simba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha Stuart Baxter niliyemfahamu mwaka 2004 hadi 2005 na 'Mapungufu yake si Kocha sahihi Kuifundisha Simba SC yetu

    Kama kawaida yako Madam Kiherehere na Kukurupuka CEO Barbara Gonzalez na Uongozi wa Simba SC kwa kupenda Kwenu Kukurupuka hasa pale linapokuja Suala la Kuajiri Makocha. Kocha Stuart Baxter ambaye GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Vyanzo vyangu aminika kuwa ndiyo Simba SC watampa Kandarasi...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu mkimpa tu 'Kura' zenu Injinia Hersi Said natangaza Kuhamia rasmi Simba SC

    Wengi wenu hamnifahamu ' Personally' hivyo koseeni tu mumpe Kura zenu za Njaa na Kutumika na GSM kwa kumpa Urais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kisha GENTAMYCINE nipandwe na Hasira zangu Kali za Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi kutoka nchini Rwanda na niitoshe 'Press Conference' ya Kutangaza rasmi...
  3. Poker

    JamiiForums Tanzania Yanga wanapendelewa sana! Ni uonevu kwa Simba

    Huu ni mgawanyo wa hela kwanzia namba 1 hadi wa 16 ukiangalia vizuri yanga anapata 600m wakati wa mwisho anapata 10m na wapili anapata 300m je haki iko wapi kwa bingwa kupewa hela mingi hivoo? Mi naona mgawanyo ungekua sawa ili ligi iwe na ushindani zaidi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simba huwa inamdidimiza Muzamir Yassin?

    Mechi ya Timu Bora na Underdog imeisha, kilichobaki ni mashabiki vitumbua kuanza uchambuzi wao unaoegemea Ussimba na Uyanga Hoja yangu ni Moja t, nafikiri Simba huwa Ina m-underrate Muzamir Yasin kijana anajua kukata umeme. Ukiangalia Performance yake Leo na wale wachezaji wa Daraja la Dunia...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Upuuzi: Simba wanaenda kurudia kosa lilelile kwa makocha

    Nimeona taarifa kwamba makocha 100 wametuma cv ,99 ni kutoka europe na south america, mmoja tu wa Afrika na hajakidhi vigezo Hivi nyie viongozi wa simba mnadhani kwa nini walioko Afrika hawajatuma cv? wanajua shobo zenu kwa wazungu, mko radhi mumpe kazi mtu ambaye hajui soka la afika wala...
  6. avogadro

    JamiiForums Tanzania Tusipinge Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za kigeni bali tuboreshe ili kutengeneza utalii wa michezo ( Sport tourism)

    ➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo ➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Starehe za jiji la Dar es salaam linavyoshusha viwango vya wachezaji wa Simba na Yanga

    Hili jiji lisikie tu kwenye radio,ila Dar kuna starehe jamani,nimetembelea mikoa mingi nchini na nchi nyingi kidogo si haba,nyingine kwa kwenda phyisically nyingine kwa kusoma,kusikia,movies na mitandao .ila Dar bado ni kinara wa starehe,Jonas Mkude huwa anakula starehe mpaka anazima kesho yake...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumuombea huyu ndugu yangu nafasi ya kuwa kocha wa Simba?

    Wanajukwaa kuna ndugu yangu huku kijijini ni shabiki mkubwa wa club ya Simba sports club toka miaka ya 1990's kwa sasa anajihusisha na kukochi team ya kijiji na kaifikisha mbali sana Sasa baada ya kuona nafasi ya kocha mkuu wa team ya Simba ikiwa wazi amekuwa akinisumbua mara kwa mara kwa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mrithi wa Pablo huyu hapa

    Kocha wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake. Simba imekuwa katika kipindi cha kufanya mabadiliko makubwa ndani ya timu hiyo kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri...
  10. Shark

    JamiiForums Tanzania Bwalya atimka Simba S. C

    Taarifa za ndani zinasema kuwa kiungo wa Simba, Rally Bwalya ameshamwaga wino wa kujiunga na klabu ya Amazulu ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini, lakini uongozi wa Wekundu wa Msimbazi umesema umepokea ofa ya mchezaji huyo na utakaa na klabu hiyo ya Sauzi kuona kama dili ni zuri imuuze kwa sababu bado...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuwa mchezaji bora wa Simba msimu huu?

    Huu ni mwaka wa shetani kwa klabu yetu pendwa ya Simba kiasi cha kumfurusha aliekuwa kuwa kocha mkuu Professor Pablo. Wachezaji wengi wameshuka viwango je kwa msimu huu nani atakuwa mchezaji wetu bora?
  12. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Simba bado tu haijamtimua Pablo?

    Hivi kwa mpira mbovu ilionao Simba kwasasa, Mashabiki kuugua magonjwa ya moyo na wengine hadi kulazwa kwa magoli ya kideoni ya wananchi, mashabiki wa Simba kupiga makonde wananchi wanapowatania vibanda umiza,mashabiki wa Simba kushindwa kuvaa jezi zao mitaani kwa kuona aibu ya kuwa wabovu...
  13. Shark

    JamiiForums Tanzania Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

    VIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo. Simba imepoteza mataji yake yote mawili la Ligi Kuu Bara ambalo walilitwaa kwa mara nne mfululizo pamoja na taji la Kombe la Shirikisho la Azam...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ahmed Rajab, Yusuf Himidi na Simba Waziri

    AHMED RAJAB, SALIM HIMIDI NA SIMBA WAZIRI Picha ya kwanza niliyoweka hapa kaniletea rafiki yangu Mohamed Abdul Rahman kutoka Ujerumani. Picha hii kulia ni Salim Himidi katikati ni Joachim Chisano na kushoto ni Ahmed Rajab. Joachim Chisano alikuwa rais wa pil wa Msumbuji. Mohamed kaniletea...
  15. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Bunge lisimame kujadili Bajeti lijadili Yanga kuifunga Simba

    Hao ndio wale wabunge walioteuliwa na Magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba. Nadhani hadhi na heshima ya huu muhimili katika hili bunge inazidi kushuka kila uchwao wabunge wamelifanya bunge kama sehemu ya kufanya mizaha. Mara walie mara wapige sarakasi mara...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Simba tuondoe wachezaji kwa heshima

    Katika Miaka Minne ya Simba Imefanya makubwa kwa hiyo hata kama tunawaondoa wachezaji tuwaondoe kwa heshima. Wamefanya makubwa lakini pia viongozi wa Simba anzisheni mambo ya kusajili wanachama online kama CCM wanavyofanya kwa kiingilio cha 10,000 na kila mwaka tulipe 20,000 na mapato na...
  17. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kukumbukwa leo Simba kapasuliwa na Yanga Kirumba

    1. Onyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest Feisaaaaaaaaalll! 2. Nyoni kushindwa kuvaa vizuri hereni yake akahangaika mpaka refa akamuona na kumtoa nje wakati Simba ishapasuliwa muda huo 3. Simba kuwa mbovu na...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Bilioni 20 ambazo Mo aliwapa Simba kama Endowment Fund zinahitaji ufafanuzi

    Kwa ninavyoelewa, endowment fund huwa zinatolewa na matajiri kama msaada. Yaani hiyo pesa inawekezwa na faida anapewa yule mnufaika wa msaada. Lengo huwa na mnufaika kuwa na pato endelevu. Sasa hiyo 20 ya Mo ilikuwa ni msaada wa Mo kwa Simba au ni kitu gani hasa?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Lini yanga watalipa goli 5-0 waliofungwa na simba 1977 miaka 45 nyuma?

    Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao...
  20. Shark

    JamiiForums Tanzania Simba kutolewa Nusu Fainali ya FA Cup, MO Awaka

Back
Top Bottom