania SIMBA; Formation na wachezaji wanaoweza kurudisha Mpira Biriani

    Tatizo la simba siku za hivi karibuni imekuwa namna ya kupata kiungo mshambuliaji kariba ya clotus Chama ili timu iweze kutengeneza nafasi nyingi za magori kwa washambuliaji. Tatizo haliko kwa washambuliaji waliopo, tatizo lipo kwa kiungo gani sahihi aliopo pale msimbazi kuchukua jukumu hilo...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane visa vya Simba wala watu

    Miaka ya nyumba kulikuwa na visa vingi vya watu kuuliwa ama kujeruhiwa na Simba wala watu. Wengi wa Simba hao walitajwa kuwa si Simba halisi ila walikuwa ni binadamu waliojibadilisha kuwa Simba. Miaka ya tisini katikati kuna binamu yetu aliliwa na Simba huko Mtwara. Lilikuwa na story nyingi...
  10. demigod

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Wengi Wa Simba SC Walioenda Kwenye Timu zao za Taifa Wamezisaidiaje?

    Jana na Juzi tulishihidia mitanange ya kufuzu kuelekea World Cup huko Qatar. Nilikuwa na hamu na shauku kubwa kujua ni namna gani wachezaji wamezisaidia timu zao za Taifa kushinda. Hasa timu fulani hapa nchini ambayo ilijinasibu kupeleka wachezaji wengi kwenye Mataifa yao. Ni timu moja tu...
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Simba na Yanga kwenye World Cup Qualifier 2021

    MALI anayochezea Diarra wa Yanga imeipiga Kenya ya Onyango wa Simba bao 5 Uganda anayochezea Aucho wa Yanga imeipiga Rwanda ya Kagere wa Simba bao Moja Na Malawi ya Banda na Nyoni wa Simba imekufa bao 3 kwa Ivory Coast
  12. T

    JamiiForums Tanzania Simba walivyopendeza na logo ya NBC, kanuni kuitoa Yanga kwenye ligi

    Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa kuchafua jezi. Pichani ni Mnyama Pawasa akiwa ametinga uzi wenye twiga mwekundu vilevile ni vyema...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Udhamini wa NBC na TFF nawaachieni nyie Mimi naomba tu kujua je, Boss wa NBC ni Simba au Yanga?

    Ninasubiri majibu yenu ili nitiririke sasa.
  14. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Oktoba FIFA ranking kwa nchi za wachezaji wa Simba na Yanga

    Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa. Kwa mfano Taifa kama Malawi hata Gadiel angekuwepo angeitwa karibuni wachangiaji. Taifa Nafasi Africa...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na TFF msimchezeshe Kibu Denis mechi za kimataifa kuepuka kujutia

    Uraia alionao na tuliompa after the fact unaweza kupingwa kwenye mahakama za juu za mpira kama timu iliyofungwa na Simba au taifa stars ilimchezesha Kibu Denis kwenye mechi zake. Kibu alisajiliwa na Simba kama raia wa Tanzania na kucheza mechi za ndani na nje ya Nchi kama raia wa tz wakati...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya simba fc sijaielewa, ni ya leo kweli?

    Inasemekana ni leo wakiwa mazoezini kiwanja cha boko veteran, kwenye picha namuona beki mkongo Innonga na Jonas mkude Kinachonichanganya ni kwamba Innonga tuliambiwa kaitwa the leopards team ya taifa ya Congo ina maana bado hajaondoka? Mkude kapewa ruhusa maalumu kwenye team ya taifa kwamba na...
  17. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini. RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba" Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze...
  18. Cambodian

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

    Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha. === Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simba tengenezeni timu acheni porojo zisizokuwa na maana

    Naona kuna kamjadala apa jukwaani kanakochagizwa na wajinga wachache ama kwa kutokuelewa au wanajua lakini wanapima kina cha maji, hii michezo ya timu pinzani kupewa motisha ya pesa kuikazia timu nyingine wahasisi wa hii michezo michafu ni simba. Tunajua mwamed alitumia pesa nyingi nje ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Leo Mightier sikuishia tu Kuufurahia Ushindi wa Taabu wa Simba SC, bali hata Machozi yalinitoka na Kumshukuru mno Mwenyezi Mungu?

    Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma basi ni hii ya leo dhidi ya Dodoma Jiji FC. Tokea Siku ya Jumatano mpaka Alfajiri ya leo...
Back
Top Bottom