Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
Simba ni kubwa mno kuwa na CEO kama Barbara.
Kwa waislamu ni dhambi kusema uongo makusudi, Ahmed Ally kijana wa watu anapitia kipindi kigumu sana kinachomfanya aharibu dini yake. Analazimika kusema uongo kwa kujua au kutokujua ili tu kuifunika Simba isikae uchi. Atafanya hivyo hadi lini?
CEO anasema Morrison ameomba mwenyewe aende nyumbani kwao akamalize matatizo ya nyumbani kwao lakini Morrison anasema hakuwa na matatizo ila alilazimishwa aondoke na CEO.
Swali ni kama Morriso anasema ukweli ni kwanini CEO, Barbara audanganye umma kuhusu huyu mchezaji, je, kuna nini anakificha...
CEO Barbara Gonzalez Siku zingine uache kuwa Mbishi hasa pale ukiwa unashauriwa kuwa pamoja na kwamba Wewe ndiyo kila Kitu kwa upande wa Malipo na Operations za Klabu ila ni lazima utambue kuwa huwezi kuwa na Mafanikio kama utawaweka pembeni Wazee wa Kazi Chafu na Umafia kwa Soka la Tanzania (...
Kwesi Appiah ni....
1. Mwafrika Mwenzetu
2. Siyo Mgeni kwa Mambo yetu yale ya Uswahili ( Utamaduni )
3. Mafanikio yake yangekuwa ni Ushawishi wa Moja kwa Moja kwa Waxhezaji wa Simba SC
4. Angejikita zaidi katika Soka la Nguvu la Ghana kuliko la Unyoro nyoro ( Lege Lege ) la Wareno
5. Angekuwa...
Wameandika mwenye mafanikio yake amefika. Ingawa watu wengi wanahisi atatangazwa Manzoki lakini inadaiwa kuwa atatangazwa kocha raia wa Ureno.
Tusubiri hapa mbivu na mbichi
===
Confirmed
Zoran ni 𝗠𝗡𝗬𝗔𝗠𝗔 🦁
Kwa furaha kubwa tunapenda kumtangaza kocha wa makombe, Zoran Manojlovic...
Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana.
"Hii ni kutokana na nyinyi...
Timu ya Simba (Simba SC Ltd) ina uimara na kasoro kadhaa. Mazuri yaimarishwe na yaongezwe, na mabaya yarekebishwe.
Timu ya Simba ina Uimara katika maeneo makubwa sita:
Fun base kubwa – idadi kubwa ya wapenzi, wanachama na mashabiki ndani na nje ya nchi.
Wapenzi walio tayari zaidi kusupport...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia na kikosi chao kupoteza mchezo wa tatu wa Ligi Kuu msimu huu.
Chanzo: Darmpya Blog
Huu Msamaha wenu utapokelewa na wana Simba SC wa hovyo, ila kwa wengine tunaona mnazidi...
Aliyesema (aliyetuita) wana Simba SC ni Mbumbumbu wala hakukosea. Na tunastahili kuitwa Mambumbumbu.
Eti Matola apewe Timu. Asanteni sana Prisons FC na Simba SC tafadhali mpeni Timu Moja kwa Moja Kocha Mnafiki na mwana Yanga SC sawa?
Hivi Yanga SC leo hii pamoja na Mafanikio yake Kocha Minziro...
Kwa kipindi kirefu nimemfwatilia Gadiel kwa kweli hatoshi kwenye namba ya Shabalala, ni vyema viongozi watafuta mchezaji mzuri wa timu za ndani anakayeweza kuitendea haki hiyo namba, mbona wapo huko nje ya Simba.
Na ikikosekana basi msajiri kutoka nje tu iliekeweke kwani Shabalala naye ni...
JINSI "CHEKECHEA" JWANENG GALLAXY ALIVYOKATISHA NDOTO ZA "GIANT" SIMBA KWA MKAPA
Naam wakati ratiba inapangwa Jwaneng Gallaxy walianzia hatua ya PRELIMINARY maarufu kama "chekechea" na Simba wakaanzia First round
Lakini kilichotokea hapo KWA MKAPA HATOKI MTU jamaa Ma Giant wa mchongo...
Ahmed Ally: Suala la Morrison tunasubiri kocha mpya akija ndio atoe maamuzi kama anatakiwa kubaki au aondoke.
Babra: Morrison hakuwa kwenye mipango yetu ndio maana tumempa ruhusa akatafute timu nyingine
Kauli za viongozi wa Simba kuhusu mchezaji Bernard Morrison.
Chanzo: Darmpya Blog
Leo...
SIMBA INAWEZA KUANZIA PRELIMINARY SIYO LAZIMA TIMU 10 ZIANZIE FIRST ROUND
Caf Champions League inatakiwa kuhusisha timu zisizozidi 68
Caf ina wanachama 56 (Japo Afrika ina nchi 54) katika hao nchi 12 zinatoa timu 2 CafCL na kufanya jumla ya timu 24 na nchi 44 zinatoa timu moja ndipo unapata...
Klabu ya Simba imekiri kuwa mkataba wa udhamini wa jezi kati yao na SportPesa umeshamalizika na kwa sasa wapo katika mazungumzo ya mkataba mpya na mdhamini mwingine.
CEO wa Simba, Barbara Gonzalez amesema: “Mkataba wa SportPesa uliisha tangu Mei 11, 2022 lakini kibinaadamu tunaendelea hadi Juni...
Simba haionyeshi ukomavu kwenye soka hata baada ya kufikisha miaka zaidi ya 80 tangu kuanzishwa kwake.
Kila mtu waliwasikia viongozi wa Simba wakimuaga na kumtakia kheri Morrison huko aendako wakimaanisha kuwa aende mbele kwa mbele huko hata kabla ya msimu kumalizika kuonyesha kuwa hawana kazi...
Hebu sikieni Simba SC inahitaji yafuatayo tu na achani Kujambishwa ( Kupanikishwa ) na Propaganda za Usajili za Yanga SC kisha nanyi mnaingia Mtegoni Kwao na Kuharibu kila Kitu kisha Wao wanatucheka na Kutuona ni Mazuzu ( Majuha ) zaidi.
Najua mnanichukia sana tu ila kwakuwa nina Mapenzi na...
Imeeleza hadi kufikia jana, kulikuwa na makocha wawili ambao walikuwa wakiangaliwa kwa mara ya mwisho ili mmoja kupitishwa akiwemo kocha wa zamani wa RS Berkane ya Morocco raia wa nchi hiyo, Tarik Sektioui. Mwingine ni Jozef Vukušič raia wa Slovakia.
Taarifa ambazo imeripoti Gazeti la Spoti...
Ukisikiliza au kutazama vyombo vya habari vya Tanzania utagundua "serious stories" ni chache sana licha ya kuwa na utitiri wa vyombo vya habari kuanzia "main stream media hadi TV za mtandaoni.
Kuna mambo mazito yanayoendelea nchini na yanahitaji mijadala mizito. Mfano:
1. Katiba mpya
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.