Je Kuna timu ni rahisi kuiongoza kama Simba?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,011
Reaction score
32,907
Baada ya kufanya research Kwa muda mrefu nimekuja ku conclude kuwa hakuna timu rahisi kuiongoza kama Simba since mashabiki ni (mbumbumbu) sorry nmekosa tafsiri sahihi
Mangungu anahojiwa baada ya kukosa ubingwa yeye anajibu kuwa kwenye ligi hakuna fairness ....je alikuwa wapi ku take action
Baada ya Simba kuukosa ubingwa Viongozi, mashabiki wamekuja na kampeni ya kuilaumu TFF Kwamba yanga wanapendelewa ......Yani badala ya kewekeza nguvu sehemu Gani wamefeli kama timu....wenyewe wanatafuta unreasonable logic Kwa kujitetea eti yanga wamebebwa 😂😂😂
NB mkishindwa solve hyo puzzle......mwakani yanga bingwa tena
 
IPO, Mtibwa SC.
 
Nafikiri timu rahisi kuongoza ni yanga.
Kabla ya kuingia unatoa ahadi ya kujenga uwanja lakini ikifika muda wa uchaguzi mwingine ndio unaanza mchakato.
Kwenye uchaguzi viongozi wanachukuliwa fomu ili wapite bila kupingwa.
Washabiki kazi ya ni ........ mtanalizia
 
Simba kuukosa ubingwa ile miaka mitatu ya mwanzo kulikuwa hakuna wa kulaumiwa kwa sababu ilikuwa ni kipindi cha kuunda timu upya baada ya mafanikio ya muda mrefu. Lakini kuukosa ubingwa msimu uliopita na huu ni uzembe mkubwa sana wa viongozi. Ni wakati sasa kizazi cha wakina Magori wabaki kama washauri tu timu waiachie kizazi cha akina Mkwabi waongoze jahazi la Simba.

Hebu fikiria ulikuwa huawambii kitu hao kina Magori na wachezaji wao wakina Mutale, Mukwala, Ahoua, Ngoma wakati kila siku Yanga anajipigia tu kila mechi bado walikuwa hawastuki. Wakiambiwa hao wachezaji sio level za Simba wao wamewang'ang'ania tu kisa Yanga wanawajambisha kuwa watawasajili wakiwaacha. Kama sio Barker kujilipua na kuwasanua baada ya mashindano ya Mapinduzi Zanzibar hakika Simba ingemeliza ligi nyuma ya Azam au hata nafasi ya sita huko.

Na mbaya zaidi mashabiki wa Simba kama wamelishwa limbwata. Furaha yao kubwa ni wakati wa usajili na mwanzoni mwa ligi basi. Ligi ikifika katikati wanaanza kuishi kwa matumaini wakipokea ushauri nasaha kutoka kwa msemaji wao mpaka ligi inaisha bila kombe nao wanaridhika.
 
Kuna jambo limebadilika kwenye mada za jukwaa la soka humu JF. Kipindi cha nyuma mada kama hii ingeshambuliwa kwa ubishani wa hapa na pale.
 
Baada ya kufanya research Kwa muda mrefu nimekuja ku conclude kuwa hakuna timu rahisi kuiongoza kama Simba since mashabiki ni (mbumbumbu) sorry nmekosa tafsiri sahihi
Mangungu anahojiwa baada ya kukosa ubingwa yeye anajibu kuwa kwenye ligi hakuna fairness ....je alikuwa wapi ku take action
Baada ya Simba kuukosa ubingwa Viongozi, mashabiki wamekuja na kampeni ya kuilaumu TFF Kwamba yanga wanapendelewa ......Yani badala ya kewekeza nguvu sehemu Gani wamefeli kama timu....wenyewe wanatafuta unreasonable logic Kwa kujitetea eti yanga wamebebwa 😂😂😂
NB mkishindwa solve hyo puzzle......mwakani yanga bingwa tena
Mwakani mshindi wa pili ni AZAM, huku Yanga ikiwa Bingwa mara ya 6.
 
Nafikiri timu rahisi kuongoza ni yanga.
Kabla ya kuingia unatoa ahadi ya kujenga uwanja lakini ikifika muda wa uchaguzi mwingine ndio unaanza mchakato.
Kwenye uchaguzi viongozi wanachukuliwa fomu ili wapite bila kupingwa.
Washabiki kazi ya ni ........ mtanalizia
Umeongozwa na ushabiki
 
Ni Simba Mkuu,wale ni mbumbumbu wahed , Hivi KESI ya damaro iliishia wapi ? KESI ya ya Yanga kuchangia CCM imeishia wapi ?
 
Mitano mingine kwa Mangungu, kipenzi cha mashabiki.
 
Back
Top Bottom