simba

  1. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Je, Vunja Bei na Mo wamejitoa Simba?

    Habari. Katika press ya Leo ya kumtambulisha kocha mpya wa Klabu ya Simba hapakuwepo na matangazo ya Mo Dewji ,Sport Pesa wala Vunja bei. Napata Shaka na hii timu kwamba imepoteza wadhamin wake?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili Simba mwakani pakavu

    Kwa hali ilivyo Simba possibly mwakani pakavu tena. Not sure kama BARBARA atatuvusha mwanamama huyu. Akpan is OK, Je kuendelea kumtegemea MKUDE ni ngumu sisi kutoboa. Tatizo la MKUDE ni mvivu sana imagine Mkude acheze ktkt mnacheza na wydad au Mamelod. Kama SImba wanataka kubalance timu vizuri...
  3. Area 56

    JamiiForums Tanzania Simba SC kutangaza usajili wa Kichuya leo

    Nimemkumbuka hayati Magufuli na usemi wake tunajenga kwa fedha zetu za ndani. Na wao Simba SC wanasajili wachezaji wa ndani kwa fedha za ndani bila tajiri aliyesusa. Leo adhuhuri kwa saa za Afrika Mashariki, Ramadhani Shiza Kichuya atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya ndani ya kikosi...
  4. Satisfy

    JamiiForums Tanzania Thamani ya wazawa yaonekana kwa klabu ya Simba

    Klabu ya Simba imeendelea kuonesha ukubwa wake. Ni jinsi gani wachezaji wazawa inaendela kuwaamini katika kikosi chake na kuwathamini. Thamani yao inakuja kutokana na kupewa kipaumbele cha kwanza ktk utambulisho. Pia nawapongeza mashabiki na wadau wa mpira kwa mapokezi mazuri kwa wachezi...
  5. TAI DUME

    JamiiForums Tanzania Ili kumaliza ubishani timu gani ina mashabiki wengi kati ya simba na yanga nashauri kiwekwe kipengere cha kuuliza swali hilo kwenye sensa ya Agosti 23

    Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote. Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna. My take: Mimi ni simba galagazwa
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Takwimu za wachezaji waliosajiliwa Simba na Yanga hadi hivi sasa

    Wachezaji waliosajiliwa na club ya Simba takwimu za musimu 2021/ 22. Mosse Phiri 13 goal Habibu Kyombo 6 goal Young Africa. Kambole 0 goal. Bernard Morson 3 goal Gael Birigmana 0 goal Nani Kalamba dume katika hizi sajili hadi hivi sasa?
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Gael Bigirimana wakati yupo Newcastle, Simba ilikuwa na kikosi hiki...

    Haya pimeni wenyewe huyo babu wakati yupo kijana na wenzake vijana walikuwa hawa kikosini Simba...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania I Sympathize with Habib Kiombo Simba mmemkosea sana Habib Kiombo

    Mimi ni shabiki wa damu wa Dar Es Salaam Young Africans lakini hiki kilicho tokea kwa kijana mwenzetu Habib Kiombo kimenigusa sana. Habib ame twezwa. Anacho fanyiwa Habib ni public humiliation. Anahukumiwa yeye kwa makosa ya viongozi na PR wa simba. Kama kijana anae tafuta maisha yake...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaosajiliwa Simba ni wale ambao marafiki wa Matola, kwa hiyo Kuna vijipasenti anapata

    Mjini watu wanaishi kwa mbinu, bila kumfukiza Matola, Simba msitarajie jipya. Matola anajua uwepo wake simba haukubaliki, hivyo anakusanya vyake
  10. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC 'mnatudharau' sana 'Mashabiki' wenu yaani tunasubiri 'Vyuma' vya maana kumbe mnatushushia 'Garasa' Habib Kiyombo?

    Sasa Habib Kiyombo ana tofauti gani ya Uwezo mdogo kama alionao Yusuf Mhilu? Nani Kawarogeni mpaka leo hii Simba SC ina 'Scouting Team' ya hovyo hivi? Hivi kwanini Viongozi wa Simba SC mnapenda kutufanya Sisi Mashabiki wa Simba SC kuwa ni Madunduna ( Wapumbavu ) sana na labda mnadhani kuwa...
  11. Bossprota

    JamiiForums Tanzania Nina shida na makava ya simba na yanga

    Wadau habari za muda huu Nashida na makava ya simba na yanga kwa anaejua machimbo yanapo patikana anisaidie nipo Tunduma 0627380556
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji usidhani tumesahau na usijisahaulishe uliahidi kuwa Pre Season ya Simba SC ni Marekani

    Ukilifanikisha hili ( likiwa kweli ) naenda Kukusaidia Haja Kubwa Getini Lugalo Barracks Mchana Kweupe mbele ya MP's akina Lydia, Mwita na Clement.
  13. MERCENARY2015

    JamiiForums Tanzania Wakala wa uuzaji wa Jumla Cement aina ya SIMBA Arusha

    Salamu Wakuu Kwa muda mrefu sasa nilikuwa na mpango wa kufungua biashara ya kuuza CEMENT kwa bei ya rejareja mkoani Arusha. Wakuu naomba kupata mawasiliano au kuunganishwa na wakala anayeuza CEMENT za Kampuni ya SIMBA kwa bei ya Jumla. Kwa sasa nipo mkoa wa Arusha, hasa ukizingatia pia...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania IMEISHA HIO: Kuomba msamaha kwa Haji Manara sio taarifa njema kwa Simba waliodhani kwamba atasimamishwa, Wembe ni ule ule

    Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau, Sana sana Manara ataambiwa alipie faini ya milioni 5 na ataendelea na majukumu yake Wananchii !!! Makombe yaendelee!!!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naandaa maandamano Mwanza kumuunga mkono Genta vs uongozi wa simba

    jana Genta a.k.a popoma bobefu lilishusha exclusive kali kabisa ya mwaka kuhusu simba sc. likashusha points 7 matata sana za ndani ndani Wakati nikiwa na digest exclusive hiyo nikapokea simu za washkaji wangu wa tawi la shinyanga na misungwi huko karibu na kolomije home to the greatest Daud...
  16. babu M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu kweli alikuwa ni mchezaji wa Simba au ni Photoshop?

    Wanasema huyu alikuwa ni mchezaji wa zamani wa Simba au wametengeneza? Hapa mimi namwona msaani wa Bongofleva!
  17. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Simba na somo la Unyenyekevu

    Hakuna kinacho dumu milele. Haijalishi ataishi kwa muda gani, Simba Mkuu hatimaye atakufa vibaya. Hiyo ndiyo dunia. Katika ujana wao, wanatawala, wanafukuza wanyama wengine, wanakamata, wanakula, wanameza na kuacha makombo yao kwa fisi. Lakini umri huja haraka siku hazigandi. Mzee Simba hawezi...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Simba: Benard Morisson atapata release letter yake

    Msemaji wa Simba amempongeza Benard Morisson kwa kupata kandarasi mpya na kusema hakuna shida. Ahmed Ally amemshukuru Morisson kwa kutumikia Simba kwa miaka miwili na kudai hamna haja ya janja janja, waende na Simba itawapa release letter.
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Morrison kawapiga kanzu CEO wa Simba na wote walioamini kwamba kugomea release letter ndio kumzuia kucheza Yanga

    Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba. Mwenye Nguvu mpishe tu. Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita. Walitaka kumkomoa Morrison kwa kumpunguzia mshahara na kumnyima release letter ila wakili msomi kawaumbua.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Hongera uongozi wa Yanga kusimama na Haji Manara, Simba wajifunze

    Wakati bingwa hili la usemaji na u afisa habari likiitumikia team asiyoipenda ya Simba lilipiga marufuku mashabiki wa Yanga kuhudhuria mechi ya CAf iliyohusisha Simba uongozi wa Simba ulitoa statement ya kujitenga na gwiji hilo kuhusu hilo na alisikitika sana Gwiji hilo pia katika kuitetea...
Back
Top Bottom