simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Haji ni pandikizi la Simba aliyetumwa kuja kuivuruga Yanga?

    Kuna mwandishi Kivuyo wa ITV aliwahi kutuonya kuwa huyu ni Simba damu na ni pandikizi limeuja kutuvuruga wana Yanga Sasa yametimia. Kambi imevurugika, mpasuko jangwani kuna wanaosema Yona atoswe, wengine wanasema tumtetee. Klabu imetoka kwenye reli ya pre season imeingia kwenye mgogoro Tuwe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bila Simba SC wafuatao wangekuwa wanauza matikiti kariakoo

    1.Haji Manara, huyu alikuja simba amepauka kama katoka ukraine vitani, aliokotwa mitaa ya Lumumba akiwa dalali wa magari na kesi za utapeli Hans Pope akazizima 2. Senzo Mazingiza, huyu alikuja Bongo na suti moja mashavu yamesinyaa leo shavu dodo. 3.Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Azizi Ki...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo miaka 45 iliyopita, Simba 6-0 Yanga

    Abdallah Kibadeni akaishia kupiga zake hat trick ya kwanza na ya pekee katika derby ya kariakoo. Utopolo mpaka leo wameshindwa kulipa kichapo hiki. Naambiwa baada ya mechi hii, bakora za kutosha zilitembea sana jangwani! Kwahyo sio mbaya wakati tunaenda mbele tusisahau na tulikotoka, Utopolo...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vyavamia kambi ya Simba SC

  5. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Pre Season | International Friendly Match | Ismailia SC 1-1 Simba SC

    Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba SC, leo Julai 17, 2022 imecheza mchezo wake wa kwanza wa Kimataifa wa kirafiki (International Friendly Match) dhidi ya Ismailia SC ambayo inashiriki Ligi Kuu nchini Misri ambapo mchezo huo umekwisha kwa sare ya kufungana bao moja kwa moja, bao la Simba SC...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simba acheni uongo, jana mmecheza na kikosi cha madereva taxi wa timu ya Ismail, timu kuu ilicheza ligi kuu

    Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi. Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki? Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dereve teksi aliyeifunga simba aliwahi cheza soka la kulipwa

    Anaitwa Jean Morel poe ni mu ivory coast ana miaka 25 aliwahi kucheza soka la kulipwa belarus, kwa sasa anafanya kazi za u dereva teksi katika jiji la ismailia na jana alikuwa mojawapo ya madereva teksi na wasafisha uwanja waliocheza na simba na akafunga goli
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC: Mimi siyo Muumini wa Kuaminishwa 'Kipropaganda' na Matokeo ya 'Mechi Mazoezi' huko Kambini Misri

    Timu haina hata Wiki Moja tokea iende Kimafungu huko Ismailia nchini Misri na hata Kocha Mkuu hajajuana na Wachezaji wake halafu mnalazimisha Mechi Mazoezi ya Timu ya Vijana ya Ismailia na kutoka nayo Sare mnakimbilia 'Kuposti ' Matokeo Mitandaoni na kuanza Kujisifia. Naipenda sana Simba SC...
  9. N

    JamiiForums Tanzania La Wydad Simba day halitawezekana, leteni wengine wakali ndani ya top 20 za CAF

    Yes mmetuma barua ya maombi tarehe 8 /08 waje simba day lakini haihitaji kuwa rocket scientist with PhD kujua kwamba hilo haliwezekani kwani majamaa wana super cup vs Berkane kama sikosei ni tarehe 11/08 Ligi ya Misri ndiyo inaelekea kuisha sidhani kama kuna team itapatikana huko maana lazima...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hizi kelele za Pre season wala hazina sababu, Msimu uliopita Simba walifanya pre season lakini wameambulia kombe lipi ?

    SIMBA SC NA PRE SEASON 2021 Tujikumbushe kidogo mechi za kirafiki kwa Simba SC na Pre season tukiachana na ile waliyopigwa za kutosha huko ughaibuni ila wakaficha Agosti 21, 2021 FA Rabat Simba 2-2 Rabat (Dilunga, Sakho) Agosti 26, 2021 Olypique 1-1 Simba SC (Pape Sakho) Septemba 8, 2021...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CEO wa Simba kufungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na mpira

    CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma alizozitoa kwa team hiyo inapokea wageni ambao Simba ilikua ikicheza nao champion league na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mohammed Adil Erradi atua Dar kimyakimya kujiunga na Simba SC kama kocha mkuu

    Kulikuwa na uvumi kuwa klabu ya Simba kuachana na kocha wa klabu hiyo, Pablo Franco Martín kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu ya timu na kufungwa na Yanga katika nusu fainali la kombe la FA. Kumekuwa na taarifa kuwa Mohammed Adil Erradi, amefika Dar kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc kusajili wachezaji wenye kasi ni mipango ya Nusu Fainali

    Ukiangalia uwezo wa timu zote zilizowahi kuitoa Simba Sc robo fainali,ni timu zenye kasi sana. Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Angalia pia timu zinazopenya nusu fainali,hakuna timu inayocheza slomo. Usajili uliofanywa na Simba kwa Augustine Okra na Phiri ikiwemo anayetajwa kusajiliwa Okwa ni...
  14. amadala

    JamiiForums Tanzania Simba haisajili kiholela, inasajili kwa mpangilio.

    Habari Wadau! Kama kichwa kinavyojieleza na Mkurugenzi wetu amemaliza, ujumbe kwa wale wanaoona tunachelewa kumaliza usajili wa wachezaji ni hivi,"HATUSAJILI KIHOLELA,TUNASAJILI KWA MPANGILIO" Uzi tayari
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Safu ipi ya ushambuliaji simba vs yanga itatisha musimu huu?

    Yanga sc. Mayele Kambole Morrison Aziz ki Moloko Nkane Ngushi Simba sc. Phiri Sakho Banda Okrah Manzoki ( kama atasajiliwa) Kibu Kyombo
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ombi langu Simba day: Wazomeeni magarasa wakitambulishwa

    Siyo mimi tu washabiki wengi wa Simba wamestushwa na baadhi ya sura walizoziona leo kwenye msafara wa kwenda Egypt Kwa kuwa wenye maamuzi wameamua team iendelee na hekaheka za kutegemea wakimbiaji toka pembeni na siyo M CF wenye akili timamu basi nawaomba wapenzi wa simba mtakaojitokeza tarehe...
  17. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nani alisema Chris Kope Mugalu atatemwa Simba?

    Jamaa ni mmoja ya wachezaji waliokwea pipa leo kwenda Misri na kikosi cha Simba kwa ajili ya maandalizi ya Msimu ujao (Pre Season). Wale wote mliokuwa mnasema jamaa atatemwa, itoshe kusema tu jamaa yupo sana Msimbazi😆😆
  18. N

    JamiiForums Tanzania Simba yaufyata kwa Kigwangwala, wampigia simu, kutia nguvu

    Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye asaidie usajili na mengineyo .....yote hayo aliyasema huko jamhuri ya twitter katika juhudi zake za...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Simba hii ya Okrah tukipata mtu wa kukaba katikati

    Wapinzani wajiandae, MO anafanya kazi sasa naanza kuelewa. Tukipata mkabaji pale ktkt ***** aje na huyo manzoki pale mbele. BEKI QUTTARA achukue nafasi ya ONYANGO SIMBA ITAKUWA MOTOOOOOOOOOOOOOOOO
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Kigwangwala, Simba wanachezea almasi mchangani

    Kigwangwala also known as SAID BAGAILE ni mgodi unaotembea baada ya kuitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa na ustadi akiwa naibu waziri kisha waziri sasa ni wakati wa simba sc kumtumia kwa uzuri. Kila siku Bagaile anatoa malalamiko jamhuri ya twitter na ma parody yamemgeuza mdoli punching bag...
Back
Top Bottom